Search results

  1. J

    Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Umewasahau wengine,,,, Umewasahau wengine,,,,,,,mbon wengi?????
  2. J

    Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

    Pole san P,,,,hukujua sisiem ina wenyewe
  3. J

    Hata $ ilipanda kama mafuta na haikushuka mpaka kesho! Mafuta sokoni ni 1,375

    Acha sisiem itunyooshe labda tutakaa vizur huko mbelen
  4. J

    Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Akil kubwa hii,,,tungekuwa na walau na watu wachache kam wew ccm haiwezi fanya inavyotaka!!! God bless you 🙌🙌
  5. J

    Tetesi: Freeman Mbowe kuhudhuria mkutano wa Uchaguzi wa Waziri mkuu wa Uingereza

    Nyie ccm mkoje jamn,,unawez kutoa kauli kam hii isiyo ya utu??Kwan ulimuumba wwe au Mungu???Tegemea kuwa mlemavu mda si mrefu!!!!
  6. J

    Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    Ccm mbon inahangaika na upinzan wakti wanainchi wanalilia Maisha magumu?? Kwan Mbeya huko Mafuta bei gani???CCM is now outdated political party
  7. J

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Mim niliyesoma Maths and IT kwa miaka 3 chuo kikuu nipo kwenye category gani kulingan na hiyo specialization unayosema?
  8. J

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Hata Hawa wa kwangu nadhani hakuna mwenye fani ya IT maana waling'ang'ania juu ya Cheti kuwe kumeandikwa DIPLOMA/DEGREE of IT/Computer, vya kwenye Transcript hawavielewi, wanasema sijasoma IT.
  9. J

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    B.Science(Ed) IT &MATHS kwa nini sina vigezo boss!
  10. J

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Sijafuatilia kiongoz Ila naamin itakuwa mambo ya kawaida tu
  11. J

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Bora ningefeli kwenye maswali asee!!
  12. J

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Habar za majukumu wanajamvi, Kama mnavyojua tupo katika kipindi cha usaili wa sensa ktk nafasi mbalimbali. Basi bwana juzi usiku mida ya saa tano kasoro nilitumiwa messege kuwa saa 8.00 am tar 19/7 natakiwa kwenda usaili wa sensa ktk nafasi ya msimamizi wa TEHAMA Kama nilivyoomba. Bahati mbaya...
  13. J

    Possible za usahili msimamizi wa TEHAMA

    Jmn mwezetu kauliza,kwa ambao mmefanya usaili leo mtupe mwanga kidogo,,,,,,,sharing is caring
  14. J

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kwa mliofanikiwa kufanya usaili nafasi ya TEHAMA,,,tupeane possible jmn
  15. J

    TV4Sale Blackstone 32 inch tv brand new

    Inatumia king'amuzi Cha nje au ndani?
  16. J

    Mtoto amepata maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa, kinyama kimetokea na kurudi ndani

    Nina mtoto mdogo wa miaka 3½ ambaye siku ya Jana alikuwa analalamika wakti wa kujisaidia haja kubwa lakin baada ya masaa kadhaa alijisaidia kumbe alikuwa anapata maumivi ndani ya haja kubwa. Wakati anajisaidia kilijitokeza kinyama laini ivi na alipomaliza kikarudi ndani na hali Kama iyo...
Back
Top Bottom