Search results

  1. Lyrics Master

    Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Habarini ndugu zangu, Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea. Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya. Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya...
  2. Lyrics Master

    Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Mbwana Samatta amekulia katika viunga vya Mbagala huko ndiko kuliko mtambulishan katika uga wa kandanda. Historia ya huyu mchezaji haikuwa rahisi kutoboa hadi kufikia hapo alipofikia. Kuna kipindi alikuwa anakosa hata sh. 200 ya nauli ya kumpeleka mazoezi. Waliokuwa karibu yake walimsaidia pesa...
  3. Lyrics Master

    Tupia wimbo wowote wa Reggae unaoupenda

    Habari ya Asubuhi Wakuu, Naona Week end ndio imeshaanza. Tupia Song lolote la reggae unalolikubali. Mimi nimeanza na hilo.
  4. Lyrics Master

    CRIME AND CORRUPTION by LUCK PHILLIP DUBE (RIP)

    Is it the bodyguards around you? Is it the high walls where you live? Or is it the men with the gun around you Twenty four hours a day That make you ignore the crying of the people? Farmers get killed everyday And you say: "It is not that bad" Policement get killed everyday And you say: "It is...
  5. Lyrics Master

    Ni ipi yard ya kuaminika ya kuuza magari Dar?

    Wakuu habari ya mchana? Nimechoka kutembea kwa miguu, nataka nikavute gari yadi leo. Ni yadi gani ya kuaminika hapa Dar achana na zile yadi kwa kutuuzia magari ambayo wameyatoa Zanzibar.
  6. Lyrics Master

    Subaru Forester Vs Honda Crossroad

    Wakuu habari za Jumapili!? Kuna kahela nimepata kidogo nataka kuagiza gari. Baada ya kufikiria kwa muda mrefu nimetamani gari mbili tu; Subaru Forester au Honda Crossroad. Wataalam wa magari nichukue lipi hapa? Ushauri wenu wa maana sana kwangu. Asanteni.
  7. Lyrics Master

    Pesa By Mr. Blue a.k.a Bizy Bablon, Kabaisa

    Intro: Yeah, Biiizy Babloon/ Herry Samir, Mr. Blue (waelezeeee) Aaahhh Nimetoka Mbaaaaali Mbaliiii mbali mbali ( waelezeeee, waambie ukweli) What's up!! What's up!! Sayi Records (Records), Lazima tusherekee kwa kile kilichofanyika au sioooooo..... Let's Gooooo!!! Verse 1 Nshatembea kwa miguu...
  8. Lyrics Master

    Mbele kwa mbele- dj Yusuf ft. Hard Mard

    Verse 01: Kipyenga kimelia Mambo Magumu/ Mithili ya Sumu/ Uchungu na maumivu ambayo huwezi kuvumilia/ Kaa tulia/ Futa machozi msela inatusumbua hela/ Hatuna hata kitu kidogo Cha kupeleka tumboni/ Shida zimejaa, kidogo ulichonacho, lakini bado wanatoa macho/ Lakini kwa masela, mbele kwa mbele...
  9. Lyrics Master

    Mimi ni shabiki wa Yanga na Juma Ramadhan Mgunda

    Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
  10. Lyrics Master

    Waiting in Vain by Bob Marley

    Idon't wanna wait in vain for your love I don't wanna wait in vain for your love From the very first time I placed my eyes on you, girl My heart says follow through But I know, now, that I'm way down on your line But the waitin' feel is fine So don't treat me like a puppet on a string 'Cause I...
  11. Lyrics Master

    TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

    Kuna swali najiuliza, hivi team ikisajili mchezaji na kabla ya deadline huyo mchezaji huyu akawa mgonjwa, inamaana hairuhusiwi tena kusajili mchezaji mwingine kabla ya hiyo deadline? Kama ni ndio basi kuna mahala kanuni zetu hazipo vizuri. Sipo hapa kusema nani yupo sahihi nan ani hayupo...
  12. Lyrics Master

    Amenipa mdogo wake

    Hii imekaa vipi wakuu!? Kuna dada mmoja hivi, nilionana nae kazini kwangu miaka hiyo, 2018 wakati nipo Dar Es Salaam kipindi hicho. Tukazoeana Sana. Chating kwa wingi mno. Nikaanza kumpenda Ila kila nikimtongoza ananitolea nje, anasema yeye ana mtu tayari. Sasa mwaka 2020 nikahamia Dodoma...
  13. Lyrics Master

    Nasema nao remix - Darasa Verse

    Ridhiki haiji yenyewe hata ukilala mlango wazi/ Maisha Bora yanajengwa na juhudi yako ya kazi/ Kazi sio kushuka, kazi ni kupanda ngazi/ Ukipotea,umepotea hata ukikesha unavunja Nazi/ Haishangazi, hizi ni zama za uwazi/ Umeamua kukaa uchi usiogope mapaparazi/ Music haumtupi mwana kama mbeleko ya...
  14. Lyrics Master

    Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage?

    Habari Wakuu, Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car. Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo wenye kujua kazi yao... Nitashukuru kama nitapatiwa na Bei zake.. Ahsanteni Sana
  15. Lyrics Master

    Mola by Ngwair, Jay Mo & Bamboo

    Verse 01: JayMo Mwenyezi nihurumie kiumbe Chako/ Mbele nitafikaje bila mwelekeo wako/ Kwenye Giza siwezi ona bila mwangaza wako/ Mja wako Niko chini ya miguu yako/ Naomba uninusuru na haya majanga ya dunia/ Maana kila kwenye kumi napata tisa na wanalia/ Nadata, sababu tu sio ya ugumu wa maisha/...
  16. Lyrics Master

    Kimbia by Babuu (Langa Verse)

    Kimbia, Polisi maskani wakivamia Wakikudandia, hakika hawatakuachia Wakukute umetulia, au kipisi unamalizia Au labda kuna mchizi tu ulikuja kumuulizia Wanapoingia, nakushauri kimbia Wakikudandia, ujue watakuharibia Na kama huna mshiko, kukuacha ni ndoto Watakupa kesi ya kukudaka na gunia la...
  17. Lyrics Master

    Kiberiti - Fid Q Ft Saida Karoli

    Haueleweki hata uki-shine kwa punchlines on Facebook/ Haiwi-fine ka' Rayvan, we' fake tu/ Sikuoni B.E.T au MTV wak-play tunes/ Miaka nenda we' msanii, MC una play tu/ Makida, we' sio king kama Kiba/ Sio Yao Ming kwenye ring/ Mistari mingi zaidi ya zebra? (Zaidi ya zebra!) Unazingua nigga...
  18. Lyrics Master

    MADEMU WATAFUTAJI BY AT FT STANBOY

    CHORUS: hii ni kwa wote mademu watafutaji, hii ni kwa wote mademu watafutaji, zidisha nguvu kwenye kazi, watafutaji, sasa nasema nao nyie, watafutaji, zidisha nguvu kwenye kazi, watafutaji. sasa nasema naooooo VERSE 01: unavutia si kicheche halafu unanukia kinoma/ unahangaikia maisha yako...
  19. Lyrics Master

    Mkiwa - Ksal ft Feruz

    VERSE 01; kimo cha hekima za ndugu sasa ni dhaifu, imani zao chache na wamekosa uaminifu, wako radhi kuua ndugu na kumdhulumu mkufu, au kama si kumuua basi watamuacha na upofu, wakati tafsiri wa hali hii ni upotofu, nikiwa kama mkiwa ndani ya dimbwi la matatizo, maana yake nimefiwa na haki...
  20. Lyrics Master

    Je, utanipenda remix - Sugu verse

    Hawapigi tena track redioni, Na hata kwenye TV haunioni, Na jina haliendi chini, Najua unashangaa hata mimi sijui kwanini, Je ungenipenda Kama nisingekuwa Staa!? Kwasababu sio handsome wanasema ungekataa, Mimi ni msanii na ndio maisha nayoishi, Sometimes sina kitu Ila nakua mbishi, Nikipita...
Back
Top Bottom