Search results

  1. Steve Dii

    Kikwete: Uamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu na Ujenzi wa Ikulu haukuwa wa mtu mmoja!

    Kwa upande mwingine, unapoona mtu kama Trump alifanikiwa kuwa Rais na kuendelea kuwa licha ya kashfa nyingi zilizomwandama baada ya kuteuliwa, ndipo mtu unapoweza kuhitimisha - hakuna mfumo wa kiutawala uliothabiti na hata kuwa mfano. Hebu fikiri tu kwa mtu kama Boris Johnson kuwa PM , ama kwa...
  2. Steve Dii

    Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

    Global: 1. Evian 2. Volvic 3.Saka 4. Perrier 5. San Benedetto Tz: Hill Sequa Dew Drop Udzungwa Canadian Cool Blue Dasani Lulu Ruwenzori Ndanda Uhai Kilimanjaro Jambo Mwanza Masafi Safina Afya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Steve Dii

    Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

    Happy Birthday Kiongozi. Kua, unenepe, unene! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Steve Dii

    Maajabu ya mchungaji Naijeria

    .. . . . . kheee mi nikajua anamnogesha Nandy kwa miguu :rolleyes:
  5. Steve Dii

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari: Riwaya ya Upako kutoka Kuzimu Sasa Inapatikana Tanzania

    Hongera MM! Pamoja sana, please toa audiobook yake pia kama nafasi inaruhusu hapo baadae. Steve Dii
  6. Steve Dii

    Bachelorette Shyrose Bhanji

    This is some food for thought and it's deep...like in really DEEP, shikamoo Kiranga!!! Umemuona Ngabu anaonesha nia ya kushiriki, vipi upande wako, nawe utajitosa?! :)
  7. Steve Dii

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Ni mwaka mmoja umetimia, kesi zilizohusisha Maxence kukamatwa na baadae Mike kuunganishwa kwenye mashtaka bado ziko mahakamani. Hata leo hii 13 December 2017 kesi inasikilizwa. Tunawaombea mema na ushindi katika majaribu haya makubwa kwenye harakati za kutetea faragha za watonyaji...
  8. Steve Dii

    Naweza kutumia dish moja la azam au dstv kuweka ving'amuzi viwili?

    Jibu ni: Haiwezekani. Sababu: Wanatumia satellite tofauti, elevation angle tofauti, azimuth tofauti, hata kama dish linasupport mount za lnb mbili.
  9. Steve Dii

    Kwa wanaojua laptop vizuri ..nijuze ubora wa hii laptop

    Mkuu, editing ya video anayokusudia itafanya ila siyo kwa ufanisi. Combination ya processor hiyo na ram average itapelekea rendering ichukue masaa mengi. Kama motherboard inaruhusu expansion ya ram zaidi hadi 8gb basi aongezee ili kuboost performance kidogo. Kwa kufanya editing ya docs, light...
  10. Steve Dii

    Humphrey Polepole, unahitaji kuelimishwa kuhusu CCM

    Mchambuzi, nimependa sana nondo zako kuhusu mapungufu ya sera za ujamaa. Ni kweli kabisa kuwa ujamaa mtaji wake mkuu ni umasikini wa watu, na bahati mbaya haujadumu duniani popote ulipotumika. Ujamaa hauna miaka 100 tangu uanze, uwe ule wa kiCuba, wa Lenin au Mao. Wakati ubepari umekuwepo na...
  11. Steve Dii

    Mwamtafuta Mchungaji? Ni Mimi...

    Kwenye safu ya uongozi na ulinzi nchini kuna pahala hawaelewi kabisa namna Wachangiaji wa JF wanavyojiunga na kinachowasukuma kujiunga...
  12. Steve Dii

    Ubongo kids: Kipindi bora zaidi kwa watoto

    Naungana na wenzangu hapo juu Ubongo Kids kinachorushwa na TBC1 ni moja ya vipindi vizuri sana kwa watoto vyenye kuelimisha na kuburudisha kwa TV za hapa nchini. Pongezi kwa watayarishaji wa vibonzo hivi.
  13. Steve Dii

    Question for Windows Experts

    Nipo tu mkuu
  14. Steve Dii

    Picha za ‘utupu’ za mke wa Donald Trump zasambaa

    ...manage a trump ...ménages à trois What a pun!:)
  15. Steve Dii

    TANZIA: William Malecela afiwa na mama yake mzazi

    Pole sana William. Apumzike Katika Amani Ya Milele, Amina. Steve Dii
  16. Steve Dii

    Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

    ...kama wewe! :)
  17. Steve Dii

    Nimembamba Nyani Ngabu leo

    ... Hillarious! This shiii cracked me up Lol
  18. Steve Dii

    TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    ...shocking sadness! ...R.I.P. Dotto. ...Gone too soon��
  19. Steve Dii

    Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

    I'm touched! Thanks a ton for sharing Ngabu, thanks!
Back
Top Bottom