Search results

  1. G

    Haki ya Kuishi ya Watanzania na Hofu Inayotanda

    Ndugu zangu Watanzania wenzangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Nawasalimu kwa dhati.Pia nawapa pole wote waliotangulia mbele ya Muumba wao kwa vifo vya kinyama vilivyotokea.Mungu awape ujasiri wafiwa. Pia bila kuwasahau wagonjwa, wafungwa & mahabusu (Hakuna aliye salama...
  2. G

    Yapi ni Maono ya Taifa la Tanzania huko tuendako?

    Tanzania kama Taifa mojawapo hapa Duniani lazima iwe na Dira na Maono yanayoonyesha jinsi na namna itakavyojiendeleza kitaifa na kimataifa. Kuna vipindi tumeshuhudia tukiletewa mipango ya muda mfupi,kati na mrefu ya Taifa Letu,tatizo ni maono,dira na mipango gani hiyo tuliyoweka? Hayo maono...
  3. G

    Nchi ya kwanza duniani iliyozikwa ikingali Hai

    Umekuwa ni msiba mkubwa ambao ulilikumba Taifa hili lililobarikiwa utajiri wa kupigiwa mfano na unaotamaniwa na wapenda vinono duniani kote, Sasa yapata takriban miaka 58 imezikwa na hadi Leo inasadikika kuwa bado inapumua kwa shida shimoni(Kaburini). Hii nchi ya kipekee duniani, hakukuwa na...
  4. G

    Katiba Mpya ni hitaji la Wananchi, vyama vya siasa ama?

    Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani hasa mhusika wake?Je,ni wananchi,vyama vya siasa au? Nauliza kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa...
  5. G

    Je, CCM waliyoianzisha akina Mwalimu Nyerere ingalipo?

    Nilikuwepo Februari 1977, nilishiriki paredi ya chipukizi wa chama kipya cha CCM, wakati ule hata Mwenyekiti na viongozi wenzake hawakujivika mavazi yenye rangi kama bendera. Leo wanafiki wanavaa hadi boxer zao ni bendera lakini ni wezi, wala rushwa, wanajilimbikizia mali na madaraka kwa njia...
  6. G

    Wabunge wa Bunge la JMT hawaeleweki au hawajielewi?

    Bunge lililopita lilikuwa lenye Wabunge wa CCM na wa vyama mbadala. Hoja zinapotolewa na Wabunge wa CCM hata kama hazina uzito wowote zinashangiliwa lakini zikitolewa hoja zenye maslahi ya Wananchi kwa kiasi gani, kama mleta hoja hiyo siyo CCM basi atazomewa, ataombewa miongozo au tàarifa ya...
  7. G

    Siasa ni nini? Nani anastahili kufanya siasa?

    Nimekuwa nikisikia viongozi/watawala wetu wakituambia tuache siasa, tunatumika kisiasa ama tunaleta siasa. Najiuliza swali; Hivi siasa huwa ni nini na kwa nini tusifanye siasa? Siasa ni kwa ajili ya nani ama kundi gani katika jamii wanastahili kufanya siasa na kwa nini kwa wengine ikatazwe...
  8. G

    Fedha ya kupigia rangi viatu vya Traffic zinaharibu Noti zetu kwa malipo halali

    Katika Watanzania wanaoziharibu (Fedha za Noti) za Tanzania ni makondakta & madereva wetu wa vyombo vya moto yaani magari ya abiria na mizigo wakishirikiana na wasimamizi wa Sheria za nchi hii (Traffic). Fedha tajwa hapo juu hutolewa kwa njia ya kidhalilishaji kwa sarafu zetu na askari pia...
  9. G

    Uchaguzi 2020 Sheria zinazozuia matusi katika Uchaguzi Mkuu ni zipi?

    Ninajiuliza ni sheria zipi zinazosimamia na kuzuia matusi wakati wa Uchaguzi ujao wa Udiwani, Ubunge au Urais hapo Oktoba 2020. Tafsiri ya tusi/matusi ni nini? Je,hawa watakaotuhumiwa kuwa wametukana watawezaje kuthibitishwa? Je, haiwezekani mtu akamtuhumu mshindani wake katukana ili asiwe...
  10. G

    Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

    Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote. Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona. Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
  11. G

    Tuipende nchi yetu ya Tanzania

    Inasikitisha sana sisi raia wa nchi hii tuliyoachiwa na wasisi wake hatuitendei haki kwa kuendeleza mambo ya hovyo.Chuki, ubaguzi na hiana ndivyo vinatawala sasa. Watanzania tudai Katiba ya wananchi kabla hatujachelewa zaidi maana hivi sasa hakuna kiongozi anayewajibishwa kwa kufanya yasiyofaa...
Back
Top Bottom