Search results

  1. Rajabu Msechu

    Nahitaji moderm ya halotel

    Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, mwenye moderm ya Halotel ambayo ipo kwenye hali nzuri anijulishe mara moja. Kwa Wale walioserious wanicheki Inbox.
  2. Rajabu Msechu

    Msaada kuhusu mfuko wa Taifa wa Bima ya afya

    Wasalaam memba wote wa Jf. Matumaini yangu mu wazima wa afya. Nahitaji kufahamishwa zilipo ofisi za NHIF wilaya ya Kinondoni. Je, kwa mjasiriamali kama mimi naweza nikapata Huduma ya bima iyo pmj na familia yangu? Gharama zake zikoje kwa mtu anayetaka kufungua daraja la tatu yaani Bronze...
  3. Rajabu Msechu

    Nataka kuplay music kwa Bluetooth.

    Nahtaj mnisaidie kunielekeza jinsi ya ku-play music kwa Bluetooth kwny gari. Aina ya gari ni Toyota Crown Athlete. Napenda kuwasilisha
  4. Rajabu Msechu

    Napiga bei raba zangu bei poa kbs

    Habari zenu waungwana wa jukwaa hili. Kama tangazo linavyojieleza, kimfaacho mtu chake. Nauza raba zangu mbili, nimezivaa kwa takribani mwezi mmoja. Zipo kwenye hali nzuri kabisa, size ni 10uk. Nimeamua kuziuza sababu zimekuwa kubwa kwangu. Raba zenyewe ni 'Air Jordan Retro 1-High Top(Black &...
  5. Rajabu Msechu

    Kituo cha mabasi Makumbusho kinaharibiwa

    Habari za asubuhi great thinkers wenzangu, natumaini kwa uwezo alitupatia mwenyezi Mungu hatujambo. Nimeona ni jambo la mbolea kuleta uzi huu kwenye jukwaa hili hasa baada ya uchunguzi yakinifu nilioufanya kwenye kituo cha mabasi Makumbusho. Wazungu wanakwambia, "No Research, No Right To...
  6. Rajabu Msechu

    House4Sale LODGE MPYA VYUMBA 12 INAUZWA BEI CHEE

    Bikuhabari memba wenzangu wa JF. Lodge mpya bado haijaanza kufanya kazi, ina jumla ya vyumba 12, vyumba 10 self, viwili vilivyobakia ni store na mapokezi. IPO Mbagala Mzinga, bei inaanzia milioni 60 mazungumzo yapo. Imekwishwa fanyiwa wiring ya umeme na mabomba, umbali wa mita 50 kutoka...
  7. Rajabu Msechu

    Nauza toyota starlet bei poa kabisa

    Hbr zenu wananchi wa JF, natumaini kwa uweza wake Maulana hatujambo. Kama bango linavyojieleza, nauza gari aina ya Toyota Starlet. Imelipiwa vibali vyote na ipo kwenye hali nzuri kabisa. Nimeambatanisha na picha zake. Bei inaanzia Milioni 6.3 - BEI INASHUKA Nicheki kwa namba : 0717 36 05 05
  8. Rajabu Msechu

    Car4Sale STARLET inauzwa bei poa

    Hbr zenu wananchi wa JF, natumaini kwa uweza wake Maulana hatujambo. Kama bango linavyojieleza, nauza gari aina ya Toyota Starlet. Imelipiwa vibali vyote na ipo kwenye hali nzuri kabisa. Nimeambatanisha na picha zake. Bei inaanzia Milioni 6.3 huku mazungumzo yakiwepo. 0717 54 73 25.
  9. Rajabu Msechu

    House4Sale Lodge mpya kabisa inauzwa

    Poleni na majukumu wanajukwaa wenzangu, lodge ipo sokoni ni mpya na bado haijaanza kufanya kazi. Ipo eneo la Mbagala Kizinga umbali wa mita 50 kutoka barabarani, wiring ya umeme imeshafanyika sambamba kabisa na mabomba ya maji, bado kuweka tuu. Ina jumla ya vyumba 10 ambayo ni self-contained...
  10. Rajabu Msechu

    Lodge mpya inauzwa bei nafuu ipo mbagala kizinga

    Habari zenu ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi natumaini hamjambo na wazima wa afya. Lodge mpya na ya kisasa inauzwa, ipo Mbagala Kizinga, haipo mbali na Barabara. Bado haijawekwa umeme wala kuvutiwa maji, vitu vya samani vya ndani vipo tayari, inahitaji finishing. Ina jumla ya vyumba 12, kumi...
  11. Rajabu Msechu

    Nauza kiwanja kwa heka Goba, zimebaki heka 8 bei poa

    Ahlan wa sahlan Mabibi na Mabwana, ningependa kuwatangazia wale wenye uhitaji wa kununua viwanja ni kwamba nina hekari zipatazo 9 Goba Njia Nne, kila hekari moja nauza kwa milioni 20 za Kitanzania, heka moja nimeshauza. Hekari zote hizo hazina shida yeyote ni eneo langu halali na lina Documents...
  12. Rajabu Msechu

    Nauza kiwanja kwa heka Goba, zipo heka 9 bei poa

    Ahlan wa sahlan Mabibi na Mabwana, ningependa kuwatangazia wale wenye uhitaji wa kununua viwanja ni kwamba nina hekari zipatazo 9 Goba Njia Nne, kila hekari moja nauza kwa milioni 20 za Kitanzania. Hekari zote hizo hazina shida yeyote ni eneo langu halali na lina Documents zote muhimu sambamba...
  13. Rajabu Msechu

    Nauza kiwanja kwa heka Goba, zipo heka 9 bei poa

    Ahlan wa sahlan Mabibi na Mabwana, ningependa kuwatangazia wale wenye uhitaji wa kununua viwanja ni kwamba nina hekari zipatazo 9 Goba Njia Nne, kila hekari moja nauza kwa milioni 20 za Kitanzania. Hekari zote hizo hazina shida yeyote ni eneo langu halali na lina Documents zote muhimu sambamba...
  14. Rajabu Msechu

    Afande Awadhi unachofanya sio sahihi

    Kwa wale watumiaji wa barabara za Dar es salaam bila shaka watakuwa wanamfahamu fika huyu polisi anayejulikana kwa jina la AWADH mwenye cheo cha SP ambaye mara nyingi huwa namuona kwenye barabara ya Al-Hassan Mwinyi hasa maeneo ya ubalozi wa Ufaransa na sehemu zenye utata wa foleni. Kwanza...
  15. Rajabu Msechu

    Ushauri: Wameshaachana, ila anaota anafanya nae mapenzi

    Habari zenu wanajukwaa la MMU, Natumai hamjambo na mnaendelea kutekeleza ilani ya Mzee wa Hapa Kazi Tu, bila ya kupepesa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina rafiki yangu mmoja wa muda mrefu ninayeshirikiana nae kwenye shughuli za kijasiriamali katika kipindi cha muda...
  16. Rajabu Msechu

    Pongezi zikufikie RC Paul Makonda

    Ahlan wa Sahlan wanafamilia ya jukwaa la siasa, pasipo kupoteza muda ningependa kumpa pongezi za dhati mkuu wa mkoa wetu Mh. Paul Makonda kwa jitihada zake anazozifanya kila uchwao ikiwa ni katika kuhakikisha mkoa wa Dar es salaam unakuwa na sifa nzuri na kuigwa. Nikianza kabisa na suala zima...
Back
Top Bottom