Search results

  1. M

    Dada yake Joshua Nassari avuliwa udiwani, Wabunge 7 wapendekezwa kuvuliwa nyadhifa za kwenye chama

    MTAZAMO hupo? Long time my friend! Chadema chama dume ....usitegemee upinzani kufa...though ninamashaka ka upinzani wako hautafanana na mzee wa cuf
  2. M

    Waraka wa Kwaresima wa Maaskofu kutoka KKKT na Kanisa Katoliki. Ibada kuu KKKT inafanyika leo Dayosisi ya Karagwe, tega sikio.

    Nimependa hotuba yake. Anasema unaona kabisa ‘huyo anayetetea wanyonge anataka wawe wanyonge zaidi...aendelee kuongaza kwa mtaji wa wanyonge...
  3. M

    ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

    Nimependa ulivyomalizia hotuba yako. Ifike mwisho na tuheshimiane....sote ni watanzania na TANZANIA ni yetu. Iweje wao wajione bora na watunza amani kwa kukiuka haki za wengine? Itatokea tu kwa waliowaoga
  4. M

    Maalim Seif kaikimbia CUF lakini Wanalia CCM, Kwanini?

    Seif kawapiga chenga hatari sana. Kawafundisha upya siasa....
  5. M

    Adaiwa kukamatwa kwa kuweka picha za "kudhalilisha" jimbo la Ndugai mtandaoni

    Wale wakusifu mwisho wao kuwa interahamwe tu
  6. M

    Adaiwa kukamatwa kwa kuweka picha za "kudhalilisha" jimbo la Ndugai mtandaoni

    Huu upuuzi. So hataki madhaifu ya Jim bibi kwake yajulikane? Cccm shida nchi hii
  7. M

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Huyu MAGAMBA 3 anaishi? Ni mnabii wasiasa! Natembelea sana JF ila sikupta kuona huzi huu! He is a great thinker...kwa ilivyo sasa anaweza twambia 2020 nini kitatokea Bara na zaidi Zenj?
  8. M

    Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

    Yeye anapuuza gazeti la Tanzanite kutukana na kukashifi wapinzani wake....akaphuze na hilo! Mkuki kwa nguruwe....pia nawe fatilia tanzanite kama unavyofanya kwa the economist
  9. M

    The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja

    Uandishi wa Pasco bhana! Any way, nimeupenda; kwanza unachokoza mada, pili, unakuweka kwenye ‘safe side’...unapongeza kama macccm wengi wanavyotaka, tatu na nzuri zaidi hii taarifa ya the Ecomist wengi wetu hapa wasingeiona hivyo umewafungua macho na kwa aina hiiii umetimiza wajibu wako kama...
  10. M

    US Department of State, Human Rights 2018 Report on Tanzania.

    Watakwambia tupo kwenye vita ya uchumi...
  11. M

    Tundu Lissu: Kama risasi 16 za 'watu wasiojulikana' waliotumwa kuniua hazikuninyamazisha, kuninyang'anya mshahara hakutaweza kuninyamazisha

    Inatiia simanzi....inatia uchungu! Hivi nyie ni binadamu wa ulimwengu upi ? Kama Mungu wa Eliiya aishivyo hamtakuwa na amani mioyoni mwenu mpaka mtubu dhambi za ukatili wenu kiasi hicho. Mnatengeneza Tanzania ambayo haijawai kuwako...mark my words..
  12. M

    Polisi wazuia Mkutano Mkuu wa Lipumba uliokuwa unafanyika leo

    Si ajabu ukakuta ni macccm haya ! Inawezekanaje kuna zuio la Mahakama and still Lipumba anapata ujasili wa kuendelea na mkutano. Hawa wajumbe wametoka kipande gani ya nchi?
  13. M

    Lugola aagiza Polisi kuwakamata wapinzani ‘wanaomtukana’ Rais kupitia mikutano ya ndani. Asisitiza mikutano ya siasa ya hadhara marufuku

    Sijui kwa nini Chadema inawaachia wao waendeleee na mikutano -juzi tu hapo mondulii ? Kwa nini wanapopanga mikutano yao isiwape mwanya wa kupanga mkutano hapo hspo walipopanga wao....hata kwa utaratibu wa dharula
  14. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

    Mataifa mengi yanazalisha waasi kwa mtindo huu wa kunyimwa au kuchelewesha kutoa haki za msingi na za kikatiba. Pole sana Mh Matiko na Mbowe, pole sana viongozi wa upinzani. Nilichojifunza kwenu nikuwa ninyi ni wazalendo na wapenda amani kuliko yoyote katika nchi. Inatosha ktk Mateso haya ninyi...
  15. M

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha Mawaziri wawili na Balozi. Ahoji kuhusu upelelezi wa tukio la utekwaji wa Mo Dewji

    Huuu mfano wa kutekwa kwa MO si kwamba Rais anawakejeri watejaji kwa weredi mbovu wa kazi yao? Ina maana ndo Rais amelizika na kuacha jambo hilo libaki tu kama alivyolitaja au kuna ufuatiliaji baada y’a mfano huo? Na kama rais alililiona hilo ni kipi amefanya ili haki itendeke ? Kama hakutakuwa...
Back
Top Bottom