Search results

  1. M

    wapi wanafundisha C.A.A.T

    habari wana jamii naomba kufahamishwa ni wapi naweza kusoma course ya computerized assisted audit technique kwa kifupi C.A.A.T
  2. M

    jinsi ya kutumia crdb internet banking

    Thnx,ila naomb unifahamishe izo taratibu za kupata huduma ya kununua vitu online
  3. M

    jinsi ya kutumia crdb internet banking

    Thnx,kote huko nafika ila bado inagoma
  4. M

    jinsi ya kutumia crdb internet banking

    Asante kwa mchango wako,nimefwata taratibu zote za usajil wa iyo huduma ila bado inazingua
  5. M

    msaada wa kutumia crdb internet banking

    wana jamii naomba msaada wenu nimejiunga na huduma ya crdb internet banking mwezi wa pili sasa lakini kila nikijaribu kufanya malipo au transaction yoyote online inakataa na inapokea taarifa ya authorization failed,sasa cjajua tatizo ni nini
  6. M

    jinsi ya kutumia crdb internet banking

    habari zenu wadau,naomba msaada wenu wakuu nimejiunga na crdb internet banking huu mwezi wa 3 sasa ila kila nikijalibu kufanya malipo online yanagoma ninachoambiwa ni, authorization failed, naombeni mnisaidie kunielimisha ktk ilo, maana kama ni helo ktk account kuna hela ya kutosha.
Back
Top Bottom