Search results

  1. Ibrahimu Riyad

    Videos & Audio production special thread (Softwares)

    sawa mkuu ngoja nimtafute mwalimu tu
  2. Ibrahimu Riyad

    Videos & Audio production special thread (Softwares)

    naam mi nahitaji kuwa video editor bt sina mwalimu wala program ya kuedit video na audio naombeni muongozo inabidi niwe na program ipi na ipi? nawasilisha
  3. Ibrahimu Riyad

    Vimande; Viagra ya kisambaa

    vinaitwa vimanda watu bhana
  4. Ibrahimu Riyad

    Jinsi ya kuanzisha Internet Radio

    sa sawa mkuu umeme ukirudi leo usiku nitaanza kisha nitakurejeshea matokeo nitakayoyapata
  5. Ibrahimu Riyad

    Jinsi ya kuanzisha Internet Radio

    Mbona hup atikani kaka
  6. Ibrahimu Riyad

    Kusikiliza redio kwa njia ya internet kwenye simu

    Hii hapa app ya habari lakini unaweza kuikiliza Radio online ipo play store clik hapa Zote kali blog kudownload
  7. Ibrahimu Riyad

    Jinsi ya kuanzisha Internet Radio

    Habari wakuu nahitaji kujua jinsi ya kufungua/kuanzisha Internet Radio Kwa wenye kujua naomba waniambukize ujanja kwasababu sio ugonjwa Nawasilisha
  8. Ibrahimu Riyad

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza kituo (kidogo) cha fm radio

    mbona nimejaribu kupakua umegoma nini shida au net ndio uchawi
  9. Ibrahimu Riyad

    Kazi ya uandishi wa habari kwenye blog/website

    Habari wanajukwaa naitwa ibrahimu Riyad Houmud Ruwehy naishi arusha kama kichwa kinavyojieleza natafuta kazi ya uandishi wa habari, makala.n.k kwenye blog/website nina vifaa vyote vya kufanyia kazi i mean laptop na modem naomba kwa ihsan yenu mwenye uwezo wa kuniiajiri ani PM au aniachie maoni...
Back
Top Bottom