Search results

  1. chazy255

    Fursa ya kununua choroko

    Kwa wanunuzi wa choroko, kama unataka kununua, huu ndio msimu wa kununua. Kwa wenye mitaji unakaribshwa, choroko ni nyingi sana. Bei wanunuzi wameanza na elfu moja kwa kilo. Njoo unishirikishe tusaidizane kununua, eneo nilipo ni Wilaya ya KWIMBA mkoani Mwanza. Karibuni nyote.
  2. chazy255

    Orodha ya wasanii bora wa kisukuma wa siku zote

    Hawa ni wasanii ambao wametoa ngoma kali na kuweza kuhit ukanda wa ziwa wote. Ni wasanii ambao wanajaza sana kwenye show zao. 1. Malingita 2. Bhudagala mwanamalonja 3. Bahati wa bugalama 5. Ngelela 6. Kisima 7. Juma marco 8 Gudegude 9. Inaga 10. Bushemeli
  3. chazy255

    Natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu, nina shahada ya elimu.

    Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise. Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
  4. chazy255

    Msaada wa generator nzuri kwa umwagiliaji bustani

    Habari jf; Nina mpango wa kununua genereta. Ninaomba ushauri wa generator nzuri kwa ajili ya umwagiliaji bustanini (nyanya).
  5. chazy255

    Jinsi ya kurudisha au ku-activate M-Pesa Account

    Jamani nina shida na Account ya M-Pesa ni kama imexpire na ina hela, mwenye uelewa jinsi ya kuactivate ili irudi katika Hali yake anisaidia, nikiwapigia Voda kwa namba yao wanaongea kiingereza wananichanganya.
  6. chazy255

    Tujikumbushe nahau na methali za lugha ya kisukuma

    Jamani wakati tunakua tulikuwa tuna ganilwa nahau na methali mbalimbali za kisukuma na bibi na babu zetu, hata sisi wenyewe wakati tunachunga tulikuwa na mchezo wa kugani methali na mwingine anatoa jibu. Naona kulingana na mabadiliko mbalimbali watoto wetu na uhakika kwa asilimia zote hawazijui...
  7. chazy255

    Msaada jinsi ya kurudisha account ya WhatsApp

    Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa. Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa...
  8. chazy255

    Update system imegoma, naombeni msaada.

    Simu yangu system update yake imegoma. Inaniambia hivi .naombeni msaada jinsi ya kutatua shida hii
  9. chazy255

    Msaada simu yangu ya huawei imestop google update

    Simu yangu inaniambia unfortunately google update has stopped.shida nini wataalamu nifanyeje ili nitatue tatizo au ndio vikwazo vya marekani kwa kampuni ya HUAWEI.
  10. chazy255

    Mbio za mwenge kitaifa

    Jamani nipo hapa maeneo ya kwimba kwenye mapokezi ya mbio za mwenge kitaifa. Mwenge unakuja unapita sekondari moja ya kata. Sasa shida ni kwamba wanafunzi wote wa primary kutoka shule zote za kata wameletwa hapa, shule zingine ziko mbali. Naona sio sawa ukizingatia huu mwenge unakaa muda mfupi...
  11. chazy255

    natafuta kazi ya ualimu-economics

    Wakuu habari mie ni mwalimu, natafuta kazi ya kufundisha shule yeyote ya private / binafsi. Nina shahada ya ualimu masomo ya uchumi na jiographia kutoka Mwenge Catholic university. Naomba msaada wenu, pia ushauri napokeo
  12. chazy255

    Nahitaji mtaji wa biashara

    Habarini ndugu, kama kuna mtu anakopesha fedha naomba anisaidie. Mimi niko mwanza ila nina shamba la ekari moja la mpunga huko katavi na kuna pesa kama laki mbili nilikopesha kwa watu ambapo elfu 20000 ni sawa na gunia moja. Sasa mwezi wa sita naelekea huko kuvuna na kukusanya nilichokopesha...
  13. chazy255

    Msaada wa kuandika business proposal

    Wadau naomba mtu ambaye anaweza kuandika business proposal au mtaalamu na mwenye uzoefu Wa kutosha. Tuwasiliane kwa 0742443785 tufanye kazi.
  14. chazy255

    Shule yenye uhitaji Wa mwalimu Wa economics

    Mimi ni mwalimu Wa masomo ya economics na geography na ninaweza pia kufundisha commerce Naomba Kama kuna Shule inahitaji mwalimu tuweze kusaidiana na ningependa kufundisha Kama permanent teacher au mkataba uwe miaka miwili na kuendelea. Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie.
  15. chazy255

    Msaada: YouTube go inagoma kuplay video

    Jamani nimeinstall YouTube go ila nikitaka kuplay inagoma inaniambia unfortunately YouTube go has stopped. Tatizo nini eti wataalamu
  16. chazy255

    Natakaa app ya jamii forum kwenye pc

    Wakuu habari. Nataka kupakua app ya jf kwenye computer yangu, naomba kwenye link aweze kunipa au msaada jinsi ya kuipata, najaribu kuipakua hapa inanishinda.
  17. chazy255

    Kwanini ukiota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli?

    Wakuu habarini tena, Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu. Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
  18. chazy255

    Msaada: Nikiingia internet naambiwa your connection is not secure

    Jamani kila nikiingia internet naambiwa your connection is not secure. Naombeni msaada jamani tatizo nini?
  19. chazy255

    Halafu baadaye mtuambie mapenzi ya Mungu.

  20. chazy255

    JKT nomaaa

Back
Top Bottom