Search results

  1. Behaviourist

    Tujikumbushe wanasiasa wanaofanya siasa za matusi, na kashfa zilizosababisha mikutano ya hadhara ya kisiasa kuzuiwa

    Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi. Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
  2. Behaviourist

    Kwa wale wote wanaopigania ndoto zao

    Growth is outside the comfort zone.Don't quit.You quit,you lose,you fail.
  3. Behaviourist

    Picha ya siku ambayo sitii neno😂

    😁😁😁
  4. Behaviourist

    Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

    Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo. Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18. NANUKUU: Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the...
  5. Behaviourist

    Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

    Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia. Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze...
  6. Behaviourist

    Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

    Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765. Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765...
  7. Behaviourist

    Photo of the day

    The man (Paul Christian Makonda) involved in gross violations of human rights and extrajudicial killings during Magufuli regime, enjoys the highest level of impunity under President Samia.
  8. Behaviourist

    DC Arusha ambaye aliwahi kutoa 'Singo' ya kumsifia Magufuli kuwa ni jembe adai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi

    Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi. Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki...
  9. Behaviourist

    Vile tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa

    Picha ya pili ni Watanzania tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa, wakati tulishaambiwa kuwa Tozo ni kwa ajili ya kujenga madarasa😁😁😁
  10. Behaviourist

    Dada Janet

    Dada Janet Jackson amekuwa mkubwa akawa mzuri zaidi.Wewe dada Janet wewe!😍😍😍 Halafu ukimwona unaweza kufikiri kuwa anatokea hapo kwa akina Mtogole kwa jinsi alivyo mpole na humble. Dada wa watu ni mzuri,mpole,mkarimu na humble🤗🤗🤗
  11. Behaviourist

    Nipo njiani naelekea Moshi

    Nipo njiani naelekea moshi kwa kutumia ndinga yangu hii.Anaetaka lift anishtue PM.
  12. Behaviourist

    Msimamo wa Mheshimiwa Freeman Mbowe kuhusiana na mambo ya kusamehewa na Rais

    Juzi katika kikao cha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wadau wa demokrasia iliibuka tafrani kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuwa Zito alimuombea Msamaha kwa Rais Mheshimiwa Mbowe. Jambo lile lilipingwa na kila mtu mwenye akili timamu kwa sababu kwa katiba yetu Rais hana...
  13. Behaviourist

    Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

    Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana. Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo...
  14. Behaviourist

    Namna Rais wa mchongo anavyopatikana

    Leo nawaletea stori fupi kwa njia ya video fupifupi jinsi ambavyo Rais wa mchongo huwa anapatikana. Rais wa mchongo ni Rais ambae amechongwa au kulazimishwa kuwa Rais na mamlaka ambazo zimepewa jukumu la kulinda demokrasia pamoja na haki za wananchi. Rais wa mchongo ni Rais ambae hana kibali...
  15. Behaviourist

    AFP: Tanzania marks 60 years of independence as fears grow for freedoms

    Tanzania marked its 60th independence anniversary on Thursday, with President Samia Suluhu Hassan hailing the country's progress even as fears grow over political freedoms in the East African nation. The former British colony known as Tanganyika won independence in 1961, officially becoming...
  16. Behaviourist

    Kumtangaza Rais akiwa katika mavazi ya kijeshi katika utawala wa kiraia ni 'inferiority complex'

    Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama hichohicho anatangazwa kwenye mabango barabarani na mitaani akiwa amevaa mavazi ya kijeshi kuhadhaa uma...
  17. Behaviourist

    Tumulike ufisadi: Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru za December 2015 zikapanue barabara ya Morocco

    Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru zilizokuwa zifanyike December 2015 zikapanue barabara ya Morocco-Mwenge kufikia njia 5. Pesa za maadhimisho ya sherehe za uhuru 2015 zaidi ya shs. 4bn, serikali ya CCM tuelezeni zilienda wapi kama Japan walitotoa Shs. 71.8bn. Hizo...
  18. Behaviourist

    Hizi timu ndogo huwa zinanikosha sana siku zikicheza

    Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁 Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi chaji inaisha tena😂😂 Haya mambo ni kawaida au nimewehuka wakuu?😁
  19. Behaviourist

    Tuangalie hizi video mbili fupi tujifunze juu ya busara ya kuiongoza Tanzania yetu

    Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi. Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo...
Back
Top Bottom