Search results

  1. nziriye

    UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Nadhani umeandika kwa mhemko, unaweza cheki performance ya NMB tena chini ya mwanamama Mtanzania then ndio uandike haya maneno yako ndugu.
  2. nziriye

    UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Adam Mihayo, kijana cool tangu alipokuwa kuwa seminari mdogo ya Mt. PETRO MOROGORO (kichwani yupo vizuri kwa maana, Academically kuanzia 0 level alipasua hasa, kadhalika na A - level alipasua fresh likewise), pia hana makando kando ya kutisha, nadhani ni Chaguo/teuzi sahihi na ataenda kufanya...
  3. nziriye

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Shule njema kibande cha "Charlie Bravo Ecko"
  4. nziriye

    Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Injinia mtata mno, eti BOOM [emoji95] 'five'...
  5. nziriye

    Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Leo ni mchezo wa 08 amecheza Mkia..angalia table yako fresh
  6. nziriye

    Tukio la Aucho kumpiga Ajib mwamuzi alionekana tangu mwanzo anafuata maekekezo

    Mipira yetu, kivyetu vyetu...bora yeshe yakhe, Uzuri wetu ambao tunagundua makosa ni wale ambao tunapata wasaa wa kuangalia marudio, ila trust me kwa uono wa refa ambaye anakuwa uwanjani + presha ya mchezo ni ngumu sana kuwa [emoji817] perfect katika kufanya maamuzi. All in all, wengi wao...
  7. nziriye

    Tukio la Aucho kumpiga Ajib mwamuzi alionekana tangu mwanzo anafuata maekekezo

    Jamaa wana mpira wa Kishamba mnoooo...
  8. nziriye

    Tukio la Aucho kumpiga Ajib mwamuzi alionekana tangu mwanzo anafuata maekekezo

    Ndugu, nadhani siku nyingine ukiwa unaandika upende kushirikisha ubongo maana sidhani narudia sidhani kama AUCHO ni chizi aamue kumpiga kiwiko mchezaji mwenzake... Anza kuongelea kitendo alichofanya AJIBUU then ndio tujadili tendo la Mchezaji wa Pili. Nb. SIPENDI UGOMVI MICHEZONI, INAPENDEZA...
  9. nziriye

    Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    .... bado MED ALI...mpayukaji !!!!
  10. nziriye

    Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Mtumishi, hivi unajua ile ilikuwa ni DERBY !! na unajua maana halisi ya neno DERBY !? Nadhani ukitambua fresh usingeandika hicho hapo juu tena unaweka na tupicha ili kujifurahisha na nafsi yako. Cha muhimu ambacho refa alijitahidi kukifuata... 1.Soft fouls alikuwa makini nazo mno - kumbuka hizi...
  11. nziriye

    Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    ....na tukumbuke YANGA ndio inashikiria rekodi ya goli la mapema katika ligi kuu hadi sasa, goli dhidi ya SIMBA dakika ya 2:59. Yaani hadi MSEME.
  12. nziriye

    Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

    Umenena vyema Genta... Cha kukumbuka pia... 1. Simba alifanikiwa mfunga Yanga magoli mengi (6 na 5) yeye akiwa mwenyeji/nyumbani. - Yanga kamfunga goli 5 Simba akiwa ugenini. 2. Hadi tarehe 05 Nov 2023 ni timu ya Simba pekee ndio ilikuwa haijapoteza mchezo wowote ila Yanga akamfunga na...
  13. nziriye

    Je, Yanga kumpoteza Gamondi na Max!?

    ...huyu jamaa ananikosha sana na accent (lafudhi) yake anapojibu maswali ya waandishi wa habari, ananivunja mbavu zaidi akiskia swali na akiwa analiweka sawa ...he is super Gamondi 👌
  14. nziriye

    Kocha wa Simba amelinda kibarua Cha AYUB LAKRED

    ....nilichokiona kingine, hao wenzake wamekula mkono wakiwa ugenini, lakini Bwana yule amegongwa zake 5G akiwa nyumbani....Haaa haaa haaa
  15. nziriye

    Wachezaji Mizigo Simba

    ...bado HUJASEMA, angalia post yako ulisemaje kuhusu kushinda tarehe 05 Nov...yaani hadi MSEME haaa haaa haaa
  16. nziriye

    Gamondi akaribishwa Mazoezi ya Simba Bunju.

    Wanaitwa MAP - Max, Aziz & Pacome....
Back
Top Bottom