Search results

  1. IFM

    Vigogo walioenda kunywa dawa kwa mchungaji loliondo

    Wote hao ni mafisadi tu ndio maana wanaona babu anapata umaarufu.. Hii nchi bana naenda research kutafuta mcawi wake
  2. IFM

    Kikwete kafanya mengi kipindi chake cha uongozi, tutamkumbuka...

    TANGANYIKA BWANA HIVI VITUKO TUTAACHA LINI?
  3. IFM

    Hatimaye CCM yatimiza ahadi; Bajaji za Wagonjwa zapokelewa rasmi

    Mi nhama nchi hii bwana nina hasira sana na upuuzi unaofanyika kila siku....xxxxxx Kwanza fikiria huyo mtoto siatatoka kabla hata mjamzito hajafika hosp.? bwana mi nahama nchi bora nikaishi VIETNAM?
  4. IFM

    Tanzania hata jiwe linaweza kuwa kiongozi

    Hongera sana kwa mawazo yako ni mazuri na mimi kila siku ndo nilikuwa nawadha hivyo kuwa kwa dalili hizi hata Kichaa wa Mirembe anaweza kuwa RAIS WA TANZANIA YA SASA. Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ya sasa na udhalimu wao hawawezi kubadilika......ni aibu kubwa Rais wa nchi anaposema nchi yake ni...
  5. IFM

    Mnasubiri mpaka nife ndio mniletee maua kaburini ?????

    WATANZANIA BANA....SHIDA TUPU!!!! kweli umeongea kitu cha msingi sansa dada yangu!! watu kilakukicha kwa mzee yahya! Utasikia wameleta bajaji kwa wajawazito hivi niulize kitu bajaji ina 4WD? au mpaka wafe ndio mwapelekee maua??????
  6. IFM

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Ndoto nyingine bwana..upuuuuzi mtupu. hivi kwa akili yako tu unawaza huyu FISADI, EPA MKUBWA atapata hata kura 1 ya uraisi? Thubutu hata mke wake hawezi kumpa hiyo kura. Labda awe raisi wa peponi!!!! sitaku kuendelea na miswada ya bunwasi tujadili hoja nzuri sio za kina Lowasa tungoje CDM...
  7. IFM

    Rafiki yangu anaishi na kaka yake nyumba moja!

    Kila mtu atapewa mwenza wa kufanana nae....... kaka subiri utampata mweza wa kufanana nawe!!!:A S 112:
  8. IFM

    Hivi ni kweli huwezi kuwa rais wa tanzania mpaka ukubalike kwa waisilamu ?

    Jamani tafuteni vitu vya kuja kuweka huku JF na sio upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi kama huuuuuu. umekurupuka bwana mdogo kajipange upya.
  9. IFM

    Diwani wa Ccm Monduli afariki dunia

    Habari Za asubuhi wana JF. poleni wana engutoto na sisi tunajipanga kuchukua jimbo letu maana hakuna mlichokifanya.
  10. IFM

    Katiba mpya

    Jamani naomba kujua ni blog ipi inatumika kukusanya maoni katika mchakato wa katiba mpya. naomba wataalamu wa IT watusaidie tutoe maoni yetu jamani tujenge nchi yetu ya karne hii.
  11. IFM

    sharobaro

    Postini vitu vya kujenga taifa bana. siunajua sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya maoni yenu yakoje?
  12. IFM

    Natafuta mchumba

    Jamani siku hizi watu kupata mchumba kwenye JF ni kazi sana. pole lakini ila unaweza match na huyo mdada aliye na watoto 5 jumla mkawa na watoto 8. inawafaa sana:decision:
  13. IFM

    Augustine Mrema Atunukiwa PhD

    Jamani hawa maDr feki wamezidi bongo. Tukumbuke huyu jamaa alipata bachelor kwa magumashi tu akajitangaza sasahivi PhD ni mizengwe tu hiyo. hebu tutumie piocha yake alipokuwa anatunukiwa tuone ukweli wa jambo hili
  14. IFM

    CCM yakiri Jey Key amekwama. Hapo patamu

    Jamani jambo la msingi ni nini kimesemwa na kina manufaa gani katika taifa letu, na wala sio nani kasema. Huyu jamaa aliishawahi kuwa Chadema... Sawa lakini alichokisema ni ukweli na wala sio kumbeza.
  15. IFM

    matapeli safari za LOLIOND!!

    Kweli inasikitisha, watanzania tusaidiane jamani. wewe mtu ana HIV anataka kwenda kunywa dawa halafu unamwibia... It's not fair at all!
  16. IFM

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Vitu Personal hivyo kijana funga domo... sasa akilipwa vizuri wewe inakuhusu nini?
  17. IFM

    Magufuli ataka CHADEMA "washindwe na walegee"

    Hakuna kitu anachojua yule....
  18. IFM

    Ni wasaidizi gani IKULU wanaosababisha Rais Kikwete aonekane kituko katika jamii?

    Tutakapochukua nchi yetu 2015 yeye na wanaCCM wajifunze kupitia kwetu. Nashangaa hata mimi inabidi watu wahoji uelewa wa JK katika masomo yake ya uongozi na washauri wake.
  19. IFM

    mgeni najitambulisha

    Karibu kijana, wengine ndio tuakomaakomaa ila usinogewe na ukaacha kufanya kazi zako nchi iliisahuzwa hii
  20. IFM

    Tanzania yapaa juu!!!!!

    Kumbe hata uchosoma hukielewi...... nimespecify Tanzanite>>.>>>>
Back
Top Bottom