Search results

  1. koboG

    Ubaguzi washika kasi ndani ya kanisa la Roma kama wa Afrika tufanye nini?

    Hapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi. NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu. ♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up.
  2. koboG

    Wataalum wa vifaa vya cm msaada wenu hapa

    Hii cm ni OPPO r9 plus huyu jamaa amezunguka kwa mafundi wote ila wapi wananshindwa kutatua tatizo cm inagoma kupeleka charge uki connect kwenye charge inaleta haya maneno. vip hii cm atupe tu au kunanamna ya kufanya hapa
  3. koboG

    Ni wapi mwanachuo huyu atapata msaada kwa uzembee huu wa Mwalimu?

    Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,hiki chuo kipo katika hospital ya rufa ya mkoa wa tabora almaarufu kama kitete hospital wanatoa...
  4. koboG

    Mpenzi wangu hataki kunielewa juu ya kosa langu

    Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri. Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji...
  5. koboG

    Utopolo wamsajili chama ushahidi ninao

    Not,,furaha ya mbwa koko hua haidum mkimaliza ku bwekaaaa,tutawapa na maji mshushie kama hutaki bweka
  6. koboG

    Bwalya aliyekuwa anawindwa na mnyama asaini El Gouna ya Misri

    NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya amejiunga na timu ya El Gouna FC ya nchini Misri. Bwalya alikuwa anatajwa kuwindwa na Simba ili kuziba pengo la Emmanuel Okwi ambaye hajaongezewa mkataba ndani ya kikosi hicho ambacho kimeweka kambi nchini Afrika Kusini. Amesaini kandarasi ya miaka...
  7. koboG

    Huku Simba wakiwa wametinga CAF, kisa mwamuzi, klabu nyingine yatinga CAFkwa kesi ya kugomea maamuzi

    BAADA ya klabu ya Simba kutinga kwenye Shirikisho la Soka la Mpira Afrika (CAF) wakihitaji kupewa mwongozo kwa nini wamebadilishiwa mwamuzi wa mchezo wao klabu ya Horoya AC kutoka Guinea wametuma malalamiko yao kwa shirikisho la soka CAF. Horoya wametuma malalamiko yao wakimshtumu mwamuzi...
  8. koboG

    BACHELOR OF ARTS IN TRANSLATION AND INTERPRETATION[BA-TI]

    wakuu ninaomba ambaye anauelewa juu ya kozi ya [bachelor of arts in translation and interpretation] anijuze juu ya haya mambo yafuatayo hata kama sio yote kama unauelewa walau juu ya moja wapo mchango wako ni wamuhimu kozi inahusisha lugha ngapi wakati wa kiusoma kwa hapa tanzania aliyehitimu...
  9. koboG

    Msaada: Inawezekana kubadili hii kozi? Ni muda gani inaruhusiwa?

    Natanguliza shukrani kwa mwenyez Mungu Kisha kwenu wana jukwaa Ninaomba msaada kwa mwanajukwaa wenye ufahamu juu ya hili jambo, Nimechaguliwa chuo kikuu cha dodoma [bachelor of arts in translation and interpretation] japo nia yangu ni kusoma kozi nyingine je inawezekana kubadilisha kozi? Na ni...
  10. koboG

    Kozi nzuri kwa ajili ya masomo ya arts

    Natanguliza shukrani, Wakuu kwa pamoja Naomba tufahamishane kozi nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma masomo ya sanaa(arts) Nikiwa namaanisha kwamba zile ambazo zimamuwezesha kujiajili au kupata ajira kwa wepesi na zinapewa kipaumbele hata kwenye mikopo Natanguliza shukurani
  11. koboG

    simu feki na TCRA

    wabongo bwana. kwakujifariji tuko vizuri! eti unakuta mtu ana simu aina ya OKING ukimuuliza simu yako ni aina gani anakujibu! OKING X2 new model. ilimradi umuone hana simu feki
  12. koboG

    Ananiuliza, ''Ikitokea nimebeba ujauzito wako utachukua uamuzi gani''?

    Habari zenu wakuu. Poleni na majukumu na mihangaiko ya maisha ya kila siku. Nina mpenzi wangu ambaye tulianza mahusiano yetu tangu mwaka jana. mara nyingi amekua akiniomba nizae nae (anizalie) lakini nimekuwa nikimkatalia. Kwani kwa sasa ninahitaji kujiimarisha kiuchumi kabla ya kuingia katika...
Back
Top Bottom