Search results

  1. Yabice

    Kazi kweli kweli

    Atapata kigugumizi ghafla ama mshtuko wa moyo akishusha macho kidogo tu hapo!
  2. Yabice

    Hisia zako wakati unachepuka

    Je hao wanaojiuza hufanya mapenzi kwa hisia kweli? Wanawake ni viumbe wa ajabu sana anaweza akawa anakukataa kabisa anasema hata hakupendi ukiongeza bidii kidogo ukafanikiwa kuivua baasi anageuka kuwa mahaba niuee!
  3. Yabice

    Ushauri kuhusu hili gari unahitajika

    Kwa wazoefu na wataalam wa magari naombeni ushauri wenu. Sina uzoefu wowote kuhusu magari ila nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi binafsi na nimepata muuzaji mmoja anataka niuzia Honda avancier. Tafadhali mwenye uzoefu anipe dondoo.
  4. Yabice

    Story nzuri ya kusisimua iliyompata dada yangu

    Naungana na Mtimawazo "kuita mbegu za kiume uchafu ni tusi na dharau kubwa!". Inamaana binadam tunatokana na uchafu? You mean wanaume tunatembea tumebeba mauchafu? Dah hii sio kabisa labda nielekezwe vzr sababu ya kuita hivo?
  5. Yabice

    Mawaziri hawa wabadilike ndani ya bunge la katiba ni vituko

    Huwezi kuwa binadam wa kawaida wewe na huna uzalendo na nchi yako labda una uzalendo na chama chako tu!
  6. Yabice

    Wanawake tuhurumieni wanaume jamani.

    Uki generalize kuwa wanawake ni mizigo maanake ni kwamba hata yule mzazi unaye mheshimu sana ni moja ya mizigo uisemayo!! Fikiri kabla ya kulipachika neno otherwise kila kundi lina mapungufu yake!
  7. Yabice

    Nikikumbuka enzi hizo bwana, shule ilinichosha kweli aisee!!

    Cjaona msaada wa fimbo kwani zilinifanya nilichukie somo pamoja na mwalimu wake kisa mboko!
  8. Yabice

    Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

    Dah JF bwana
  9. Yabice

    Jk & Jk wanapokuwa kwenye furaha

    Tgukkk
  10. Yabice

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Lucky 77 heko! Ni watu wachache sana wenye moyo kama huo kutoa supportive informations! Big up GT!
  11. Yabice

    Ujue wewe una mikosi!

    teh teh teh teh! Utajuta!
  12. Yabice

    Kwa muungano imara tuwe na rais mmoja,bunge moja na serikali moja.

    Upo sawa! Wazee wa suruali fupi na makubasi watalielewa kweli somo hili?
  13. Yabice

    Nimekuja kuangalia chumba!!

    Kwani uliniita nije kufanya yenyewe hayo? Ha mi ctaki! Mkishamaliza mwanaume ndo wa kwanza kumuamsha oya we mda umeenda utachelewa home! Toka hapo yy ndo anaanza kktafuta dah ujana rahaa! Ila raha zaid vjjin maana misitu kibao wala hakuna kuangalia km pochi inaruhusu dah!
  14. Yabice

    malizia hii story

    Jf kiboko!
  15. Yabice

    Ni Rais.........

    Rais mchukukia rushwa kwa kinywa na matendo yaipenda! Rais mchekeamoo!
  16. Yabice

    Sikujua!

    Kuomba omba misamaha kwa maswala ya kipuuzi sawa na DHAIFU 2!
  17. Yabice

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Ha ha ha huhaaaa! We MKALEEEE UNAMULIKA MPKA GIZANI? MSALIMIE MZEE WA MAJIMBO!
  18. Yabice

    Dk slaa vs jk vote nani zaidi

    Much respect! Ni ngumu sana kulinganisha speed ya Bajaj na Boeng 700! Ni sawa kupgia kura Picha ya mgombea na kivuli kisicho na mhusika!
Back
Top Bottom