Search results

  1. C

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Kamba style? lossoJR ...acha kutukatisha tamaa wenzio bana...
  2. C

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Mkuu Rakims.. Nimejaribu almost mara Tatu lakini bado sijapata matokeo.. Nothing.. No that dream nor what.. Anything wrong?
  3. C

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    asante@Rakims
  4. C

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    jamani, hizi Rose water ukienda madukani unakuta nyekundu au nyeupe... Ipi inafaa? Rakims
  5. C

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Rose water nyekundu inafaa kwa kazi hiyo?
  6. C

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom mijizi toka longi.. Ukipiga customer care kuna videmu vinacheka cheka tu.. Sijui wanaviokotaga wapi? Usithubutu kulala na salio la voda ukiamka asubuhi wamekulamba lotee
  7. C

    Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

    nilikuwa najaribu tu kama ban imeondolewa...duuh.. Nilimisije... Mshana Jr,, mzizimkavu... Nilikuwa kama mkiwa
  8. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wengine hatujui kabisa mambo ya kubeti,na vyuma vimeumana balaa! mnapotuwekea ubashiri wenu hamjui tu mnakuwa mmetupiga tafu sana tena sana,sasa ukiweka matokeo yanakuwa yanasaidia nini
  9. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mzee,tuwekee mkeka wa leo tufaudu maujanja
  10. C

    Telekinesis

    ok,asante
  11. C

    Telekinesis

    nata natamani sana kupata ufahamu kuhusu haya mambo
  12. C

    Telekinesis

    kinapatikana wapi
  13. C

    Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

    hawezi kutoka chadema,,chadema ni chama cha baba mkwe ,,kampa mbowe ili akilinde! hiyo ni chaga development management.hata wakiweka kabila jengine kwenye cheo cha juu utabakia kama picha tu! maamuzi yote yatatolewa na mbowe na mke wake ambaye ni mtoto wa mtei! ukitaka kujua kijana kama amekomaa...
  14. C

    Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

    naq mimi niunganishe
  15. C

    Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

    i just wanted to know about this
  16. C

    Kutoka Hosp Nilikolazwa: Kuna wanawake tunaweza date/oa kumbe wachawi/walozi

    ahahahaaa! umenikumbusha kuna binti mmoja anasoma chuo huko dar! tukaunga urafiki ...siku akanipigia simu anaomba laki 3 aongezee ada kwani baada ya siku mbili wanaanza mithihani,so bila hivo hawezi fanya mitihani.. nikamwambia niko njani nadrive nakwenda mby baba yangu mzazi kafariki! so siko...
  17. C

    Libya watu wanapigwa mnada kama ng’ombe

    kupanga ni kuchagua! waafrika huwa tunafurahia wazungu wakiushiriki kutuondolea viongozi wetu...lakini mwishoi wake ndio haya yanayotokea
Back
Top Bottom