Search results

  1. Nsumba ntale tz

    Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  2. Nsumba ntale tz

    Msaada wa matibabu ya ugonjwa wa kutoka malengelenge kwenye ngozi

    Ila hii dunia bhana, endeleeni kutafuta madokta
  3. Nsumba ntale tz

    Msaada wa tiba ya ugonjwa huu

    Safi nilitaka kuandika haya
  4. Nsumba ntale tz

    Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

    kinacho wasumbua ni kuzani ukiwa mwafrika umekuwa mtu mweusi
  5. Nsumba ntale tz

    Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

    bahati ipo kwa morocco atabeba ubingwa
  6. Nsumba ntale tz

    Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

    Save huu uzi kwa ajili ya kumbukumbu
  7. Nsumba ntale tz

    Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

    Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianzishwe timu kutoka bara la afrika inaenda kutwaa kombe hilo, wengi hawaifikiri na bado hwaidhanii kuwa timu ya Morocco itaweza hata kuingia fainali lakini ni ukweli usiyo na shaka yoyote kuwa kombe hilo linaenda Afrika kwa mara ya kwanya. Subscribe uzi...
  8. Nsumba ntale tz

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Naweza kutibu kwa tiba asili mgonjwa akapona kabisa tatizo hilo ni dawa ya kulamba kutwa mara 3, usisite kuwasiliana nami kupitia simu 0765682453
  9. Nsumba ntale tz

    Msaada Mtoto wa Miezi Sita Anapata Shida Kupumua Usiku na Uzito Kutoongezeka

    Kama utaambiwa ana sickle cell nitafute nimtibu. Ahsante
  10. Nsumba ntale tz

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Nawatafuta watoto wa mjomba wangu kama wamo tutafutane au kama unawafahamu niunganishe nao 1. Neema Nyonga alikuwa na dada yake wamesoma Machame girls miaka 2004 2. Khadija Nyonga huyu amesoma pandagichiza sec shinyanga vijijini. Mi ni binamu yenu wa mwanza nimesomea shule hapo kwenu naomba...
  11. Nsumba ntale tz

    RIPOTI: Mapendekezo 19 ya Kikosi Kazi cha Rais Samia kuhusu uendeshaji Siasa nchini

    Hovyo hivi aliyependekeza haya alikuwa ameshiba? Au njaa ya tumboni ilihamia kichwani?
  12. Nsumba ntale tz

    INAUZWA Jiko plate 2 linauzwa Tsh. 50,000/-

    Unaweza kunitumia Singida tufanye biashara?
  13. Nsumba ntale tz

    Nauza vitu vyangu vya ndani

    Uko wapi mkuu njoo uvichukue basi
  14. Nsumba ntale tz

    Nauza vitu vyangu vya ndani

    King'amzi hakiuzwi mkuu
Back
Top Bottom