Search results

  1. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Mwanamke ni Msaidizi sio tegemezi,njaa mbaya!!!
  2. Tumaini Jipya

    Sababu zilizosaidia ndege ya Nkurunzinza isitunguliwe Bujumbura

    Bado wangeweza kuiruhusu kutua ili kujilizishasha kuhusu abiria wa ndege hiyo,kumwambia mtu atue at his own risk kimsingi ni kumwambia aondoke! Hawezi kufanya hivyo kwa sababu tu hauna uhakika kama Pierre alikuwa on board,kimsingi kutokuwa na uhakika huo ndiyo likuwa sababu ya msingi ya kufanya...
  3. Tumaini Jipya

    Hamphrey Polepole aikubali Katiba Inayopendekezwa na kusema kuwa ni ya wananchi si ya Wanasiasa

    Unadhani basi amekusudia ku-mislead watu ,wala,ndivyo yeye alivyomuelewa,akili ndogo sana!!! Ni mambo ya kuvumiliana tu!!!
  4. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Hiyo ni tafsiri yako wewe ya uanaume kwa sababu ndiyo unayokidhi matakwa yako ya kuishi kwa kumtegemea mwanaume!! Mwanamke ni MSAIDIZI sio TEGEMEZI,ila type za wanawake zetu wa Magomeni(Wavukiza udi) hawa sio utamtegemeza yeye tu,kwao hawa Uanaaume ni kumtegemeza yeye na familia yake yooooote,ni...
  5. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Acha njaa,hiyo maku haukupewa ufanyie bashasha jishughulishe utapata tu!
  6. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Hamna lolote wanaume wa namna hii ni wachache sana ukilinganisha na wanawake Matonya
  7. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Enheeeeeeeeeeee sasa ww umeongea vizuri Sio hawa wajasiriamwili wengine wanaona kuwa na uchi tayari ni mtaji,Uchi hauuzwi,nikupe fedha kwa ridhaa yangu na Sio mizingamizinga isiyoisha au kunifanya mimi masihi wa maisha yako!! Mwanamke wa Ukweli anajua kwamba kupokea kutoka kwa mwanaume ni ziada...
  8. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Hata mwanamke akiwa nazo haombiombi wala hatengenezi Mazingira ya kuomba wala kupewa!! Issue kubwa ni NJAA
  9. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Ni nadra sana kumkuta mwanamke anampa hela Mwanamme wake,often times nyinyi ni vilio vya njaa tu!
  10. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Umenikosha sana,umemaliza kila kitu,kama hawajakusikia wewe hata mtu atoke kuzimu hawatomsikia!!
  11. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Hapa bila Shaka unamzungumzia mwanamke mwenye njaa kali...!!
  12. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Ndiyo Ukweli,kuwa mwanamke siyo sababu ya kugeuka Matonya,lakini hata hivyo hatuna budi kuvumiliana kwa sababu gharama za kuishi zimeongezeka maradufu!!
  13. Tumaini Jipya

    Kwa Niliyoyaona Jana Bungeni October 2015 Kitaeleweka tu

    Kukosa akili ni kilema Kibaya kuliko aina yeyote ya Ulemavu!!
  14. Tumaini Jipya

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Wanawake wengi wanakabiliwa na hali ngumu za kimaisha ndugu yangu tuwavumilie tu!!
  15. Tumaini Jipya

    Tundu Lissu: Filamu za Ponografia siyo kosa!

    Ulimsimkiliza maelezo yake yote au ume comment based on hii post ya mleta mada?
  16. Tumaini Jipya

    Tundu Lissu atinga Bungeni na kuamsha ari ya Bunge

    Daaaaah Kukosa akili ni Mzigo Mzito,naona na wewe ndugu yangu umeandika maoni yako!! Aaaah basi sawa!!
  17. Tumaini Jipya

    Siku ya wanawake Duniani: Aina nyingine ya Ubaguzi wa kijinsia

    Nimekusikia Sheikh wangu,hapo sijasema "tumekusikia",kwa hakika umejitahidi kufafanua kwa kadri ya uwezo wako,at least umejitahidi!
  18. Tumaini Jipya

    Siku ya wanawake Duniani: Aina nyingine ya Ubaguzi wa kijinsia

    Hapo mkuu Sio tu hajui kiswahili,kichwa chake nacho kina mushkeli,ni dhahiri hapo muumbaji ni zaidi ya mmoja lakini sasa hv utamwona anakuja hapa anajitoa fahamu,na hakosi la kuandika,hapo ndiyo utakapojua kwamba some people urgently need psychiatrists.
Back
Top Bottom