Search results

  1. M

    Gari gani nzuri Dar-Mbeya

    Ndg yangu kwa sababu hiyo ni planned trip ningekushauri fanya booking ya fast jet leo, gharama zake hazizidi 150,000/= kwenda na kurudi, one hour umetua Songwe. safe, cheap, accessible and comfortable..........
  2. M

    Waliomwombea dua RC Makonda mbona hawakemei maovu yake?

    Aliekuwa akiombewa ni Albert Bashite, tafadhali rekebisha kumbukumbu zako kiongozi...........
  3. M

    Muhtahsari wa mabadiliko ya Katiba ya CCM ya mwaka 2017

    Bw. GJ Malissa asante kwa taarifa ambayo kimsingi kwako naona ni kama pilipili ya shamba tu......... Anyway, hebu nisaidie kwa ujuvi wako uliotukuka hivi hapo namba 10 hiyo mikutano wajumbe wake ni akina nani??
  4. M

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Dini nazo siku hz zinahitaji promo kama "HALICHACHI" sasa kulikua na haja gani ya kutangaza huo ujio leo kama sio promo@work........... Pole Africa yangu
  5. M

    Appartments in Mikocheni for 1300 dollah monthly, flexible stay available

    Hebu niwekee weekly payment in Tshs. plz....... nataka nifanye family vacation
  6. M

    Ben Pol adai hali ya uchumi kwa wasanii ni tete, asitisha kuachia albamu

    Atafanya ishu gani na aliacha shule kwa ajili ya huohuo muziki........??
  7. M

    Sasa ni time ya wapuuzi kujionesha kwanini hawafai Marekani

    Nimekuelewa sana bro......... umesight hili jambo kwa jicho la tatu ambalo wengi hawana uwezo wa kulitazama hili jambo from that angle, very nice
  8. M

    MIKESE: Mbunge wa Tarime Vijini, John Heche anasurika kwenye ajali

    Aiseeee..............very sorry
  9. M

    Waziri wa viwanda ajivunia kuongezeka idadi ya viwanda vya matofali

    Huyu jamaa ni janga kwa wapiga kura wake/JPM/Taifa kwa ujumla.......... Aangaliwe kwa karibu
  10. M

    Eric Omondi vs Pilipili - Tupige Kura

    Huyo hoho mm hata simwelewagi, punde utasikia ni mtangazaji wa redio/tv maana ndo wanakokimbiliaga baada ya kufulia....... cc Mpoki
  11. M

    Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    Naunga mkono hoja, n vema serikali yetu tukufu ikajisafisha katika hili vinginevyo ikikaa kimya itamaanisha yasemwayo ni ya kweli kitendo ambacho kitawakatisha tamaa wafadhili na zaidi wananchi na Kagera na Tanzania kwa ujumla hawataiamini tena serikali yao na chama tawala, hofu yangu wanaweza...
  12. M

    Zitto na Sitta wana 'undugu'?

    Hao walikua mitume wake, walikua watii mno kwa Six kiasi ambacho wengine waliamua kujitoa sadaka (rejea Mpendazoe) Lakini kwa hakika mzee Six alikua na projection ya kuja kugombea urais na aliamini angepata hivyo alikua anahangaika sana kujenga mtandao wake thats why majority ya wafuasi wake wa...
  13. M

    Rais Magufuli amtembelea Mke wake na Wagonjwa wengine Waliolazwa Muhimbili

    Mm kuna mambo huwa anayafanya huyu mkulu huwa namwelewa sana, hakika zingekua zile enzi zetu za kale first lady anaumwa leo angekua St. Thomas London akipatiwa matibabu. At least he shows patriotism ndo maana wadau wanasema baba Magu katiba ya Warioba haikwepeki kama unataka kuondoa hz social...
  14. M

    Kanuni za Bunge zinaruhusu mwili wa Spika Mstaafu kuagiwa ndani ya Ukumbi wa Bunge?

    Daaaaahhhh........ kwa kweli huwa najihisi nimepungukiwa jambo ninapokosa kuingia JF kwa namna yoyote ile, sababu n nyingi lakini kama hii ni mojawapo
  15. M

    Picha za Mzungu anayemiliki Tigo Tanzania

    Nimeelewa kwa nn walidhamini Fiesta 2016.........
  16. M

    Rais Magufuli amtembelea Mke wake na Wagonjwa wengine Waliolazwa Muhimbili

    Get well soon mama usie na makuu.......
  17. M

    Waziri Mwijage: Sekta Binafsi wekezeni kwenye kinywaji cha Gongo

    Ni lini Rombo imetangazwa kua mkoa...........??? Lazima Basil Pesambili Mramba atakua mkuu wa mkoa huo
  18. M

    Miss Tanzania Diana Flave alia hajapewa zawadi wala hakuna maandalizi ya Miss world

    Eeeeehhhh, kumbe ndo maana King of all social media tasnia ya wabebez ni inborn character........??? No wonder at his age alikesha Fiesta na wabebez wakareee hadi saa 12 asbh...................
  19. M

    Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

    Sasa kulikua na haja gani ya kumnominate mtu ambae wanajua wasingemtangaza mshindi in any how.......??? That sounds ridiculous
  20. M

    Mbunge Lema apandishwa kizimbani, afunguliwa kesi 2 za jinai. Anyimwa dhamana

    Kuna kamkanganyiko nimekaona mahali, Lema kafikishwa RM'S COURT at the same time High Court Jaji Maghimbi anaamuru afikishwe mbele yake............ Sijaelewa bandugu naomba ufafanuzi
Back
Top Bottom