Search results

  1. kanta

    Msala wa vitabu feki wamkimbiza mkurugenzi Jamana Printers

    Mmoja wa wakurugenzi katika kampuni ya uchapishaji ya Jamana Printers (KAZIM) amekimbia nchini baada ya sakata la vitabu vya serikali vilivyochapishwa na kampuni hiyo kuwa chini ya kiwango. Kampuni hiyo ilipewa tenda na serikali ya kuchapisha vitabu LAKI TATU NA NUSU lakini vimeonekana kuwa...
  2. kanta

    M4C yashika kasi Geita

    Makamanda wa CHADEMA Geita wapo kwenye kata ya Kalangalala wakipiga kaziya kutoa elimu ya Uraia. Wanasema CCM kwa njia za kistaarabu hawataki kutoka,wametumia vibaya rasilimali za hii nchi hivyo wanaogopa kutoka kwa kuwa watafikishwa mbele ya sheria na kufungwa.Wanasema serikali makini lazima...
  3. kanta

    Afia hospitali ya wilaya baada ya umeme kukatika akifanyiwa oparation

    Mwanamke mmoja mkoani Geita ambaye ni mke wa mfanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa Geita amefariki dunia kwenye hospitali ya Wilaya ya Geita baada ya umeme kukatika wakati wa kufanyiwa oparation ya tumbo. Mwanamke huyo alipatwa na umauti huo mara tu baada ya umeme kukatika kutokana na kukosa hewa ya...
  4. kanta

    Mbinu za CCM kuiangamiza CHADEMA ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

    Hivi karibuni CCM imekuwa ikifanya kila aina ya mipango na njama ili kuhakikisha kuwa CHADEMA haifiki mwaka 2015 ikiwa kama ilivyo sasa na uongozi imara uliopo, inataka kuhakikisha kuwa chama hiki kikuu cha upinzani kinachotarajia kuchukua dola mwaka 2015 kinapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa...
  5. kanta

    Mgodi wa dhahabu wa Geita (GGM) wasikitishwa na maoni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Mgodi wa Dhahabu wa Geita umejibu tuhuma mbalimbali zilizotolewa na CCM Mnamo Tarehe 23 Novemba 2012, wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini Bw. Steven Masele walifanya mkutano wa hadhara Geita mjini, katika mkutano huo walilalamikia mgodi wa Geita...
  6. kanta

    Wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa geita wanyimwa kibali cha maandamano kupinga sheria mpya ya mafao

    Wafanyakazi wa MGODI WA DAHABU WA GEITA wamenyimwa kibali cha maandano yaliyokuwa yanatarajia kufanyika siku ya jumamosi tarehe 28/07/12 kwa ajili ya kupinga sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii.Akitoa taarifa kwa wafanyakazi wa mgodi huo kwa njia ya mtandao, mratibu wa maanadamano hayao...
  7. kanta

    Wananchi wazuia wafanyazi na magari ya mgodi wa geita kuingia mtaani

    Wadau, wananchi wanaoingia mgodini kwa ajili ya kuchukua mali yao wameanzisha vita na mgodi kwa kukataza wafanyakazi na magari ya mgodi kuonekana mtaani. Siku za hivi karibuni wamekuwa wakiingia kwenye mgodini kundi kubwa kama la watu 300 huku wakiwa na silaha, juzi mlinzi mmoja alipigwa panga...
  8. kanta

    Uzinduzi wa tawi la CHADEMA kijiji cha Misri-Geita

    WADAU HEBU ANGALIENI JINSI WATU VIJIJINI WALIVYOAMKA NA KUTAKA MABADILIKO, HAPA NI PICHA ZA UZINDUZI WA TAWI LA CHADEMA KATIKA KIJIJI CHA MISRI WILAYANI GEITA, UZINDUZI HUO ULIONGOZWA NA ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA GEITA KWA TIKETI YA CHADEMA NDUGU Ruhega, Rogers.JE CCM WATATOKA 2015?
  9. kanta

    Eti Edward Lowassa ni kama Jacob Zuma, upuuzi mtupu!

    Wana jamvi leo nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti, kuna gazeti moja limeandika eti Lowasa ni kama Zuma kwa maana kwamba ata bounce back na kuukwaa uraisi by 2015 kiulaani kama zuma alivyofanya South Africa. Kwa mtazamo wangu, hili ni picha linaloendelea kwa ajili ya kumsafisha Lowasa...
  10. kanta

    Kilimo ni uhai vs kilimo kwanza

    Wakati wa zama za uongozi wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na kauli mbiu ya KILIMO NI UHAI ili kuhamasisha wananchi kukifanya kilimo kuwa ni sehemu ya maisha yao. Katika kufanikisha azma hii Ungozi wa Mwalimu uliandaa wataalam wa kilimo pamoja na kuwawezesha wananchi kwa kuwaandalia soko la mazao...
  11. kanta

    Kwa hakika CCM naichukia hata haya yangetokea kwa upande wangu

    CCM KINGEKUWA CHAKULA NINGEACHA KULA NIFE ! CCM UNGEKUWA UGONJWA NISINGEKUBALI KUTIBIWA NIFE! CCM UNGEKUWA MAVAZI NINGETEMBEA UCHI KULIKO KUKUVAA! CCM UNGEKUWA UTAJIRI NINGEKUKANA NIWE MASIKINI! CCM UNGEKUA UHURU NINGEKUKANA NIRUDI UTUMWANI ! Naamini matatizo ya watanzania na nchi yao...
  12. kanta

    CHADEMA Geita wamtolea uvivu Shibuda;Wataka aondolewa CDM

    CHAMA CHA DEMOKARASIA NA MAENDELEO (CHADEMA WILAYA YA GEITA) OFISI YA WILAYA -CHADEMA KALANGALALA- GEITA Email: geita@chadema.or.tz Website: www.chadema.or.tzDate: 1st July, 2011 Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Wilaya ya Geita kimetoa tamko kali juu ya mwenendo wa kauli na msimamo...
  13. kanta

    Hebu icheki hii mitoa rushwa ya magamba hapa ilivyotoa macho

    Hawa jamaa walikuwa wanagawa chumvi ili washinde uchaguzi kupitia chama cha magamba.
  14. kanta

    CHADEMA yachukua uongozi udom

    Wapendwa watanzania wenzangu napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha ya kuwa, Chuo kikuu cha Dodoma kimempata Raisi ambaye ni jembe(chadema) kukiongoza tena kwa kipindi kingine cha mwaka mmoja. tunafahamu ccm ilitumia mamilioni ya shilingi kufanikisha lakini nguvu ya umma ime play part.
Back
Top Bottom