Search results

  1. M

    Wizara ya Afya, NHIF na siasa kwenye afya

    Corruption and lack of good governance na kutokuwa na utaratibu wa accountability of sanctions and imprisonment ya wezi ndo hivy ilivyo kwa sasa kwa kila s sector Tanzania
  2. M

    Hotels za Tanga acheni huu upuuzi, mnatia kichefuchefu

    Kwani kuna watu wanaiba hata ndala?
  3. M

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Je sisi wakulima tinaolima miwa tutafanya kazi gani? Sii tutaingia kwenye umaskini?
  4. M

    Taasisi zetu za elimu hazina michango ya kimawazo juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa

    Wanazuoni wengi wameacha kuandika vitabu wameingia kwenye siasa hii ndo Tanzania
  5. M

    Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Jawabu ni serikali majimbo 40% ya kodi ibaki Arusha mfano 2022 TRA ukitoa utalii ilikusanya bilioni 450 ni jiji la pili mapato Baada ya Dar, 40% % ni bilioni 200 kwa mwaka ziboreshe miundombinu ya Arusha
  6. M

    Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

    46% ya salari ya sasa ndo pesa atapata mwisho wa mwezi
  7. M

    Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

    Nimetoka Uganda juzi kuna noti 20 na 50 na 100 na uchumi uko vizuri
  8. M

    Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Uko sahihi Mwalimu Nyerere kati ya makosa makubwa aliyofanya ni hili la Tanganyika kuibeba Zanzibar!
  9. M

    PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

    Formula ndo hii nakuambia kama unapokea milioni 1 kwa mwezi ukistaafu utapokea 460,000 tshs kila mwezi
  10. M

    PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

    Formular ipo wewe tu ukistaafu lila mwezi unapewa 46% ya salary yako ya sasa
  11. M

    Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

    Hiyo ya DRC kuwa ya 6 hapana kuna alakini ktk hii list!
  12. M

    RC Chalamila: Ombaomba wa Dar waondolewe

    Kwa nini serikali isiwahudumie? Hadi waombeome?
  13. M

    Ummy Mwalimu: Mikoa 6 ina mlipuko wa Kipindupindu

    Kipindupindu ni uchafu yaani kula kinyesi kwa nini Ummy hili huongei?
  14. M

    Lipi chimbuko la wafalme/ malkia na familia za kifalme/ malkia?

    Ujasiri katika kupigana na kushinda vita angalia Mkwawa wa Iringa na Shaka Zulu wa Afrika Kusini
  15. M

    CHADEMA kuwasilisha maoni ndani ya Kamati ya Bunge kuhusu miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Safi je CCM wako yayari kuyachukua mapendekezo ya Chadema?
  16. M

    Waziri Dkt. Ndumbaro Ahimiza Watanzania Kuzichangia Timu za Taifa

    Pesa za kodi wananua V8 halafu sisi tuchangie? Wapunguze matumizi ya anasa kwanza!!
  17. M

    Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

    Private au Public?
Back
Top Bottom