Search results

  1. Man Mvua

    CCM amkeni mpo nyuma mno ya wakati. Miaka 5 iliyopita ndio iliwaumiza zaidi

    Amani iwe juu yenu. Leo nimesikitishwa sana na hoja za wenyeviti vya uvccm wilaya za Kinondoni, Ubungo na kigamboni kwa hoja zao tatu zifuatazo: 1. Wanaccm hawa wanaipinga Katiba mpya kwa nguvu kubwa sana as if anayeitaka katiba ni mpinzani wao tu, bila kujua katiba ni Mali ya Mwananchi na sio...
  2. Man Mvua

    Bunge nalo limekuwa la walalamikaji tu kama sisi wananchi

    Amani iwe juu yenu. Kuna jambo limenifikirisha sana nalo ni kuona Bunge la JMT kuwa ni Bunge la walalamishi tu bila kuchukua hatua zozote na hayo madaraka wanayo. Mbali na kwamba inajulikana kwamba Bunge kwa Nchi nyingi za Afrika si Tanzania pekee si muhimili huru kama inavyotakiwa kuwa au...
  3. Man Mvua

    Rais Samia ni lini mtalipa malimbikizo ya mishahara ( Salary arrears)...??

    May mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa. Kama mmelipana nyinyi tu juu kwa juu basi Watanzania tungependa kujua. Na kama bado hamjalipa Salary...
  4. Man Mvua

    Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya

    Amani iwe juu yenu. Jambo ambalo lipo wazi ni kwamba watanzania ni watu WABINAFSI SANA na watu wenye kufuata maslahi. Jambo lingine ambalo lipo wazi ni kuwa KATIBA mpya ni jambo lisilo zuilika kabisa na wanaopinga au kukataa KATIBA mpya basi rudi kwenye pointi yangu hapo juu. Mifumo mingi ya...
  5. Man Mvua

    Suala la Mishahara kwa watumishi wa Umma liangaliwe upya, tena kwa macho manne

    Amani iwe juu yenu. Jambo la mishahara ni kitu muhimu sana kwa mtu ndio maisha yake na ndio uhai wake. Kuna mtumishi namba moja aliyepita alipata kusema "Asiyefanya kazi na asile na maana yake afe" hivyo kila mtu hufanya kazi ili aishi yeye na familia yake. Unyeti wa mshahara ndio umefanya...
  6. Man Mvua

    Viongozi tumieni akili na busara, Dunia ipo 5G sisi bado tupo 3G tena kwa kusuasua

    Amani iwe juu yenu nyote. Kuna umuhimu mkubwa sana wa kubadilisha mifumo yote inayo tumika kupata viongozi wa Nchi hii, viongozi ambao wanakuwa madarakani kwa sababu ya mtu aliyemteua au chama kinacho tawala badala ya Wananchi na ustawi wao. Dunia ya sasa hivi hakuna kiongozi hata mmoja...
  7. Man Mvua

    Badala kulipa deni yeye kaenda polisi, naombeni ushauri nimfanye nini?

    Amani iwe nanyi. Mnamo tarehe 30 July 2020 nilimkopesha L.S. pesa kiasi cha 1.5M kwa riba ya 25% kwa mwezi mmoja hadi tarehe 30 Agosti 2020. Wakati wa kupeana pesa tuliandikishana mbele ya balozi na ndugu yake mmoja kama shahidi wake. Dhamana ya mkopo wake ilikuwa hati ya serikali ya mtaa ya...
  8. Man Mvua

    IGP Simon Sirro umeshindwa kabisa kukomesha Rushwa Vituo vya Polisi

    Amani iwe nanyi Hii hali kwamba ndugu yako akituhumiwa kwa uharifu wowote kisha kukamatwa kwenye mchakato wa dhamani inaleta tabu sana kwa wananchi wanyonge na walalahoi kwamba ndugu yako kutoka ni mpaka utoe RUSHWA yaani ile kuingia bure kutoka hela bado inaendelea mpaka kipindi hiki cha...
  9. Man Mvua

    Uchaguzi 2020 MATAGA jirekebisheni, sio kila msema ukweli ni CHADEMA

    Amani iwe juu yenu. Uchaguzi ni ushawishi, Sera na misimamo ya mtu. Ili uchaguliwe inabidi uwe unauwezo wa kumshawishi mtu kupitia Sera zako na vipaumbele vyako. Waambie wananchi umefanya nini kama ulipewa dhamana ya uongozi na utafanya nini kuboresha zaidi kama unaomba tena upewe ridhaa ya...
  10. Man Mvua

    Uchaguzi 2020 Ndugu zangu wanaCCM kweli tulikosea, tuchutame

    Habarini wanabodi, Kwanza naomba nitamke wazi kwamba mimi ni mwanaccm kindakindaki na nimepanga 2025 kuonana na wajumbe. Naomba niseme wazi kwamba ccm tulikosea kwenye vipaumbele vyetu, tuliegemea upande mmoja zaidi.( ujenzi wa miundombinu zaidi). Ni kweli Rais wetu kafanya mambo mengi sana...
  11. Man Mvua

    Serikali ya CCM mnajidai kwa kununua ndege kwa cash wakati mmeshindwa kuajiri

    Salaam. Hakika inauma sana kwa kweli, hii serikali ya wanyonge (According to baba yao) kujinadi kujenga SGR, barabara kwa kiwango cha lami, Ununuzi wa ndege kwa cash, vivuko, madaraja na kuamia Dodoma wakati watu wanateseka mno ndani ya Nchi yao. NI UNYAMA WA HALI YA JUU SANA. Mmejenga...
  12. Man Mvua

    Kwa haya, Rais Magufuli hatufai kama ni wenye kutafakari

    Habari za asubuhi. Sisi watanzania tuna tatizo kubwa sana la kufikiri na kuchambua mambo. Uzuri wa Rais haupimwi kwa 1. Kujenga miundombinu maana ndio kazi yao na wana tumia kodi zetu. Mtu hana hata aibu kusema Rais kajenga barabara, flyover na madaraja sasa wewe ulitaka afanye nini kama...
  13. Man Mvua

    Niliyojifunza baada ya kupoteza kazi

    Amani iwe juu yenu. Binadamu wengi hujifunza kutokana na makosa, nami nimejifunza haya baada ya kupoteza kazi yangu mwishoni mwezi November. Naimani haya huenda yakawasaidia baadhi ya watu humu. 1. Kumbe unaweza kuishi kwa mihogo na maji ya kandoro na siku ikapita. 2. Kwenye mitumba pia kuna...
  14. Man Mvua

    Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

    Habarini Wandugu. Naomba kusaidiana kupeana taarifa juu ya nyumba au vyumba vya kupanga kwa jiji la Dar es salaam. Kuna nyumba itakuwa wazi kuanzia January 10 yenye: - Vyumba 2 kimoja master - Sitting room - Kitchen Na kodi inalipwa kuanzia miezi 2 na kuendelea. Nyumba ipo mivumoni ya Madale...
  15. Man Mvua

    Kiwanja chenye title deed kinauzwa bei chee

    Deleted.
  16. Man Mvua

    Natafuta mtu wa kunijengea chumba na sebule kwa 7M

    Habarini ..... Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M. Chumba na choo chake (Master) Sebule (Living room) Public toilet Kitchen( jiko) Eneo ni Bagamoyo kata ya Zinga jirani sana na barabara ya bagamoyo. Atalipwa nusu baada...
  17. Man Mvua

    Inakuwaje NHC nyumba zao kodi iwe 750000,,, hii kodi imemtarget nani ??

    Kuja jamaa humu kaja na Uzi wa kupangisha zile nyumba za NHC zilizopo magomeni usalama. hivi NHC huwa inamtarget nani kwa hiyo bei kwenye nyumba zake ??? Nini maana ya VISION NA MISSION ZA NHC ??? Na kwa nini nyumba zake nyingi wanakaa wageni kuliko wazawa ??? UZALENDO NI KITU KIGUMU SANA...
Back
Top Bottom