Search results

  1. O

    Wassira, Tendwa waipiga mkwara Chadema - Chatishiwa kufutwa

    1.Kama kwenye sukari wananchi wamelalamika serekali ikashusha bei mara moja, je Wasira alimaanisha nini kusema "Mr Kikwete atafanya nini kupanda bei ya mafuta duniani'? 2. Ni nchi gani ambayo RAISI anaingia makubaliano na Majangili (mafisadi) kulipa hela walizokwapua kidogo kidogo? 3. Ni...
  2. O

    CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

    Vipi wana Mwanza na watanzania mliosikiliza redio na tv including TBC ya CCM, je, intelijensia ya police haijaletwa na shemeji wa Jk, Saidi Mwema against maandamano hayo?
  3. O

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Hakuna cha kushangaa hapa maana ni sala tuu ndio zitatuokoa watanzania.... 1. Unapoona raisi anasikitikia silaha kwanza then mwishoni ndio anajifanya kuzungumzia waliokufa ni hatari kabisa. Maana yake watanzania hawana umuhimu....na hanswa kwa kuinyimakura CCM huko gongo la mboto hadi...
  4. O

    Kafulila na Hamad Rashid wametoswa?

    PAULSS , here are the names of the WATEULE (i) Mwenyekiti wa kamati ya fedha na uchumi ni Abdallah Kigoda (ii) Mwenyekiti wa kamati ya katiba ,sheria na utawala ni Pindi Chana (iii) Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama ni Edward Nyoyai Lowassa (iv)Mwenyekiti wa kamati ya...
  5. O

    Kafulila na Hamad Rashid wametoswa?

    Mkuu Masanilo, hadi dakika hii jina la KAFULILA na HAMAD halijatokea kushinda kwenye kamati yeyote. Ninaimani kuwa hoja yao jana haikuwa kwa lengo la kushika kibendera. Sasa nauliza, ina maana hata wenzao wa CCM A wamewatosa?
  6. O

    Kafulila na Hamad Rashid wametoswa?

    KAtika matokeo ya uchagizi wa wenyeviti wa kamati za bunge sijaona majina ya HAMAD RASHID na KAFULILA. Kwa kuwa ninaamini wamegombea nafasi mojawapo kati ya zile zilizowatuma kuomba bunge kuwafungisha ndoa ya LAZIMA na CHADEMA ili waziongoze, je wametoswa? Tunaomba mtujuze wenye taarifa.
  7. O

    Where are we going?

    baada ya hotuba ya mkulu ya jusi, ninajiuliza kama anafahamu maana ya methali "akutukanaye hakuchagulii tusi...." itamnasua katika haya..... 1. Aliwahi kusema hajui kwa nini watanzania ni maskini. 2. CC ya CCM ikasema via CHILIGATI "KAMATI IMEONELEA DOWANS WALIPWE".....AG anasema serekali...
  8. O

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Ndugu Matarese, salamu kwako na kwa wana JF wote. Binafsi sijaelewa msingi wa soment yako. Je, unamkatisha tamaa muanzisha mada hii? au Unajaribu kumdefend mwana makamba toka kwa shutuma hii? Kama sijasahau, hii mada sio mpya. Iliwahi kuletwa hapa mwishoni mwa mwaka jana, lakini kwa sababu...
  9. O

    STRANGE: CHUO CHA KATA vs VYUO BINAFSI

    Critisims nazikubali, labda nikuteleza vidole lakini pia, mada hii ni muendelezo wa mada iliyopita ya tarehe 25 December, 2010 Naweka machache... 25th December 2010 11:46 AM #2 The Dreamer View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact JF Senior...
  10. O

    STRANGE: CHUO CHA KATA vs VYUO BINAFSI

    Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na migomo na maamdamano kwa wanafunzi wa vyuo vyetu hapa nchini. Mwodoko huu wa migomo umesisiwa na CHUO CHETU CHA KATA-Dodoma ambacho ni kipenzi cha JK na serekali yake baada ya KUTEKELEZA ilani ya CHADEMA ya 2005-2010 kuhusu ujenzi wa DODODMA kama kituo cha elimu...
Back
Top Bottom