Search results

  1. teac kapex

    Picha kutofunguka

    Wadau naombe ni kujua, simu yangu ninapofungua jf ili kuona picha kinachokuja ni hiki hapa kwenye picha, nime uninstall na ku install lakini wapi, tazizo liko pale pale, je nifanyeje?
  2. teac kapex

    Tatizo la kuchanganya mafuta

    Habari za leo wadau wa jukwaa hili, leo kwa bahati mbaya nimechanganya mafuta, nina gari aina ya hiace ambayo inatumia Petroli, nimekwenda kituo cha mafuta muuzaji bila kuuliza akashindilia diesel kama lita 4 hivi na ndani ya tank kulikuwa kama na lita 7 za petroli nilipoondoka tu umbali...
  3. teac kapex

    Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?

    Walio wengi wamependekeza mbele iwe kidogo kuliko nyuma, asanteni
  4. teac kapex

    Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?

    Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma? Na je niqeka upepo mf nyuma 50 na mvele 40 kutakuwa na madhara gani na nini faida ya kuweka upepo sawa? Natanliza shukrani kwa watakaochangia
  5. teac kapex

    Screen reader imezua tatizo kubwa, Samsung note 9

    Nawashukuru wale wote walioonyesha moyo wa kizalendo wa kunisaidia, nimefanikiwa kuiondoa. Barikiweni nyote
  6. teac kapex

    Screen reader imezua tatizo kubwa, Samsung note 9

    Wadau katika kufanya setting za simu nimejikuta nimeikubalia screen reader na matokeo yake simu haifanyi kazi tena, kila unachogusa inatamka maneno ya kile ulichogusa nimejaribu kutafuta namna ya kujitoa nimeshindwa, nafikiria kupeleka ika flashiwe lkn kuna vitu vyangu vingi vya muhimu, je...
  7. teac kapex

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Naomba kujua hili ni tatizo gani linalosababisha mwanake kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au usio na harufu
  8. teac kapex

    Msaada tafadhali juu ya adds block

    Hata hivyo natumia chrome
  9. teac kapex

    Msaada tafadhali juu ya adds block

    Sina ad blocker yoyote niliyonayo kwenye simu
  10. teac kapex

    Msaada tafadhali juu ya adds block

    Ad blocker ipi inafaaa kama una chenye unajua nitumie, hapa nimeshindwa
  11. teac kapex

    Msaada tafadhali juu ya adds block

    Wadau msaada unahitajika, kuna web fulani nikiingia inakuja msg yenye ujumbe unaosema you have not unlocked your ad blocker, you will be disconnected in 5 seconds. Naambatanisha picha. Jee nifanyeje kuzuia hii hali aisitokee?
  12. teac kapex

    Mapenzi yanaumiza jamani. Nisaidieni kutoa hii kitu

    Hatimaye ndege wangu nimemkamata mabawa haruki wala kufurukuta. Lkn ni baada ya kuteseka sana moyoni
  13. teac kapex

    Mapenzi yanaumiza jamani. Nisaidieni kutoa hii kitu

    Angalau sasa baada ya kuonana na kuongea na la azizi wangu moyo umetulia, let me check for the next relationship
  14. teac kapex

    Kuona post zote nilizopost Jf na Fb

    Wadau naomba kujua ikiwa nataka kuziona post zangu zote nilizopost hapa Jf nifanyeje? Na Fb napo nifanyeje? Natanguliza shukrani
  15. teac kapex

    Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

    Nasikia watu wakijinadi kuwa kuna dawa za kurudisha mke/mme aliyekuacha ili hali bado unampenda? Wenye ushuhuda na hii mambo lete mrejesho hapa.
  16. teac kapex

    Mapenzi yanaumiza jamani. Nisaidieni kutoa hii kitu

    Kadri navyoendelea kupata comments kutoka kwa wema na waovu ndivyo navyozidi kuwa na moyo wa kuachilia, Sipendwi sipendwi tu acha nianze upya sikuzaliwa naye iko siku nitasahau. END OF THE THREAD.
  17. teac kapex

    Mapenzi yanaumiza jamani. Nisaidieni kutoa hii kitu

    Angalau unatuliza moyo uliopondeka, watu humu wana comment vibaya nadhani bado hayajawakuta, Kwa mtu unayempenda huwezi lala nakwambia, habari ya kwamba nimefanya kosa kubwa sana la kumtukana ni kweli lkn miongoni mwenu mnaochangia wapo waliokwishafikia hatua ya kutukana na kupiga kabisa...
  18. teac kapex

    Mapenzi yanaumiza jamani. Nisaidieni kutoa hii kitu

    Ni kweli lkn daah itanichukua muda kusahau ingawa najua hilo linawezekana
  19. teac kapex

    Mapenzi yanaumiza jamani. Nisaidieni kutoa hii kitu

    Uko sawa nikipata nafasi nitaitumia vizuri
  20. teac kapex

    Mapenzi yanaumiza jamani. Nisaidieni kutoa hii kitu

    Bora wewe angalau umesema jambo.
Back
Top Bottom