Search results

  1. cheupe dawa

    QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  2. cheupe dawa

    Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

    yeye pia ni mwanaume yaweza kuwa yeye
  3. cheupe dawa

    Msaada jinsi ya kupambana na waturutumbi/wachawi

    eti waturutumbi, utauwa mkurya wewe hhahaha! unaenda kanisani kweli wewe? nyumbani kwenu mnafanya ibada kabla ya kulala? tuanzie hapo kwanza
  4. cheupe dawa

    Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

    jifungie ndani mwenyewe utubu kwa Mungu wako, hapa watakusema mpaka ujute
  5. cheupe dawa

    Kwanini watu wembamba huwa na akili kubwa kuliko wale wanene?

    uzito ukizidi uwezo wa kufikiri unapungua, ni kama cm au laptop ikijaa vitu inakuwa inafunguka pole pole sanaa,
  6. cheupe dawa

    Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

    sioni kosa la huyo dada, alieua ni mtu mwingine kabisa tena baba mdogo wala sio babaake mzazi, me nadhani ni muda wa kusameheana kama familia ya kuanza maisha mapya, msimulie jinsi ilivyokuwa then yeye ataona anafaa kuwa upande gani!!
  7. cheupe dawa

    Kwanini wadada wengi wazuri huwa hawadumu kwenye ndoa?

    hawezi kuwa mume kanioa, we vipi?
  8. cheupe dawa

    Kwanini wadada wengi wazuri huwa hawadumu kwenye ndoa?

    elewa jibu, nimekwambia nishaolewa, sina boy friend nina mume
  9. cheupe dawa

    Kwanini wadada wengi wazuri huwa hawadumu kwenye ndoa?

    nimeolewa mie, siunaona picha hapo nipo na beib hubby
  10. cheupe dawa

    Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

    hahahahahaa
  11. cheupe dawa

    Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

    Sifa mojawapo ya mwanamke mrembo shart awe mrefu! avril namkubali sanaa ila urefu unamwangusha,
  12. cheupe dawa

    Enough is enough maskini moyo wangu

    pole sanaa my dia, utakuwa sawa soon, kuwa bze na mambo mengine, pata muda mwingi wa kupumzika i mean lala mapema, maumivu kama haya huwa yanaisha pole pole kadri unavyompotezea mtu!
  13. cheupe dawa

    Wife kanuna kisa nimepata shavu Uganda

    why hujaenda nae? usimlinganishe mke wako na kitu chochote, hata hiyo sherehe haikuwa muhimu sanaa kwenda kuliko kumsikiliza mkeo!
Back
Top Bottom