Search results

  1. F

    CRDB BANK na saa za kazi Kisheria

    Habari. Napenda kujua, Sheria ya Kazi inataka mfanyakazi afanye kazi saa ngapi kwa siku? Wafanyakazi wa CRDB Bank hasa Tawi la Premie huwa manatakiwa saa 1:30 asubuhi wawe wako ofisini. Inawezekana matawi mengine ni hivyo pia. Wafanyaka wa BanknaTawi husika hutoka saa 12 au saa1 usiku. Kwa sasa...
  2. F

    Mgeni

    Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya. Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa. Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder kwa kazi nzuri. Naomba msamaha kama kuna chochote nimekosea kwani hii ni mara yangu ya kwanza...
Back
Top Bottom