Search results

  1. KIGWANYA

    Ushauri wa Research kwa watu binafsi na walio vyuoni

    Tunatoa ushauri wa research pia kufundisha jinsi ya kufanya analysis kwa kutumia:- SPSS STATA EPI-INFO R Karibu: mawasiliano ni: rijaabeid@yahoo.co.uk
  2. KIGWANYA

    Ushauri kuhusu research

    unaweza kunitumia email ili tuongee zaidi
  3. KIGWANYA

    Ushauri kuhusu research

    inawezekana kabisa. ANOVA ni type ya analysis, kwa hiyo hiyo ni rahisi tu. Labda ni kuulize vipi una data tayari?
  4. KIGWANYA

    Ushauri kuhusu research

  5. KIGWANYA

    Ushauri wa propasal na research

  6. KIGWANYA

    Lipumba afungua akaunti mpya ya benki ili kupata ruzuku ya CUF

    usitokwe na povu jingi, tumeshawaambia zamani mtanyooka tu. Hiv we Bavicha nini maana virusi wabaya kwenye hili ni Bavicha hakuna wengine. Ila tumeshawatarifu tangu zamani kwenye uzi huu hapa chini kama hukusoma. Baada ya kudhibiti ofisi: Sasa ni Ruzuku, Maalim atanyooka tu
  7. KIGWANYA

    Lipumba afungua akaunti mpya ya benki ili kupata ruzuku ya CUF

    Mleta mada hii mbona unatokwa na povu sana? au we bavicha nini maana bavicha hili linawauma kuliko CUF Zanzibar. Hili tumeshawajulisha zamani mkakataa na uzi tuliotuma hapa huu hapa. Baada ya kudhibiti ofisi: Sasa ni Ruzuku, Maalim atanyooka tu
  8. KIGWANYA

    Yupo wapi Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Ole Sosopi?

    Kijana huyu wa Bavicha hajasikika kabisa tangu alikua amekamatwa na polisi kwa uchochezi wakutaka kuzuiya mikutano ya CCM kule Dodoma. Na mbwembwe zake zote sasa hivi Kimyaaaaaa! kweli JPM amewakata pabaya Bavicha na CDM yao kama hawapoo! wamebaki wachochezi wachache mitandaoni. Mungu jalia hata...
  9. KIGWANYA

    CUF Mtwara na Lindi: Mbowe asiingilie mambo yetu

    Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii. Video hii hapa. My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.
  10. KIGWANYA

    Sumaye: Kutoka Waziri Mkuu mpaka Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani. Si kupotea kisiasa huku?

    Unajua kuna mambo kama hukuyafanya utotoni au ujanani utayafanya uzeeni tu. Huyu sumaye hakuwa mtundu utotoni ngoja sasa kina mbowe wamfundishe utundu ukubwani, swali ni jeee? ataumudu mchezo wa utu uzimani?
  11. KIGWANYA

    Tetesi: CUF Bara kugomea mkutano wa Tanga

    Hizi ni habar za uhakika na sababu yake ni kuwa haujaitishwa na mwenyekiti halali wa chama ambaye ni Prof. Ibrahim Lipumba. Aidha wameenda mbali zaidi na kutaka polisi izuwiye mkutano huu. Tangazo lenyewe la mkutano huo hili hapa; The Civic United Front-CUF Chama cha Wananchi Wilaya ya Tanga...
  12. KIGWANYA

    Mwenyekiti Magufuli, tukataze kumshabikia Prof. Lipumba. Anatuaibisha!

    Nna wasiwasi sana kama kweli unajua unachokiandika hapa. Acha unafiki CCM hawako kama wewe.
  13. KIGWANYA

    Sijawahi kuona kiongozi strategic kama Rais Magufuli!

    Magufuli ni Jembe, tutafanya kila liwalo ili angalau atawale kwa miaka 20. Viva Magufuli, Wapinzani uchwara walie tu.
  14. KIGWANYA

    Mkutano wa Viongozi wa Ukawa: Hatumtambui Profesa Lipumba kama Mwenyekiti wa CUF

    Anaandika Hilda Newton, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ataongoza jopo la mawakili la UKAWA, kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na Mwanachama wa zamani wa CUF Prof. Ibrahimu Lipumba kwa tuhuma za kukihujumu chama hicho.! Maoni. Tulishasema UKAWA...
  15. KIGWANYA

    Mbowe ashiriki ibada ya shukrani usharika wa Nshara Machame

    kwahiyo, akihudhuria huko chaggan kwao unataka sisi tufanyeje?
  16. KIGWANYA

    Mkutano wa Viongozi wa Ukawa: Hatumtambui Profesa Lipumba kama Mwenyekiti wa CUF

    wadau kuna jamaa kaandika hivi. Kwani UKAWA una usajili kwa msajili wa vyama? Umesajiliwa wapi? Huo ni muungano wa uchochoroni usiotambuliwa na msajili wa vyama wala hautambuliwi na sheria yoyote.Hicho kikao tu kisheria ni NULL AND VOID hakuna kitu kinachoitwa UKAWA kisheria. Nawashangaa hata...
  17. KIGWANYA

    Baada ya kudhibiti ofisi: Sasa ni Ruzuku, Maalim atanyooka tu

    Wewe ndo hujui kabisa, kama imezekana mpaka sasa Prof. yupo ofsin unadhani haya ya pesa ni magumu? Ngojeni mutaona! by the way, mbona Chadema povu linawatoka sana kulikoni?. Hizi ndo habari za uhakika ruzuki haitatoka mpaka prof. mumutambue kuwa mwenyekiti halal mtake mstake.
  18. KIGWANYA

    Baada ya kudhibiti ofisi: Sasa ni Ruzuku, Maalim atanyooka tu

    Wadau habari. Baada ya Prof. Kuthibiti ofisi ya CUF kilichobaki sasa nikuithibiti ruzuku ya chama hicho ili ajihakikishie umiliki halali wa uenyekiti. Wale wanaobeza uwenyekiti wake wasubiri pale atakapokua na nguvu kamili ya kuthibiti hela za chama watataka usuluhishi wenyewe vinginevo...
  19. KIGWANYA

    Mapokezi ya Maalim Seif na Viongozi wa CUF yahairishwa baada ya viashairia vya fujo Buguruni

    Ule mpango uliokuwepo wa maalim seif na wabunge wa CUF kufika ofisi za buguruni kesho ijumaa tar 30/9/2016 umeharibika bila shaka maalim amekosa ushirikiano kutoka polisi maana CUF bara chini ya mwenyekiti wao Prof. wako sawasawa pale ofisi kuu na hawako tayar kumruhusu seif mpaka akili kuwa...
Back
Top Bottom