Search results

  1. feyzal

    Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

    Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu. Yamewahi nikuta hayo mambo ya kujifanya Nice guy ila baada ya kua katili yaani ghafla tu upepo umebadilika...
  2. feyzal

    Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

    Habari wakuu. Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3. Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana kuweka nimekuta play list ya Msanii Jux dah nimenyoosha mikono hasa hii ngoma yake mpya aliyotoa...
  3. feyzal

    Video: Mwananchi akamatwa baada ya kuidai serikali huduma ya maji

    Katika hali isiyokua ya kawaida mwananchi wa sengerema amejikuta mikononi mwa polisi kwa kitendo chake cha kuidai serikali huduma ya maji,hii imetokea baada ya kuwataja viongozi wa serikali hasa Rais wa Tanzania katika suala zima la kudai maji. NB# Namshukuru Mungu sina rafiki wala ndugu polisi...
  4. feyzal

    Bahasha fc: Tumalize mchezo mapema

    Sina neno picha imejitosheleza.
  5. feyzal

    Naomba kueleweshwa kuhusu vuna point za Halotel

    Habari ya time hii wakuu, Nimekuja kuuliza kwa mwenye kuelewa namna ya kufaidika na hizi point za Halotel ,jinsi ya kuzitumia. Maana Kila niliweka vocha huwa wananiletea sms ya kuonesha nimepewa point na kiasi Cha point nilichonacho. Bado sijakupa matumizi yake je ni yanalingana kama ya...
  6. feyzal

    Zambia umeme ni shilingi elfu 5 za kitanzania kwa mwezi

    Nikimnukuu kada wa Chadema MDUDE NYAGALI kutoka mtandao wa X "Zambia wanazalisha Megawatt 3400+ kwa siku na ziada ni Megawatt 1100+ hakuna Mgao. Pia Zambia umeme wa kutumia majumbani bei ni Tsh. Elfu 5 tu kwa mwezi haijalishi una jiko la umeme friji n.k. Zambia wametuuzia umeme Tunduma, Vwawa...
  7. feyzal

    Putin ana busara sana na anajali sana raia wake, amemaliza mambo kwa akili bila nguvu

    Habari ya jioni wakuu. Leo kutwa nzima kulivuma habari kuwa vikosi vya wagner vinavyotumiwa na Rais wa Urusi kufanya mashambulizi katika nchi ya Ukraine, vimekenguaka na kuvamia Urusi kwa inasemekana ni lengo la mapinduzi. Kitu cha kushangaza hakuna mahali popote imeripotiwa kuna shambulizi...
  8. feyzal

    There no victory without history

    Habari ya asubuhi waungwana,bila shaka nyote ni wazima kabisa na kwa wale ambao mmeamka hamko sawa kiafya basi M/Mungu awafanyie wepesi muwe na afya njema.. Bila kupoteza muda ningependa kushare msala uliowahi kunikuta kwenye masomo yangu ambao kutoka na nature ya familia yangu ilibidi nivunge...
  9. feyzal

    Nyumba ile kiboko, niliambulia maji tu kwa siku 2 nilizokaa pale

    Habari ya usiku wazee. Nikiwa bado sijalala, nikawa napitia picha za zamani google photo ndipo nikakutana na picha nilizopiga Dodoma nikiwa na rafiki yangu KDG nikakumbuka huu mkasa mfupi.. nimeona nishare hapa. Ilikuwa mwaka 2018 mwezi wa 10 kuna shida ilinipata kwenye masomo yangu, ilibidi...
  10. feyzal

    Nilikuwa siamini mapenzi yanauma, leo nimeamini

    Katika maisha yangu, nimewahi penda kwa dhati mara moja tu, mitihani ya maisha na mikosi kwa miaka 3 ikaniandama, kwa kiasi fulani kuna sehemu ilibidi nitumie uongo kuweka mambo sawa. Leo umenigharimu. Tarehe 01/01/2023 nilikabwa nikaibiwa viatu, pesa na simu ndogo. Tarehe 02/01/2023 napoteza...
  11. feyzal

    Wajinga ndiyo waliwao

    Nikiwa kwenye harakati zangu za kimaisha, jana nikapita pale Mbagala Rangi Tatu kumsalimia jamaa yangu muuza nguo za akina dada za ndani (vifuniko vya asali). Karibu na eneo analopigia biashara kuna biashara zingine ila kuna jambo likanivutia zaidi ilikua hivi. Kuna mnada wa nguo na vitu...
  12. feyzal

    Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

    Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Wizara ya Kilimo, Frorence Samwel anadai fidia ya Sh500 milioni Hospitali za TMJ na Hindu Mandal za jijini Dar es Salaam na daktari Moirice Mavura kwa kile anachodai kuwa ni uzembe katika kumtibu. Pia amedai alipwe Sh53 milioni kwa ajili ya gharama mbalimbali...
  13. feyzal

    Inawezekana hili ndio linatufanya kuendelea kuwa maskini?

    Kwa wale ambao watashindwa kuiangalia hiyo video nimejaribu kunukuu. Nanukuu "Mtu baba yake ana mifugo(tajiri wa mifugo) anaenda kusomea kiingereza na kiswahili au hesabu na sayansi lakini hayupo tayari kuendeleza ule mradi wa Ng'ombe 200 wa wazazi nyumbani tuseme labda niende chuo cha mifugo...
  14. feyzal

    Ukiachana na kozi za afya je, kozi ipi anaweza kusoma mwenye diploma ya C. Medicine?

    Habari, Nilikua tunapitia TCU guide book nikiwa na washikaji zangu kitu kilichonishtua nimekuta kozi za afya C.Medicine ambayo anaweza kusoma kwa digrii ni MD na huku kozi zingine ambazo sio za afya sijaona kabisa. Sasa ni kwamba hakuna kozi ambayo anaruhusiwa kusoma kwa ngazi ya digrii usoma...
  15. feyzal

    Mercedeze benz Irizar i6 ya Azam

    Wakuu wapenda magari kwema...? Wazee mnaionaje hii chuma aliyoleta Azam ,inafika pesa ngapi za madafu bongo? Na ina vitu gani spesho kulinganisha na bus zetu pendwa Golden Dragon, Youtong, Scania G7, Gemilang na zinginezo.
  16. feyzal

    Ukweli kuhusu Paulina Zongo

    NAMFAHAMU Pauline Zongo tangu enzi za East Coast Team akiwa kama First Lady wa kundi hilo akiwa na wasanii wengine kama AY, Crazy GK, MwanaFA, Abbas, Snare na wengine mwishoni mwa mwaka 1999 na mwanzoni mwa miaka ya 2000. Kundi hilo lilisikika na nyimbo nyingi kama Ama Zangu Ama Zao, Sister...
  17. feyzal

    Baada ya kuangalia hiki kipindi nakiri wazi Zuchu ndiye msanii bora wa kike na mwenye kipaji kikubwa sasa Tanzania na EAST Afrika

    Habari ya mchana. Wakuu hapa tuweke uteam pembeni,tuweke chuki pembeni,tuweke husda pembeni na bifu zote pembeni...ila tuje kwenye uhalisia. Zuchu kwakweli ana kipaji kikubwa na kadri siku zinavyosogea ana imarika na kufanya vitu ambavyo vinafanywa na wasanii wakongwe au pengine hata wasanii...
  18. feyzal

    We Bro msafiri ,uliyesafiri miezi 6 sasa, mkeo ana mimba ya miezi 4 ila sio yako

    Wazee nina hasira hatasisalimii. Leo Mishale ya saa 2 usiku alikuja Mzee mmoja umri miaka kati ya 55-60 na Mdada miaka 30-35,mazungumzo yalikua hivi baada ya kuingia ofisini Mzee na yule mdada. Mzee: Habari yako daktari Mimi: Salama,shikamoni. Wote: Marhaba Mimi: Ndio mzee ,karibu nikuhudumie...
  19. feyzal

    Siku yangu inavyomalizika kwa bahati

    Habari ya mchana, Mwaka huu mwezi wa 1 niliingia JamiiForums. Nilikuta uzi jamaa mmoja ameuanzisha unaosema[emoji116] https://www.jamiiforums.com/threads/je-kuna-jambo-lolote-ambalo-hutalisahau-mwaka-huu-2020-ambalo-limekutokea-sasa.1824186/ Je, kuna jambo lolote ambalo hutalisahau mwaka huu...
  20. feyzal

    Endesha pikipiki kwa dabu...!

    Angali huyu jamaa kilichomkuta....ila hii mashine sio mchezo ni mashine haswa anayejua bei yake atugusie. apumzike panapostahili marehemu
Back
Top Bottom