Search results

  1. G

    Sijawahi kuamini kama kuna mke mwema mwenye tabia hizi

    Ni kweli 1000% Tena hao wa jogging ndio wumbwa kabisa
  2. G

    Nimekosa ajira za ualimu tena

    Zamani mbona walikuwa wanazoa hadi 2.0 GPA, hawakufundisha?
  3. G

    Nimekosa ajira za ualimu tena

    Hebu acheni kutishana na maneno ya kipuuzi watu wakaacha kujaribu bahati zao. Hata iweje ajira huwa hazitoshi.
  4. G

    Kuna haja ya Tume ya vyuo vikuu na wizara husika kufuta Degree ya ualimu masomo ya Arts

    Swali linakuja, sheria gani imesema wakimaliza LAZIMA waajiriwe?
  5. G

    Kuna haja ya Tume ya vyuo vikuu na wizara husika kufuta Degree ya ualimu masomo ya Arts

    Tulia ulambe dawa mkuu, kwani Sociology na law wakimaliza wanazikuta ajira zinawasubiri ee?? Hakuna aliyeshikiwa bunduki akasome alichosoma.
  6. G

    Wadudu kwenye ubongo wa mbuzi

    Ndio maana wana akili mbovu sana hawa jamaa[emoji238]
  7. G

    Hali ni tete nchini India, Waislam waandamana nchi nzima kupinga kile wanachokiita 'kumchafua' Mtume Muhammad

    Wanafahamu kuwa yupo mwenye kutoa hukumu na haijaandikwa popote kuwa ana wasaidizi duniani.
  8. G

    Muda gani umvumilie mwanaume ambaye hana kazi

    Wito kwa wadada. USILEE MWANAUME. Sisi wanaume hakuna anapenda kulelewa. Ukiona kakubali hyo kadhia basi hana namna, na 95% ya wanaolelewa hawakufuata mapenzi bali survival tu. Amini, amini akifanikiwa tu ATAENDA ANAPOPAOTA. Mjifunzage kwa mifano hai toka kwa wanaowazunguka. N.B Simaanishi kwa...
  9. G

    Anayedaiwa kuwa Mpenzi wa Rais Putin mbioni kuwekewa vikwazo na EU

    Tatizo hujaelewa. Hawajasema demu wa Putin atazuiwa kutoa huduma kwa mzee.
  10. G

    Naomba sample Application letter utumishi

    Hivi mashuleni wanafundisha vitu gani siku hizi?!
  11. G

    Wachungaji baadhi yenu mnakera

    Kuna bint nataka kumuoa alinipeleka kanisani kwao duh!
Back
Top Bottom