Search results

  1. S

    Nauza korosho kutoka Mtwara

    Hapana, kila mtu na kazi yake na mgawanyo wake wa riziki, mimi kazi yangu ni kubangua na wengine kazi yao ni kurost kuweka kwenye ladha mbali mbalj n.k Ukitaka vyote utakosa vyote
  2. S

    Nauza korosho kutoka Mtwara

    Hiyo Elfu 10,000 ni kweli ila ni korosho nusu kilo zilizokaangwa, mimi nauza maximum 13000 kwa kilo(Inapungua mpaka kutokana na mzigo unaochukua).
  3. S

    4 tons of Cashew Kernels for sale (Tani 4 za Korosho nauza)

    Mzigo uko mtwara, ila ukihitajika tunauleta dar es salaam fasta tu.
  4. S

    Nauza korosho kutoka Mtwara

    Nauza kwa jumla na ningependa mtu achukue zote, nzima nauza 13000 kwa kilo vibande tutaelewana. Bei zangu negotiable. Ni korosho ambazo zimebanguliwa lakini hazijakaangwa
  5. S

    Nauza korosho kutoka Mtwara

    NAUZA KOROSHO KUTOKA MTWARA ZILIZOBANGULIWA KATIKA UBORA WA HALI YA JUU SANA. MAWASILIANO : 0767 177 107 Email: john@hawte.co.tz
  6. S

    4 tons of Cashew Kernels for sale (Tani 4 za Korosho nauza)

    Hi JF Members, I have 4 tons of cashew kernels , the grades are as follows: Contacts: 0767 177 107
  7. S

    Wapi wanakouza na kuprint mabox? Nahitaji mabox 700

    Wadau anayejua watu reliable wanaouza na kuprint mabox, nahitaji box 700 fasta sana. please. 0714 06 06 87
  8. S

    Je, Diamond ni "ROLE MODEL"

    noted kiranga
  9. S

    Je, Diamond ni "ROLE MODEL"

    Acha ubutu wa mawazo, kwa hiyo wamarekani wakifanya upuuzi wewe una_support tu coz ni wamarekani. Mimi diamond namkubali sana mungu anajua na ningepata nafasi ya kumshauri ningemshauri. Na hapa nasikiliza "song zake"
  10. S

    Je, Diamond ni "ROLE MODEL"

    Sasa aliyekutuma u reply ni nani? kama haina mashiko?
  11. S

    Je, Diamond ni "ROLE MODEL"

    Ni demu wake mpya?
  12. S

    Je, Diamond ni "ROLE MODEL"

    ​ Kipindi cha nyuma nilikua nadhani kila "superstar" ni "role model" hasa nilipokua nafuatilia sana habari za watu mbalimbali maarufu duniani. Tanzania ukitaja Super Star huwezi kumwacha Diamond, ni mwanamuziki mwenye mafanikio makubwa tena kwa muda mfupi, Big Up Bro! Lakini mwenendo...
  13. S

    Mabilioni ya Stanbic

    Siamini kama tutaambiwa ukweli kuhusu cash iliyotoka stanbic, kuna tetesi mzigo ulipelekwa maeneo ya kuleee "KIVUKONI"; na Kwa hali niliyoiona bungeni sijui kama tutaambiwa ukweli wowote. Sijui wadau mnalionaje hili
  14. S

    Rais Kikwete na waziri mkuu Pinda ndio walipaswa kuwajibika kwanza

    Mkitaka kujua ukweli kuhusu escrow ni mpaka muheshimiwa aondoke madarakani, for the current trend hatutoweza kuambiwa ukweli hata kidogo. Natamani kina tundulisu na mnyika wangekua 10 tu; mambo yangenyooka. Nimechoswa na wizi. Najipanga kupiga kura mwakani, naanza na hii 14/12/2014. CCM lazima...
  15. S

    Kuanzia leo nimeamua kuachana na kushabikia siasa

    Siasa waachie wanasiasa bro, kulikua nz ugumu gani kusema pinda z achomoke? eti kamati ya maridhiano , Upuuzi mtupu!
  16. S

    Pinda, Werema waomba kujiuzulu. JK kuamua hatima saa moja usiku leo

    Werema akaze hivyo hivyo ili CCM iendelee kukatika vipande vipande. Werema lazima afe na mtu
  17. S

    MADA SHIRIKISHI: Je ikitokea Rais kikwete akawa Mtuhumiwa NO .1 wa ESCROW UTAFANYAJE?

    Inaelekea wewe ndo mnywa viroba namba moja, mbona imekukera? acha kujifanya una uchungu na chama wakati hata jero hujala
Back
Top Bottom