Search results

  1. S

    Msaada: Natafuta kioo cha Philips Xenium w6618

    Ninasimu aina ya PHILIPS Xenium w6618 imevunjika kioo naomba msaada pakuipata screen imekufa kabisa siwezi kufanya chochote ila inawaka. Natanguliza shukrani kwanza
  2. S

    Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Ningependa jina la duka au namba ya simu ingekuwa vyema sana
  3. S

    Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Ilitoka Dubai mkuu
  4. S

    Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Asante nitaenda kucheck
  5. S

    Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Dah kuna njia nyingine hii ya kuagiza hapana
  6. S

    Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Simu yangu aina ya 1 plus kioo kimefunjika haifanyi kazi kabisa ila kinaonyesha, kwa yeyote mwenye kujua sehem vinavyopatikana anijulishe please! Natanguliza shukurani zangu asante
  7. S

    Plate za majiko ya gas

    Nashukuru mkuu nitacheck nae
  8. S

    Plate za majiko ya gas

    Asante mkuu ngoja nijaribu pia hapo
  9. S

    Plate za majiko ya gas

    Samahani mkuu kariakoo sehem gani
  10. S

    Plate za majiko ya gas

    Asante sana kwa michango yenu ngoja nikajaribu hapo clock tower
  11. S

    Plate za majiko ya gas

    Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please
  12. S

    Kwanini vijana wengi wa mjini hupenda kuitana Wanyamwezi au kujiita Wanyamwezi?

    Hivi ukienda ughaibuni hasa Marekani na mataifa ya ulaya watu wanasema umeenda unyamwezini. Ukiwa mtu wa huko ama unaishi huko unaitwa mnyamwezi, Je hii origin yake ni nin zaidi ilikuwaje ikawa watu wanaita hivyo
  13. S

    CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes

    Aisee mkuu hii kitu naitaka ile mbaya nitakutafuta unipe info za kutosha one to one thanks in advance kwa hii habari
  14. S

    Kwanini Wanaume Werevu na Wasomi waliobobea huoa wanawake wenye Elimu ya wastani?

    Ukitaka mambo yaende utakavyo ndani ya ndoa oa mwanamke asie na kisomo(au kisomo kikubwa) au kama unataka mambo yaendo sivyo ndivyo si kwa urahisi kwa nguvu tena kwa malumbano mengi pasua kichwa oa alieenda shule level za shahada ya kwanza kwenda mbele
  15. S

    Dunia ya sasa Imejaa wanawake wema wambao sio waaminifu kwenye ndoa zao.....

    Dah story yako nzuri, hivi vitabu vyako title zake ni zipi vile
  16. S

    Ebu tupia kauli yako kwa hii message!

    Yaani watu badala ya kujali issues zao wao wanafuatilia mambo ya watu
  17. S

    iPhone for sale

    Nimeku-PM mkuu
  18. S

    iPhone for sale

    300,000/= mkuu
Back
Top Bottom