Mtoa mada nahisi ana nia nzuri na anatamani kuona nchi yake inasonga mbele, ila tu kasahau kidogo.
Ukifanya jambo kivingine matokeo yatakuwa tofauti na ukifanya jambo vilevile matokeo yatakuwa ni yale Yale.
Kit kipindi kama hivyo ambapo nchi inachukua maelekezo mpya, tegemea kuina kama...
Uzuri wa JF ni kwamba unakutana na watu wa aina nyingi kama siyo zote.
Jiulize, je sukari ya kutoka nje ilikuwa inaagizwa kiasi gani kwa mwezi?
Je, ilikiwawa inatumia USD ngapi?
Je, kuuza sana bidhaa zetu nje ya nchi na kununua sana bidhaa kutoka nje ya nchi ni kipi kinashusha dhamani ya...
Mabepari wana utaratibu. Huu ni uhujumu uchumi. Ni sawa leo atokee mfanya biashara mmoja anunue Mchele wote na kuweka bila kuuza ili aje auze kwa bei ya juu. Sidhani ikitokea hivyo watu matakaa kimya ete ni soko huru!!!!
Mh Raisi anairudisha nchi kwani ilikuwa kwenye hali mbaya.
Sukari ya viwandani ni tofauti na sukari tunayotumia kwenye chai. Tusipotoshe watu.
Umewahi kjjiuliza lita 10,000 unaweka Kiasi gani cha sukari.
Sikari ya viwandani haikusimamishwa kuagizwa kutoka nje.
Upungu tulinaopata siyo kwenye bidhà zinazotumia sukari ya viwandani. Kama mwenzetu...
Solo huru halitoe na halinanmaana Serikali ijitoe kwenye kusimamia.
Mbona hamsemi Tume ya Ushindani wa Biashara ifutwe?
Mbona hamsemi uagizaji wa Mafuta kutoka nje kila mfanya biashara aagize na kuuza anavyopenda?
Mh Raisi yuko sahihi kabisa.
Mtoa mada kumbuka wazalishaji wa bidhaa kama juisi na bidha za viwandani hutumia sukari ya viwa ndani. Hii ni sukari maalumu na siyo kama hii tunayotumia kwenye chai.
Wenye viwanda vinavyotumiaya sukari hii ya waliendelea kuingia sukari ya bidha za viwandani na ndiyo maana hakuna upungufu wa...
LHRC wametoka mashamba ktk swali zima la kuwatetea waliotumbuliwa.
Walitakiwa watupatie, kwa uwahi kabisa, wajibu na haki ya watumishi wa umma.
Hata hivyo tukumbuke wanasheria ndiyo huwa wanatetea watuhumiwa hata kama inajulikana kuwa kweli mtuhumiwa ameganya uhalifu.
Pamaoja nanikweli...
Habari. Napenda kujua, Sheria ya Kazi inataka mfanyakazi afanye kazi saa ngapi kwa siku?
Wafanyakazi wa CRDB Bank hasa Tawi la Premie huwa manatakiwa saa 1:30 asubuhi wawe wako ofisini. Inawezekana matawi mengine ni hivyo pia. Wafanyaka wa BanknaTawi husika hutoka saa 12 au saa1 usiku. Kwa sasa...
Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.
Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa.
Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder kwa kazi nzuri.
Naomba msamaha kama kuna chochote nimekosea kwani hii ni mara yangu ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.