Search results

  1. raxx

    Je, mfumo wetu wa elimu ni chanzo cha umasikini?

    Moja kwa moja kwenye mada!! Mara nyingi najiuliza kwamba suala hili la mfumo wetu wa elimu kuzalisha mbumbumbu, Serikali hailioni imeshindikana kuubadilisha, au kuna manufaa gani inapata kwa mfumo huu. Miaka 7 ya primary school tunafundishwa Mkwawa alikufa mwaka gani? Mara Kinjekitile Ngwale...
  2. raxx

    Je sifa kuu ya Mungu ni UPWEKE ?

    Wakuu hamjambo? Moja kwa moja kwenye mada baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na conclusion kuwa huwenda sifa kuu ya Mungu wetu huyu ni Upweke. Yaani ile Incredible Genius Mind , ile creativity capacity, ile mysterious capacity of doing things beyond Impossibility. Sifa hizi zote za...
  3. raxx

    Nini kiliendelea baada ya Adam kupewa usingizi mzito Eden?

    Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mungu kutaka kumuumba Mwanamke Adam alimpa usingizi mzito na jambo moja alilofanya ni kuchomoa mbavu moja kwa Adamu kwa ajili ya material ya kumuumba Mwanamke. Je, ni hilo tu ndilo lililofanyika Adam akiwa usingizini? Pengine hichi ndicho kipindi Mungu...
  4. raxx

    Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

    Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
  5. raxx

    Mwanamke siyo mtu kwa mujibu wa Biblia

    Wakuu kama heading inavyoeleza mwanamke sio mtu haya sio maneno yangu kwa mujibu wa biblia kitabu cha mwanzo mungu alimuumba mtu ambaye ni Adamu. Baada ya kuona Adamu amezubaa zubaa ndipo aliamua kumuumba mwanamke kwa kutumia mbavu na material mengine ambayo mimi na wewe hatuyajui Kwa ajili...
  6. raxx

    Natafuta Mshirika kuanzisha Daycare & Nursery School Dodoma

    Nina wazo la kuanzisha Daycare and Nursery School Jijini Dodoma. Naitaji mshirika ambaye tutalifanya hili wazo liwe reality. Upo Interested ? Dm me.
  7. raxx

    Nahitaji viroba vya unga vya Kg 25 vilivyotumika

    Kichwa hapo juu kinajieleza wakuu. Nanunua Tsh. 300 kwa kiroba, njoo tufanye biashara, nipo Shinyanga
  8. raxx

    Ushauri: Mwanamke anayependa kushinda na vikanga vilivyopauka

    Nini dawa ya mwanamke anayependa kushinda na vikanga vilivyopauka wakati kila mwezi unampa pesa ya kununua nguo na nyingine unamnunulia mwenyewe alafu ukizingatia ni black binti tu. Hili swala naona litanifanya nichukue maamuzi magumu.
  9. raxx

    Black Hole/ Shimo jeusi, What Is a Black Hole?

    Wakuu mwenye kujua hii kitu anijuze kiundani hapa ================== What Is a Black Hole? An artist's drawing a black hole named Cygnus X-1. It formed when a large star caved in. This black hole pulls matter from blue star beside it. Credits: NASA/CXC/M.Weiss An artist's drawing shows the...
  10. raxx

    Ukweli kuhusu planet gliese 581g

    Wakuu kwanza natakuliza shukrani zangu za dhati. Pili naomba kufahamu kuhusu hii sayari ya Gliese 581g, Kama ni kweli ina uwezo wa ku support life.
Back
Top Bottom