Search results

  1. Avatar Myg

    Je! Mungu ni yule yule?

    Ni swala la Imani, we amini tuu... usiulize
  2. Avatar Myg

    Mchina adakwa akifanya UDUKUZI siri za Marekani

    Enlighten me, siri gani tulizonazo? idadi yawake/mahawara wa maraisi? au jeshi lina mabomu mangapi? wenzetu wanadeal na technological secrets sio siri za upatu aisee
  3. Avatar Myg

    Mchina adakwa akifanya UDUKUZI siri za Marekani

    Hivi Tanzania ina siri?
  4. Avatar Myg

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Mkuu... naona umekopi kilakitu kutoka kwenye tv series ya SUPERNATURAL
  5. Avatar Myg

    Kuna ukweli kwamba matajiri wakubwa SANA duniani wote ni members wa freemasons/illuminati?

    Hayo ni mawazo ya maskini ya kujifariji kwa kutofanikiwa.
  6. Avatar Myg

    Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

    kwann aliuumba huo mti wa katikati kama alikua hataki tulile??
  7. Avatar Myg

    Ni kweli hii! ya wazungu kuishi kwenye hali ngumu hivi kwa madiba

    kuna sehem nimeona bendera ya Brazil, ni SA kweli hapo??
  8. Avatar Myg

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Duuuh... Hapo ndo umuhimu wa shortcut unapokuja
  9. Avatar Myg

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    That's what i want... Fast
  10. Avatar Myg

    Donald Trump amjibu Papa Francis

    Vatican ilipuliwe??? Am waiting...
  11. Avatar Myg

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wakuu naomba kujua taratibu za kufuata kumiliki silaha kihalali, mahali wanapouza na njia za kufuata. Kama kuna shortcut za vichochoron za kupata sio mbaya mkiniwekea hapa.
  12. Avatar Myg

    Poll: Unaunga mkono suala la uchaguzi wa Zanzibar kurudiwa?

    kwan ukirudiwa kutakua na shida gani?
  13. Avatar Myg

    Waziri Nape Nnauye, unajua wewe ni nani? Nenda taratibu

    katibu uenezi wa ccm ni nani?
Back
Top Bottom