Search results

  1. mwanakijiji lugusi

    Msaada tatizo la mdomo kuwa na radha ya uchungu

    Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa mbaya zaidi hasa nyakati za asubuhi ninapoamka pia hali hii inapelekea mwili kuuma na viungo hakika...
  2. mwanakijiji lugusi

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Nashkr kk Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  3. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Nilipewa dawa ya kusukutua lkn haikunisaidia Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  4. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Unauma ila hakuna USAA na wala sitoi usaa sivuti sigara na sijawah Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  5. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Msaada jamani. Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  6. mwanakijiji lugusi

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Kapimwe akili Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  7. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Mkuu sijawahi zama chumvin hii hali ilianza kunitokea nikiwa na miaka 12 nikiwa LA tano
  8. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman nisaidien kwa kuwa hili tatizo linanitesa sana na lilianza kama kaupele hivi mdomoni.
  9. mwanakijiji lugusi

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Nimetumia omeprazole na ant acid ya maji lkn hakuna nafuu
  10. mwanakijiji lugusi

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Nateseka sana wadau nina miaka kumi hili tatizo nililonalo la mdomo kuwa mchungu huku viungo vya mwili vikiuma na uchovu uliopindukia, na nimejaribu kwenda hospital kucheki vipimo vyote lakini tatizo halionekani. Nimetumia madawa ya kila aina ya antibiotics lakini hali inazidi kuwa mbaya huku...
  11. mwanakijiji lugusi

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Wadau mimi mgeni hapa JF, Napenda kuuliza kama kuna ambao mmewahi kuugua vidonda vya tumbo mkawa na tatizo la ukosefu wa usingizi, woga ulokithiri, moyo kwenda mbio sana, kusahausahasu, hasira zisizo za lazima, maumivu makali ya mgongo, kupungua kwa uwezo wa ubongo kupambanua mambo, mwili...
  12. mwanakijiji lugusi

    Utaratibu wa kuhama chuo kikuu upoje?

    Habari wana Jf mimi ni first year tarajali na nmekosa mkopo je nifanyeje ili nihamie Chuo kilicho karibu na home ili familia ikasimamie show kwenye ada na mahitaji yangu mengine nikiwa chuo.
  13. mwanakijiji lugusi

    Msaada: Kuhusu kuhama chuo, hii imekaaje?

    Jaman tusaidien kwa Mwenye uelewa na hili
  14. mwanakijiji lugusi

    Msaada: Kuhusu kuhama chuo, hii imekaaje?

    Dah MKUU hii kama inanihusu vile VP we ni mwaka wa kwanza?
  15. mwanakijiji lugusi

    SAUT Mbeya tujuane hapa

    Jaman wale wa SAUT Mbeya tukutane hapa na kujuana na kupeana updates za Chuo na mazingira kwa ujumla ya huko MBEYA
  16. mwanakijiji lugusi

    Aliconfirm Tumain Dar awamu hii kachukuliwa UDSM NA anapenda UDSM AFANYEJE?

    Habari za siku wana Jf nina ndugu yangu aliconfirm Makumira ila anapenda kusoma UDSM na ada halipiwi na HESLB Bali kuna shirika la kimarekan litamsomesha je akienda kuripoti UDSM itamletea madhara huko mbeleni? Kwa wenye uelewa msaidien dogo
Back
Top Bottom