Search results

  1. vampire123

    Natafuta mtafsiri wa Kichina

    Habari, Natafuta mtafsiri wa kichina, qjue kuongea na kuandika pia. Kwa mawasiliano zaidi 0623 082 239
  2. vampire123

    Fresh Graduate natafuta Intership kada ya Account

    Habari, Husika kichwa cha habari hapo juu. Mm ni Fresh Graduate natafuta nafasi ya intership kada ya Account ili niweze kugain experience. Nilifanya field TRA na NSSF na pia nina cheti cha VETA cha information computer technology (ICT). Nina ujuzi mkubwa wa computer pia. Nawasilisha
  3. vampire123

    Msaada King'amuzi cha azam

    Msaada King'amuzi cha azam kinaniletea ivyo shida ni nn Shifa nyengine nikijaribu kusearch zinakuja channel za startimes sijajua shida ni nn wakati mwanzo zilikuwepo channel za azam
  4. vampire123

    HESLB kutuondolea(kufutwa) hela za field mwaka 2021/2022

    Heslb tunaomba ufafanuzi, kwann mmeondoa hela za field kwa sisi wanafunzi wa vyuoni..mnategema tutasurvive vp huko kwenye ofisi za watu embu kuweni na huruma kwa binadamu wenzenu basi hayo sio maisha kabisa embu fikirieni ndo umeenda kwenye ofisi ya watu hupewi hata senti 5 hv mnazani tutaishi...
  5. vampire123

    Sijatumiwa confirmation code na TCU tangu jana

    Naombeni ufumbuzi tangu majibu ya second selection yatoke nili request confirmation code tangu jana ambapo mpaka leo hii sijatumiwa
  6. vampire123

    Naomba ufafanuzi kuhusu menu ya Airtel kifurushi cha usiku

    Wakuu habari zenu, Nilikuwa naomba kujua menu ya kujiunga kifurushi cha gb 10 usiki
  7. vampire123

    Nahitaji msaada wa kiafya wa tatizo hili la kuwashwa

    Habari zenu wakuu, Naombeni msaada wa kiafya, mwezi wa 8 nilikumbwa na ugonjwa wa kuwashwa ambapo nilianza kuwashwa mikononi nilivyokuwa najikuna nilikuwa natoka na vipele nikaenda hospitali nikapimwa nikaambiwa ni allegy na kupewa dawa nitumie. Nilimaliza dozi ila sikuweza kupona mpaka ilifika...
  8. vampire123

    Kuhusu kozi ya Bachelor of Applied Marketing and Enterpreneurship

    Wakuu hii kozi ya Bachelor of Applied Marketing and Enterpreneurship imekaaje wakuu?
  9. vampire123

    Namba za Vyuo huwa hazipatikani kwanini wameziweka?

    Hv kwann hizi namba za mawasiliano za vyuo mbalimbali huwa hazipatikani na ukizipata always watakwambia inatumika kwa sasa.sasa kwann wameziweka?
  10. vampire123

    Naombeni ushauri kwa hizi kozi

    -BACHELOR IN HUMAN RESOURCES -BACHELOR IN PUBLIC ADMINISTRATION -BACHELOR IN BUSSINESS ADMINISTRATION -BACHELOR IN LAW ENFORCEMENT -BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN -BACHELOR OF BUSINESS IN INNOVATION AND ENTERPRENEURSHIP
  11. vampire123

    Ipi ni kozi nzuri kati ya hizi na utofauti wake uko wapi?

    -Bachelor of Commerce in Accounting -Bachelor of Accounting and Finance in Public Sector -Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector -Bachelor of Acounting and Finance Na pia chuo kizuri kwa izo kozi - UDSM - UoI - Mzumbe - TIA Na je kozi gani ni nzuri katika soko la ajira?
  12. vampire123

    Sijaelewa hapa kwenye requirements za TCU na Mzumbe, naomba kueleweshwa

    Habarini wakuu natumaini ni wazima, Naomba nipewe maelekezo hapo kwenye requirements za TCU na Mzumbe university. Picha ya kwanza ni from TCU na ya pili from Mzumbe wametofautiana katika maelezo.
  13. vampire123

    Wale ambao bado tunafuatilia Kitambulisho/Namba ya NIDA tukutane hapa

    Habari wakuu, Kiukweli hili jambo linakera mno, mimi nilifanikisha mambo yote yaliyoitajika kama vile copy ya cheti cha kuzaliwa, cheti cha shule na baadhi ya vitu vingine ili niweze kupata namba au kitambulisho cha NIDA ambapo ilikuwa mwezi wa 9 mwaka jana yaani 2019 mpaka leo hii nishaenda...
  14. vampire123

    Naomba kujuzwa utatuzi wa tatizo hili la vipele mkononi

    Habari za saa hizi jamani, Poleni na janga la korona Guys naombeni msaada kwa kweli nilianza kutoka vipele vidogo kwenye mkono nilienda hospitali nikaambiwa ni allegy nikapewa dawa za kutumia lakini naona ndo kwanza vinazidi kunitoka. Hivi vipele hadi sehemu za siri na vinawasha balaa...
  15. vampire123

    Visa ya Halotel (Halovisa)

    Unapataje TILL kwenye Halopesa kwa ajili ya kulipia vitu mtandaoni?
  16. vampire123

    LAPTOP INAUZWA

    Intel celeron CPU B820 1.70GHZ BRAND: Samsung HDD:350 GB RAM:2GB BATTERY:2HRS Tatizo: left click yake inasumbua kidogo Bei:nakaribisha offer zenu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. vampire123

    TANESCO, ukatikaji huu wa umeme unasababishwa na nini?

    Jamani mwenye taarifa kamili anijuze hv huu ukataji wa umeme karibia mara 3 mpaka mara 4 kumesababisha na nn? maeneo kama kimara umeme una katikakatika tu yaani mpaka hapa naongea umeme umekatika tangu saa 8 usiku haujarudi hadi sasa hv. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. vampire123

    Msaada kuhusu kuku

    Huu ugonjwa gani? tiba je? Sent using Jamii Forums mobile app
  19. vampire123

    THE NUN MOVIE

    Katika series zote za conjuring, THE NUN ndo movie pekee niliyokuwa dissapoint nayo, Movie haitishi hata kidogo nimekereka mno wasting my bando.
  20. vampire123

    PHOTOPHOBIA(LIGHT SENSITIVITY)

    Kama kichwa cha habari kinavyosena hapo juu, ni kutokana na kazi ninayofanya ya ku stay long time working on a computer ndo imepelekea hivyo. Macho yangu yanakuwa yanauma nikikaa sehemu zenye mwanga pia hata taa.naomba mnisaidia ndugu zangu.
Back
Top Bottom