Search results

  1. M

    Prof. Kabudi: Kura za CCM ziko Kanda ya Ziwa, huko (kwenye kanda nyingine) ni za kuongezea ongezea tu!

    Amen, jiandae kwa laana kama mwenyezi Mungu aishivyo..! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Jaji Feleshi: The Contribution of criminal intelligence in the war against crime in Tanzania mainland.

    "This publication is dedicated to my wife Susana Charles Feleshi whose humble support from the time of embarking on the programme of research always reminded me of her true love and sense of care"
  3. M

    Wakili Yakub: Mbowe hawezi kuwa mfungwa wa kisiasa

    Ni mahakama ipi ilomuhukumu hicho kifungo?
  4. M

    Magufuli is confused big time! Sikiliza

    Mind you, "Ignorantia juris non excusat / ignorantia legis neminem excusat".
  5. M

    Magufuli: DPP aliichezea kesi ya ''samaki wa Magufuli''

    Wewe unaamini hilo? Jaji Mkuu anaweza vipi kuongeza mashtaka yaliyoondolewa na DPP mfano? na kwa nini hayakurejeshwa yote kama DPP hakuwa na hoja? lakini tukumbuke kesi ni ushahidi, na pia DPP ni taasisi.
  6. M

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Kwa kipindi kirefu kumekuwa na uchafuzi wa Haiba ya Mh Edward Lowassa mitandaoni nA kwenye vyombo vya Habari hasa Magazeti kuhusu Utajiri wake. Toka kuonesha kwake nia na Kutangaza nia YA kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama chake cha Mapinduzi CCM,Mh Edward Lowassa...
  7. M

    Uhusiano kati ya Mzee Kingunge na mmoja wa watia nia aliye fisadi

    Hawataki kumsikia mie nimewaambia wahame nchi, hii ni nchi ambayo kila mtu anafursa, nyie hamna marafiki? mbona kwa Lowassa iwe shida?
  8. M

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Ulitaka ausake vipi huo uRais? unaushahidi juu ya huo unaouita utajiri wa mashaka? hata kama ndio ni tajiri, ulishasikia tume ya maadili ya viongozi wa umma wamewahi kumtilia shaka na hatimaye kumuhoji juu ya namna alivyoupata huo unaouita utajiri?
  9. M

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Unauhakika Mwl alisema hayo maneno? za kuambiwa changanya na za kwako, Mwl hakuwa mnafiki, asingemhusisha na rushwa then hapohapo akasimama mbele ya waandishi wa habari akasema ndani ya CCM kuna vijana wenye sifa na uwezo wa kuwa maRais, aliulizwa awataje alisema kuna Mkapa, Kikwete na Lowassa...
  10. M

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Anajua nini cha kukisema, akisemee wapi, akisemee kwa nani na ni wakati upi muafaka wa kukisema. Kifupi alishagalielezea hilo swala siku alipohojiwa na Tido, uvivu wako wa kutafuta facts kama sio ukichwa cha panzi wako ndivyo vinavyokufanya usielewe, kujikumbusha ingia u tube tafuta "Edward...
  11. M

    Uhusiano kati ya Mzee Kingunge na mmoja wa watia nia aliye fisadi

    Jiandae kisaikolojia tu, mwaka huu mtahama nchi akiingia, na aliposema mchakamchaka ni mchakamchaka hasa, nyie wazembe msiotaka kufanya kazi kwa bidii na kwa ufanisi Tanzania hapatakuwa mahala salama kwenu.
  12. M

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Mwaka huu mtahama nchi, tunachohitaji ni hivyo vielelezo vya ufisadi wake tujilidhishe ili isiwe tu kutompa uRais bali tumshitaki kabisa, fisadi na mwizi mahala pake ni jela na sio kunyimwa uongozi.
  13. M

    Uhusiano kati ya Mzee Kingunge na mmoja wa watia nia aliye fisadi

    Hivi mnataka Lowassa asiwe na marafiki? amekuwa Mungu azuie mioyo ya watu isimpende? hizo skendo za ufisadi mnazomzushia wekeni ushahidi hapa tumshtaki tofauti na hapo hatuelewi na hatusikii. Leo ndo mmemuona fisadi mala mwizi, wezi, wahujumu uchumi na watumiaji vibaya wa madaraka makao yao ni...
  14. M

    Diallo amlipua Lowassa

    Rubbish..
  15. M

    msaada jinsi ya kuwasha 3g kwenye samsung galaxy s3

    Hiyo simu nimchina haina cha kurudisha wala nini, ni clone sio original nina ndugu yangu pia alienda mpaka Samsung shop haikuwezekana.
  16. M

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi tarehe 27 Machi, 2014 - Uwasilishaji wa kanuni za Bunge

    Kweli inasikitisha, Waziri mzima analeta mizaha kabisa kwenye swala nyeti kama hili? hivi kweli Rasimu iko na swala la ushoga humo ndani?!!! What a shame! I wish I could have a gun aisee...
Back
Top Bottom