Search results

  1. M

    Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    muulizeni alisoma nae wapi? na mwaka gani?
  2. M

    Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    namuheshimu tu ila naweza kuweka nae picha yake
  3. M

    Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    wewe si unajifanya unamjua? acha kuingilia maisha ya watu usiowajua? unajua tunavoishi sisi?
  4. M

    Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    unataka niweke ushahidi? nyani ni nani? achana na mimi wewe ninamjua kuliko unavofikiria
  5. M

    Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    nipo tayari kuweka ushahidi kama akibisha .
  6. M

    Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    tafuta huku kaweka picha ya huyo mkaka eti anasema alisoma nae wakati picha kaipata kwangu
  7. M

    Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    Naombeni ushauri maana nimechanganyikiwa nilifanikiwa kupata mpenzi huku mtandaoni ninampenda sana ila juzi nilikuwa nachati na mkaka mwingine whatsup,yupo zimbambwe sio mtanzania tulikutana siku moja airport. Huyu mpenzi wangu akachukua simu yangu akaniuliza huyu kaka unachati nae ni...
  8. M

    Nakosa mume kwa sababu sina hela

    najishughulisha ila sina hela nyingi
  9. M

    Nakosa mume kwa sababu sina hela

    Kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato? Masikini tutaenda wapi? Kwanini hamuwezi kutuendeleza? Kututafutia kazi au biashara? Mnataka mama wa familia au hela?
  10. M

    Kila mwanaume anaenitongoza ninamkubali lakini sina mpenzi

    sioni progress tunaishia kutongozana tu mwaka mzima sioni promotion
  11. M

    Kila mwanaume anaenitongoza ninamkubali lakini sina mpenzi

    Sina mpenzi yoyote natongozwa na wanaume wengi tu na ninawakubali lakini hakuna kinachoendelea kati yangu na wao bado nipo mpweke. Nifanyeje niwe na mtu permanent wa kwangu mwenyewe?
  12. M

    SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)

    siku moja baada ya biashara ya forex kutangazwa humu ,niliweka thread hiihttps://www.jamiiforums.com/threads/onyo-forex-trading-haina-mamlaka-ya-usimamizi.1314443/ mlinitukana wee nikawaambia bora niwafundishe kuuza mbege . uongo si uongo yule jamaa yenu si ni broker na hela zenu...
  13. M

    Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    si uweke dollar dada ucheze? mimi nauza mbege nimeridhika
  14. M

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    napita kwa kunyaaata!!!!!!!!!!!!!!
  15. M

    Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    nielewe sijasema forex trading ni feki.ila hii ya kuita watu wakatrade ni feki katika watu mia tatu hata kumi hawatafika watakaopata hela.acheni kudanganya watu .kwanza mnahujumu uchumi.watu mia tatu kila mtu akitoa m moja ni sh ngapi hyo ?
  16. M

    Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    katika watu 300 ni wangapi watapata hela? why usianze kutrade na watu watano hivi walete ushuhuda hapa.?
  17. M

    Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    ndio .nina demo account nawachora tu siku nyingi
  18. M

    Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    ni fursa ila sio kwako.kuwa makini acha kukurupuka
Back
Top Bottom