Search results

  1. Super Tuesday

    Serikali yaamuru KKKT kuufuta waraka. Yatishia kulifuta "Baraza la Maaskofu wa KKKT" na kuwashitaki

    mimi naamini huwezi ukashindana na viongozi wa dini ukabaki sawa sawa.
  2. Super Tuesday

    Nani ameelimisha sana jamii? Jay Mo (Mo technique ) Vs Fid Q (Farid Kubanda)

    Jay Moe zaidi. asilimia kubwa ya nyimbo zake zinapeleka ujumbe kwa jamii tena wa kueleweka kirahisi. angalia hata ngoma zake za siku za karibuni kama "pesa madafu" unaelewa kabisa anachosema hata ukiwa mzee.
  3. Super Tuesday

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Kuna kipindi alikuwa ni lecturer tumaini university ya Dar, nafikiri bado yupo uko.
  4. Super Tuesday

    Wako wapi Wilson Mukama, Shamsi Vuai Nahodha na Mustapha Mkulo!?

    Shamsi nafikiri bado ni mbunge wa jmt, Mukama miezi kadhaa nyuma nilimuona akihojiwa channel 10 nafikiri na Makwaia Wa Kuhenga. Mkulo ndio sijamsikia kabisa. mwanasiasa mwingine aliyepotea kabisa ni Dr. Ibrahim Msabaha, sijui yuko wapi?
  5. Super Tuesday

    RC Mnyeti atoa miezi mitatu ujenzi wa viwanda 100

    kama vyerehani ni mojawapo ya aina za viwanda, hasisumbuke, viwanda vitakuwepo vingi sana mkoani kwake.
  6. Super Tuesday

    Vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka??

    kuniambia uongo, aisee sipendi kabisa hii tabia. nikishakugundua ipo hatari ya mimi kupunguza ukaribu na wewe. tabia nyingine ni dharau na kupenda kutawala mazungumzo, yaani unakuta mtu mnapopiga story yeye tu ndo anapenda aongee, hii ni aina fulani ya dharau pia. uzuri mimi sipendi unafiki...
  7. Super Tuesday

    TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

    kesho mzee wetu anatimiza mwaka mmoja tangu atutoke. r.i.p mzee Ndesamburo.
  8. Super Tuesday

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Mkuu, Lemutuz ni mtu wa mapicha picha, hakuwa na share yoyote pale Africa Swahili. Yeye ni kama chawa tu.
  9. Super Tuesday

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    Yes, alikuwa clouds anatangaza kipindi cha jahazi. Ila alipoenda Africa Swahili ilikuwa ni kama amepanda ngazi.
  10. Super Tuesday

    Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahm Kinana amwandikia barua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Magufuli akiomba kujiuzulu

    Sijui ni karma imewafuta baadhi yao, unajua ukiwa na msimamo huwezi kukubali kilichofanywa na CC 2015
  11. Super Tuesday

    Msaada hi GARI ya Audi TT 2011

    kama kipato chako ni cha wastani, naona cc1980 unaweza kumudu mafuta.
  12. Super Tuesday

    Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

    kumbe swahili africa tv ndio dizzim tv! ndo maana naona hata yule ceo wa swahili radio Emmanuel Likuda yupo radio nyingine ya Dodoma.
  13. Super Tuesday

    Bashiru Ali kama Wilson Mukama

    ahsante mkuu SDG kwa kinihabarisha
  14. Super Tuesday

    Bashiru Ali kama Wilson Mukama

    hivi Bashiru ni PhD holder au? maana kuna wanahabari wakifanya mahojiano nae wanamtambulisha kama dokta Bashiru wengine hawamuiti dokta
  15. Super Tuesday

    Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

    salauni za aina hii ni za kitapeli, yaani bei sio fixed bali ni makubaliano!
Back
Top Bottom