Search results

  1. M

    Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Watu wanataka posho za semina-elekezi. Waulize sasa kutumia simu nani aliwafundisha? Simu-janja ni sawa na kompyuta tu lakini kwenye kompyuta watu wanasomaga kozi na kupata cheti, ila sijawahi ona kozi ya kutumia simu-janja. Sasa mtu wa dizaini hiyo analalamika kwamba hakufundishwa kujaza...
  2. M

    Vipi kama Makonda anatengenezwa kwa kazi maalum?

    Una mawazo ya kitoto.
  3. M

    Watoto waliozaliwa nje ya ndoa wana haki ya kurithi

    Ukristo na Uislam ni falsafa ambazo hazitakiwi kabisa kuingilia sheria zetu. Ni falsafa zilizotawala zama za kale za ujima na ni falasafa za watu wa Mashariki ya Kati. Tatizo moja kubwa sana ni kwamba falsafa hizi huingizwa kwenye vichwa vya waTanzania kuanzia utotoni wakati ambapo...
  4. M

    Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Duniani kote ardhi ni mali ya dola. Wakazi wa kwenye dola husika ni watumiaji tu wa ardhi hiyo, na ili waendelee kuitumia ni lazima walipe kodi ya pango (yaani kodi ya ardhi/land tax) kwa dola. Usipolipia kodi ya pango ya ardhi kwa dola, dola itakuondoa kwenye ardhi husika.
  5. M

    Emmanuel Marangakis as Attorney of Anastasios Anagnostou Vs The Administrator General, Civil Case No. 1 of 2011

    Naomba ushahidi wa hili. Naomba link ya taarifa rasmi ya kusema kwamba serikali ilighairi kuidhinisha mabadiliko yaliyokuwa yameandikwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali na. 8 wa 2019, ambamo kuna sheria ya kukataza mrithi asiye raia wa Tanzania kurithishwa ardhi ya Tanzania...
  6. M

    Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Kweli ujinga ni mzigo. Kumiliki simu ya bei kubwa sio ujanja wala maendeleo. Ni ushamba tu wa kutafuta heshima kwa watu wenye akili ndogo. Ungeongelea suala la serikali kuondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili watu washushe mijengo ya maana hapo ningekuelewa.
  7. M

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Acha umbeya wewe. Ndo maana umepost kama Anonymous ili usije ukashushuliwa. Yaani ulivyokuwa umekabwa na umbeya kooni mpaka umeshindwa kutulizana na kupangilia hizo picha kwa usahihi. Unatuchosha tu kusoma document iliyopangiliwa ndivyo sivyo... yaani unatoka ukurasa 13 unakuja ukurasa wa 11...
  8. M

    Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Naomba contacts za hao wataalam aisee. Mi nataka ATM ya kuuza maji ya ndoo.
  9. M

    Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Mikoa gani kuna hizo mashine? Naomba nitumie picha au video za hizo mashine nione zinavyofanya kazi, na wapi zinakouzwa.
  10. M

    Naombeni elimu kuhusu Jeshi la Uhifadhi Tanzania

    Ukiongea jambo la kitaalam kama hili uwe unanukuu na nyaraka ulikolitoa mfano kama sheria ya jeshi husika au kamusi.
  11. M

    Nauza Mkaa Gunia 700 kwa shilingi 10,000 kwa kila Gunia

    Naiomba hiyo connection ya Dodoma. Namba ya simu ya muuzaji wa hiyo 18,000/-
  12. M

    Rundo la dawa za kulevya lateketezwa, Wapakistan jela miaka 30, mali zataifishwa

    Je kuna uthibitisho gani umefanyika kuthibitisha kuwa hicho kinachoteketezwa ni madawa ya kulevya? Huku kitaa chapombe akifa kwenye mazishi yake vyapombe wenzake huwa wanammininia pombe kwenye jeneza lake kaburini kabla ya kuanza kufukia kaburi kwa udongo. Ila kinachotokea ni kwamba huwa...
  13. M

    Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

    Hatimaye ukweli umejulikana Mahakamani. Big up mkuu, bila shaka wewe ndo mtoto wa Marehemu Likwalile uliyembwaga Vicky kwenye kesi ya mirathi.
  14. M

    Vigogo waliopo nyuma ya Mawakili waliofungua kesi kupinga mkataba wa bandari mkoani Mbeya

    Kabla ya kuposti kitu washa data kichwani mwako kwanza.
  15. M

    Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

    Hayo mambo peleka (au yaache) huko kwa waMarekani. Sie Tanzania hatuna hizo classification za Gen X, Y, Z na Boomers
  16. M

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Jibu ni hatujui ni nani aliyeyaoganaizi, au hata kama kuna yeyote aliyeyaoganaizi. Jibu sio Mungu. Ila kwa wale wasiopenda kukubali ukweli kuwa hatujui ndo wanajifanya wanafalasafa wanakuja na jibu la kwamba ni Mungu. Sasa ukikutana nao waambie waache hoja mzunguko. Maana kama Mungu anaelezewa...
  17. M

    Kama lengo ni Yanga na Simba zikutane Fainali kulikuwa na haja gani ya haya Mashindano?

    Lengo lilikuwa ni Muddy akishirikiana na Karia wamvunje Skudu. Si unaona refa wa Yanga na Azam alivyopotezea jaribio la kumvunja mguu Skudu hakutoa hata adhabu. Hata goli la pili mchezaji wa Yanga aliangushwa refa akapotezea baada ya kuona Azam wana mpira, lakini kumbe hakujua kuwa kampiga...
  18. M

    Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

    We sema mkeka wako umechanika na ulikuwa umeipa Simba mazima au umeweka 2+ Acha kusumbua watu na hayo malalamiko hao FIFA wenyewe ni wala rushwa wakubwa hakuna atakayehangaika na hiyo barua.
  19. M

    Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Charlse Hillary kawa lini mwanasheria? Suala kama hili inatakiwa amuite Mwanasheria Mkuu wa Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar ndo wanaweza kuliongelea. Na wao neno lao bado litakuwa sio la mwisho katika sheria, bali ni Mahakama ya Rufaa ndo inaweza kutoa neno la mwisho kuhusu sheria.
Back
Top Bottom