Search results

  1. B

    Msaada wa Land Rover Discovery 2 TD5

    Wapendwa poleni kwa majukumu Naomba kujua mambo ya msingi kwa gari tajwa hapo juu 1. Ulaji wa mafuta 2. Upatikanaji wa spea 3. Magonjwa ya mara kwa mara 4. Uimara wa gari hasa kwenye bara bara za vumbi Natanguliza shukran
  2. B

    Msaada wa jinsi ya kununua magari kwenye minada Japan

    wadau habari za jioni, naomba kuelekezwa jinsi ya kununa magari kwenye minada ya japan kwan wanasema ni rahisi sana kununua gari kuliko kununua kwenye haya makampun, na je vip usalama wake na je wanasafirisha mpaka tanzania
  3. B

    contral arm ya subaru napata wap?

    bandugu Naomba kujua naweza pata WAP hii lower control arm ya Subaru forester TA SG5 ya kushoto Kwan yangu imekatika kichuma cha kufungia link, MTU akiweka bei sio mbays, natanguliza shukrani
  4. B

    ushauri wa nissan grolia

    wakuu Naomba msaada wa hii Gari(Nissan grolia) juu ya mambo yafuatayo 1. upatikanaji wa spea(vipuli) 2. ulaji wa mafuta 3. uimara wa Gari wadau ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. natanguliza shukran
  5. B

    NAITAJI VIATU VYA MTUMBA KWA BEI YA JUMLA KUTOKA KENYA

    wadau kutoka Kenya, Naomba kujuzwa WAP naweza pata soko mzuri la Viatu vya Mtumba. au kama kuna mfanya Biashara wa Viatu unae mjua unaweza nisaidia kwa kunipa namba zake Kwan nataka Viatu vya Mtumba kwa bei ya jumla. natanguliza shukrani
  6. B

    Msaada wa matairi aina ya Westlake anisaidie

    Wadau nataka kununua hizi tairi nifunge kwenye gari yangu. Si mtu wa kusafiri sana. Kwa anaejua uzuri na ubaya wa hizi tairi anijulishe. Natanguliza shukrani.
  7. B

    Chumba cha biashara kinapangishwa Arusha Nanenane

    Kwa anaeitaji chumba cha biashara siku ya nanenane anitafute. Chumba kipo sehemu nzuri sana kinafaa kwa biashara zote. 0767 425555
  8. B

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    wadau naomba tujuzane bei ya hizi gari nnchini afrika kusini. lengo nikujua kama ziko chini kuleko kwetu tanzania au la. 1.ford ranger 2.mercedes benz 3.toyota hilax na jee ni njia ipi rahisi ya kusafirisha mpaka tanzania. kwani nasikia kuna boda nyingi
  9. B

    Msaada: Masoko y nguo za mitumba Kenya

    natumaini ni wazima wa afya njema, naombeni kujua kwa kenye ni sehem gani naweza pata nguo za mtumba na viatu iliniweze kuzileta Tanzania kwa ajili ya biashara. ndugu zetu wakenya, msaada wenu ni muhim sana. natanguliza shukran
  10. B

    Subaru Impreza wrx, Sti vs Mitsubishi Evo

    wakuu nmekuwa nkisikia kwa wapenzi wa magari kwamba kati ya subaru impreza wrx sti na mitsubishi evo ni gari za mabio, wapenzi wa rally tumalize ubishi kati ya subaru impreza wrx sti na mitsubishi evolution ipi ni mbabe wa rally?
  11. B

    Mashudu ya alizeti yanauzwa arusha

    wadau kuna mashudu yanauzwa ni ya alizeti kwA rangi ni meusi, yapo tani kumi nakwa kilo ni 500 karibuni
  12. B

    Msaada kuhusu Volkswagen

    NOmbeni kujua juu ya aina hizi za volkswagen Volkswagen polo mwaka 2002 na volkswagen golf mwaka 2001 juu ya mambo yafuatayo .ulaji wa mafuta(1l/km .upatikanaji wa vipuli .uimara kwa barabara zetu .bei yake, je kwa 10m unapata? Wadau ushauri wenu ni muhimu sana kwan utakuwa na msaada mkubwa kwangu
  13. B

    Mashamba na viwanja vinauzwa Arusha

    Nauza shamba lenye ukubwa wa heka sita(6) zilizo kaa pamoja .Mazingira ni mazuri sana .Kinafaa kwa shule au hotel .Kipo MAJI YA CHAI .Umbali ni KM 2.5 kutoka barabara ya moshi arusha na KM 28 kutoka arusha mjin .Bei ni 20,000,000@ heka, maongezi yapo .Mawasiliano 0767425555 Viwanja 20*20 mita...
  14. B

    Nissan Caravan inauzwa

    Mwaka : 2000 Mafuta : dizel Rangi : silver Cc : 3150 Model : QD Bei: 14 m Mawasiliano: 0767 425555,Arusha Sababu za kuuza: nataka niongezee ninunue gari nyingine ya biashara. Gari iko vizur na imetumika mwaka mmoja tangu itoke japan
Back
Top Bottom