Search results

  1. C

    Tetesi: Kilimanjaro kuzizima muda si mrefu

    Mtanzania atakuwa wamwisho kupona
  2. C

    Tetesi: Kilimanjaro kuzizima muda si mrefu

    Muda si mrefu Mkoa wa kilimanjaro utakuwa kwenye vichwa vya habari kufuatia mkazi mmoja wa Mwanga kudaiwa kugundua dawa ya magonjwa manne makuu ambayo ni sugu duniani pote.Mzalendo huyo kwa sasa bado yupo katika hatua ya kuzichakata na kazizalisha dawa za magonjwa hayo sugu ili kuhakikisha...
  3. C

    Sheria ya Bunge inasemaje kuhusu uwakilishi Bungeni wa Tundu Lissu?

    Very sorry, kwan ilikuwaje kwa mbunge Max Wa Geita alipomaliza miaka karibia mitatu akiwa kitandan huko India ? kulifanyika uchaguzi au iliku silence like death?
  4. C

    Tatizo la umeme kukatika Dar ni kutujaribu

    Takiriban siku tano zimepita maeneo mbalimbali ya Dar yamekuwa yakikabiliwa na tatizo la umeme kukatika, jambo ambalo limenishtua kwani ni mwezi jana tu Waziri Mkuu akiwa na mkuu wa mkoa wa Dar alipokea mitambo ya umeme ambayo kwa maelezo ingehakikisha tatizo hili linaisha lakini linaonekana ndo...
  5. C

    Mkufunzi wa Taasisi ya Elimu ya watu wazima hii ni aibuna dharau

    MKUFUNZI WA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA,AFUNDISHA TUITION KWA WANACHUO MTAAN. Mkufunzi mmoja wa taasisi ya Elimu ya watu wazima Dar Luogae ameamua kuanzisha tuition kwa wanachuo wa mwaka wa pili diploma chuoni hapo kwa lengo la kujipatia kipato lakini pia kuwafanya wanachuo hao wafaulu somo...
  6. C

    Serikali acheni ubaguzi katika utoaji wa fedha za field ,wapeni hata walio vyuo binafsi

    Go and ask that stupid question your choir master
  7. C

    Serikali acheni ubaguzi katika utoaji wa fedha za field ,wapeni hata walio vyuo binafsi

    Ujumbe umefika, hayo mengine njoo nyumban tuyazungumze tukiwa tunakunywa maziwa .
  8. C

    Serikali acheni ubaguzi katika utoaji wa fedha za field ,wapeni hata walio vyuo binafsi

    SERIKALI INATUGAWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU. TUKATAE UHARAMU HUO Serikali mnachokifanya si uungwa hata kidogo . Kitendo cha kutoa fedha za field kwa makundi kwamba wanachuo wanaosoma vyuo vya serikali ndo mnawapa wote ,halafu mnatangaza kusitisha zoezi LA utoaji Wa fedha za field kisa waliobaki...
  9. C

    Kitendo cha Lipumba kitufumbue macho kuhusu ubovu Wa elimu yetu

    DJ ndo nan ,? Brother Nape? Kibajaji?José Msukuma? Au Gudluck mulinga? Ma dj wapo weng ... Ni yup kati ya hao?
  10. C

    Kitendo cha Lipumba kitufumbue macho kuhusu ubovu Wa elimu yetu

    Huo ni mfano mmoja wapo,mupigiwa kelele suala LA ubora Wa elimu limeanza muda mrefu ... Hapa nimeonsdha uhalisia Wa kile kinachozungumzwa kwa kutumia MTU mwenye elimu ya juu sana lakin anashindwa kutumia elimu yake Ku create opportunities badala yake ana seek opportunities....
  11. C

    Kitendo cha Lipumba kitufumbue macho kuhusu ubovu Wa elimu yetu

    Ifikie kipindi tuelewe kuwa Elimu hii tunayoipata hapa nchi inapaswa kufumuliwa ili kuruhusu vitu halisi vinavyoendana na mazingira na wakati kuingizwa...... Leo PROF LIPUMBA analilia uenyekit Wa chama ,tena chama chenyewe ni cha upinzani ,na upinzani wenyewe ulivyo mugumu ktk nchi zinazoendelea...
  12. C

    Yaliyojiri mkutano wa Rais Magufuli uwanja wa Furahisha Mwanza

    Hana maneno mengine maaana ghilba ni nyingi
  13. C

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anaelewa kinachoendelea South Sudani?

    Tatzo wale wanaosababisha mgogoro m7 kagame ni marafiki zake ,hawezi kuwalalamikia
  14. C

    Mkesha Wa Mwenge Sengerema ,Uzinzi ulevi kwa wanafunzi watawala

    VITA DHIDI YA ULEVI & UASHERATI NI NGUMU SANA KATIKA NCHI YANGU Serikali yetu imekuwa ikipambana usiku na mchana ili kuhakikisha maadili yanarejea kwa wananchi ,ambapo mwanzon mwa mwka huu ilipiga marufuku baa na vilabu vya pombe kufunguliwa wakati Wa muda wa kazi( asubuhi) kwani iliamini ndo...
  15. C

    Ziara ya Rais Sengerema, vigogo washikana uchawi

    Hali ya sintofahamu imezidi kutamalaki wWlayani Sengerema kutokana na ziara inayotegemewa kufanywa na Rais Magufuli, ambapo muda huu nyumba mmoja ya kigogo mmoja anayesadikiwa kuhujumU uchumi na kufanya ufisadi Wilayani Sengerema. Muda huu imezingirwa kwa ulinzi mkali Wa jeshi la Polisi na...
  16. C

    Afya ya Marando yaendelea kuimarika

    Asante Mungu kwa uponyaji wako kwa Marando
Back
Top Bottom