Search results

  1. Kijibabu

    Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Hata ukiongea broken sio mbaya ila uliza swali la maana. Makocha wengi wa kigeni wana kiingereza kibovu ila wanaongea vitu vinaeleweka
  2. Kijibabu

    Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Mechi ya leo ilikua na maswali mengi sana ya kuuliza hasa mbinu za mchezo. Kuna mahali tunakwama, angalia hata mechi zetu hizi za ligi kuu huwa hawaulizi maswali mazuri
  3. Kijibabu

    Mwarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wapewa kazi ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Kama mradi wa mwendokasi umetushinda basi hakuna mradi tunaweza kuuendesha. Mwendokasi ni sawa na mfanyabiashara mwenye monopoly ya soko 1- njia ni yako, yanapita mabasi yako pekee. 2- Abiria wapo tuu wanakusubiri wewe ulete mabasi. Unahitaji nini zaidi ya hiki lakini bado unapata hasara...
  4. Kijibabu

    Wapi hukuelewa kuhusu movie ya Jumong na Spatacus?

    Hii ni movie tofauti, nadhani inaitwa perfume
  5. Kijibabu

    KERO Wanafunzi tunadai fedha za refund lakini Chuo cha St. John's University of Tanzania kinatuzungusha tu

    Miaka yote huwa wanasumbua sana, hela ikiingia kwenye account ya chuo kuitoa ni kazi. Hapo ungekua unakaa hostel then wanakukata kwenye hiyo ada. Pia direct charges za chuo hulipi, inakatwa hukohuko. Mngemalizana kirahisi
  6. Kijibabu

    KERO Wanafunzi tunadai fedha za refund lakini Chuo cha St. John's University of Tanzania kinatuzungusha tu

    Ada inayolipwa na bodi haiingii kwenye account ya mwanafunzi. Ada inaingia kwenye account ya chuo, mwanafunzi anasaini tuu. Hivyo Chuo kimechukua Ada mara 2 kwa mwanafunzi mmoja.
  7. Kijibabu

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Sure boy leo alikua unga sana. hakabi vizuri, pasi zinapotea, hatembei na mpira hata akiwa peke yake. Usajili wa kiungo mzuri mzawa unahitajika
  8. Kijibabu

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Jimmy shoji mwaisondola, watangazaji huwa wanatamka lote kama lilivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Kijibabu

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Ingekua yanga hapa singida angekua kashachukua 5. Simba kapoteza chances nyingi mpaka singida wamerudi mchezoni
  10. Kijibabu

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Ni mimi ndio sielewi au? Gsm wanazipa hizo timu pesa kutangaza biashara yao na sio kununua timu. So mkataba sio baina ya TFF na GSM bali ni GSM na hizo timu. ni sawa na kuwauliza TFF mkataba wa Simba na Mbet, utakua ujuha. Udhamini uliokataliwa ni ule wa timu zote za ligi kuu kuweka nembo ya...
  11. Kijibabu

    Africa Sub Sahara Best University Ranking; Tanzania yaingiza Muhimbili na Ardhi

    Kama nchi hiki ndio chuo chetu tegemeo, hata sisi ambao hatujasoma hapo lakini kinatuangusha sana. Kinazidi kuporomoka tuu. Hakina tofauti na vyuo vilivyoanzishwa miaka ya 2000. Research ni kitu muhimu kwenye ranking, vyuo vyetu vinafeli sana hapo. Vyuo vyetu vingi website inakua sawa wakati...
  12. Kijibabu

    Najuaje chuo cha nursing kama kimesajiliwa au la?

    Ingia hapa https://nactvet.go.tz/registered-institutions utaona vyuo vyote vilivyosajiliwa
  13. Kijibabu

    Chuo cha TIA kwanini mnawatia wazazi na wanafunzi hasara?

    Miaka mitatu?. Kwamba alisoma miaka yote hiyo halafu akaambiwa hana sifa?
  14. Kijibabu

    Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?

    Ni kupoteza muda kama atafeli, ila kama akifaulu ni best route to university.
  15. Kijibabu

    Shule za English medium za serikali

    Azimio, karibu na stand kuu
  16. Kijibabu

    Hongereni sana shule ya Kemebos Secondary School Kagera

    Mwaka huu wamepitwa na St Francis Kemebos- GPA ya 1.1024 St Francis- GPA ya 1.0799 GPA inapokua ndogo inamaanisha ufaulu mkubwa
  17. Kijibabu

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Kocha wa zambia aliona kabisa tumerudi nyuma ndio maana akawaingiza musonda na chama. Kocha wetu aliishiwa mbinu
  18. Kijibabu

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Kocha anastahili lawama, kitendo cha kurudi nyuma wakati zambia walikua pungufu ni cha kijinga
  19. Kijibabu

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Shabalala anapenda sana wakati anahatarisha timu
Back
Top Bottom