Search results

  1. D

    Ujenzi: Chumba, sebule na choo cha public

    Mfano mtu kashajenga msingi kajaza kifusi vyumba 3, nyumba ya urefu 15 upana 11 , master urefu 4.5m kwa 4.1m, vyumba viwili kila kimoja 3.2m kwa 3.3m, stoo 1.5m kwa 1.2m, lounge 5m kwa 4m, dinning 3.1m kwa 3m, kitchen 3.1m kwa 3m kunyanyua boma hadi kupaua inazidi 35m? Maana kuna hesabu...
  2. D

    CPA Review Center

    Haujasema location ndg ili iwe rahisi watu kukusaidia.. Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  3. D

    Nawezaje kuhamia kwangu kwa Tsh Milioni 13?

    Katafute viwanja nyashishi unaweza kupata kiwanja cha 3m ukajenga lakini lazima ubane sana mafundi walau uezeke Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  4. D

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Honda crossroads mkuu unazijua vzr spare zake nk? Maana iko kwenye ramani zangu naikubali kinyama
  5. D

    Barabara Kuu Pekee ya Musoma Vijijini Inahitaji Kuwekewa Lami; Haijapitika Kiurahisi kwa Zaidi ya Siku Tano

    Barabara naijua sana enzi hizo lakini ni miaka mingi sana tukiwa wadogo mvua kidogo tu utasikia daraja la suguti limejaa ,gari kukwama kwenye matope na usumbufu kadha wa kadha hadi muda mwingine kupelekea baadhi ya Gari kusitisha safari hadi mvua itakapoisha.. Sasa huwa najiuliza ni wabunge wa...
  6. D

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    Umenifumbua kwenye vipimo hapa nakuwa makini sana nikienda kununua Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  7. D

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    Yes ndo maana nilitunza hela nikusanye kwanza mwakani kufika April to June nitakuwa nimekamilisha Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  8. D

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    Acha kabisa mm mwezi Nov nilinyanyua BOMA langu nikafunga lenta nikataka kuezeka kabisa bati za kuezekea na kofia jml 154 kwa bei ya Mwanza natakiwa niwe na 6,006,000 kwa bei ya 39,000/- kwa alaf mkononi nikicheki Nina km 4M nikaacha BOMA linyeshewe mvua nikusanye nguvu ,nilitembelea makapuni...
  9. D

    Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    Kwanza kiwanja,ukishanunua kiwanja peleka materials kidogo kidogo mf mawe,tofali,mchanga ,kokoto kwa ajili ya msingi huwezi kuanza kuweka hivyo ulivyo vitaja wakati bajeti yako ndogo unaweza usimalize boma Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  10. D

    Msaada wa makadirio ya gharama kwenye ramani hii

    Kidogo ndg ngoja tujaribu tupate pakujificha Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  11. D

    Msaada wa makadirio ya gharama kwenye ramani hii

    Ahsante boss Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  12. D

    Msaada wa makadirio ya gharama kwenye ramani hii

    Shukrani sana kaka nilichohitaji nikujua tofali ngapi,bati ngapi, cement mifuko mingapi bajeti yangu kunyanyua BOMA hadi kuezeka ipo 15M lakini site Iko jijini Mwanza Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  13. D

    Msaada wa makadirio ya gharama kwenye ramani hii

    MSAADA WA MAKADIRIO YA RAMANI HII KTK KUNYANYUA BOMA NA KUEZEKA ,MSINGI NILIJENGA MWANZONI KABISAA
  14. D

    Nataka kuwa Lecturer, ninahitaji GPA ya ngapi?

    Umenikumbusha utoto naitwa Dokta kwa kusolve maswali magumu na kila nikiulizwa napenda kuwa Nani najibu Dokta Ila kusoma koote mwisho wa siku na debit na kucredit Hahahahaha Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  15. D

    Ardhi Mwanza haishikiki!

    Mbona bei ndogo sana hiyo? Buswelu viwanja ndo bei bei kidogo,Kuna eneo panaitwa Sahwa Iko ktk kata ya Buhongwa Kuna mradi mkubwa wa maji na viwanja vyake vingi vimepimwa waweza kwenda ujionee unless labda itakuwa mbali na kazini kwako Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  16. D

    Msaada: Je, nithibitishe kusoma Chuo gani?

    Kasome ifm Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  17. D

    Naomba ushauri wa kuhusu kozi ya kusoma katika vyuo hivi

    Hahahahaha nimekusoma Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  18. D

    Naomba ushauri wa kuhusu kozi ya kusoma katika vyuo hivi

    Habari za majukumu ktk ujenzi wa Taifa? Kati ya Bachelor of Sociology Udom, Bachelor of Sociology SAUT Mwanza na Bachelor of Public Administration Mzumbe Campus ya Dar, na Community & Development Studies Ardhi bora wapi? Ni mtoto wa kike anaomba ushauri aconfirm wapi. Ahsante
  19. D

    Naomba kuuliza je, rangi zipi zinafaa kupakwa nje na zipi zinafaa kupakwa ndani?

    Nimescreenshot hii maana Nina ujenzi Oct-December nitahitaji rangi hizi nipite madukani kucheki maujanja Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  20. D

    First round selection

    Second round ishaanza ndugu nishaomba baadhi ya vyuo kadhaa ksb dogo alikosa round ya kwanza ndo nilitaka kumuombea na Udom Ila ndo hivyo still not paid yaani sijui itakuwaje na siku zinakimbia hatari Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom