Search results

  1. Appollo 11

    Tanzania tuna walimu wa kufundisha Kifaransa, Kiarabu na Kichina? Walisomea wapi haya masomo?

    Nimegundua Watanzania wengi ni wagumu wa kutafuta Maarifa. Kwa maswali ulouliza inaonekana unaishi nyuma ya muda. Kifupi tu, Masomo yote hayo yanatoa walimu, na baadhi ya shule zina walimu, na baadhi ya walimu wa masomo hayo, hawana kazi.
  2. Appollo 11

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hiv wemzangu mnadownload vip, Movies za Kikorea? Naombeni tips
  3. Appollo 11

    Eid Mubaraq to all Jf users

    madam s Asalama Alykum Sister, nina shida na wewe Muhimu sana, Naona DM yako imefungwa. Naomba tuwasiliane Ukhti.
  4. Appollo 11

    How does the World will end?

    Mkuu waombe Modes waedit hiyo heading I am afraid to say that it is ungramatical, I suggest (How will the world end) au (How does the world end) lkn ikiwa how does the world will end, naona haijakaa vizur. To my understanding. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. Appollo 11

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanaokwenda vitani ni Wanajeshi sio watoto. Na hio ndio kazi yao. Walokua wakilipwa/wanalipwa/watalipwa mshahara na Kifo ni sehem ya kazi yao,. Kwa wote walopita Jeshi wanalijua hili. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  6. Appollo 11

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Habari mbaya kwa Pro Upendo Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. Appollo 11

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nimekwambia tena kasome Rules of engagement. Russian aki violate basi Ukraine aviolate and vice versa. Na asije mtu akalalamika et Russia anapiga raia au Ukrain anapiga rai. Retaliation yoyote, basi tuikubali. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  8. Appollo 11

    Ni lazima sasa Ukraine iipige Urusi ndani kabisa-Biden

    We ni mgeni wa Geo politics Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  9. Appollo 11

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kasome rules of engagement Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. Appollo 11

    Kumbukumbu Katika Ofisi ya TANU ya Miaka ya 1960

    Interesting Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  11. Appollo 11

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unaeza kuwa na link? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  12. Appollo 11

    Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

    Aaiseeee Mwarabu alikua na Makoloni East Africa? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  13. Appollo 11

    Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Kama hujui jambo bora kukaa kimya na kujifunza kuliko kuonesha ujinga mbele ya watu. Shida ya Watanzania kama. jambo hulijui unahisi halipo.?
  14. Appollo 11

    Putin kukacha kwenda Sauzi kulikoni kimya hiki kutokea Buza?

    Hakutaka kuiweka South Africa kwenye Mgogoro wa Kikatiba ma Diplomasia. That's was the point
  15. Appollo 11

    Msaada kuweka applications za TV kwenye Hisense android tv

    Hiv naeza tumia njia gan kupata saut kwenye Radio kutoka kwenye Tv yangu maana TV haina AV output. Ina HDMI tu, na Optical. Naombeni ushaur wataalam. Ninunue kifaa gan
  16. Appollo 11

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    [emoji635][emoji3538][emoji1255] Interesting rumors coming from Turkish sources According to them, Ukrainian Ground Forces Commander Syrsky informed Zelensky that things are going poorly in Artyomovsk. Syrsky allegedly said that counterattacks in the past three months have yielded little...
  17. Appollo 11

    Ushauri: Mke kakiri anachepuka. Nawaza adhabu ya kumpa ili iwe fundisho kwa wengine

    Inaezekana pia hana, ila tu anakupa wasiwasi na kukulipizia kisasi, wanawake wana lugha yao
Back
Top Bottom