Search results

  1. D

    Mwamke aliye kwenye ndoa ya Kiislam akabadili dini anaweza kudai talaka?

    Ndio. Kubadili dini kwa mmoja wa wanandoa ni kigezo kimojawapo kisheria kinachopelekea mahakama kuvunja ndoa. Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  2. D

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Madhara yapo. 1. Let say Bro wako sasa anaamua anataka kufunga ndoa ya kikristo/kiserikali huyo mama watoto anaweza kuweka zuio hivyo ita-delay mchakato au kupelekea huyo bi harusi mtarajiwa na yeye kughafilika na kukataa kabisa kuolewa. 2. Kuhusu talaka. Kisheria talaka hutolewa inapokuwepo...
  3. D

    Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    Kwanza kabisa, kwa nini kamati itoe ufafanuzi? Simply means ni kweli uamuzi wake haueleweki na kweli kwamba hoja za Lissu zina mashiko. Kama kamati ina uhakika kuwa ilifuata utaratibu na imempa Lissu haki ya rufaa ilitakiwa ikae kimya isubiri reaction ya Lissu ione kama anapeleka rufaa, au...
  4. D

    Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    Na hapa ndio tutaelewa kwanini watuhumiwa waliambiwa kuandika barua peke yako na sio kupitia wakili. Hii maana yake nakala zote zilipelekwa ofisi ya DPP hivyo hakuna uthibitisho ni wangapi walikiri.
  5. D

    Teknolojia ya voice cloning ndiyo imetumika kutengeneza sauti za maigizo za Nape/Kinana

    Tena wakae kimya kabisa na wasipeleke complain popote. Ili tuone sasa nani ata set investigation machinery in motion.
  6. D

    Ndoa ni uvumilivu lakini inaweza kukaribisha umauti.

    I don't buy the argument eti unavumilia kwa ajili ya watoto. Sheria zipo go to Court omba custody and maintenance ya mtoto
  7. D

    Ellen Degeneres and her wife Portia DeRoss met Kagame in Rwanda

    culture gal, In my opinion this LGBT thing is a dilemma between human rights and morals. And i do not think that a legal document in whatever name, be it a law, declaration or order surpass moral values.
  8. D

    "Kifungo cha nje" kwa "Lulu": Haki imetendeka au ni ‘Mockery of Justice’?

    Ki Kimsingi hapa hapakuhitaji ufafanuzi wa magereza. Wangetuwekea hiyo amri ya mahakama tuione. Maana hata huo ufafanuzi haulezi hiyo" community service" ataifanyia wapi
  9. D

    Mimi ni Wakili natafuta ajira katika ofisi za Wakili wa kujitegemea

    Hongera kijana kwa kuwa mkweli. Potezea hao walio- kudis kwani wengi ni young lawyers kama wewe ila wanajitia ujuaji. Ushauri wangu ukipata ajira kwenye law firm piga kazi kwelikweli show your full potential ili iwe rahisi kupanda from an employee to an Associate patner and eventually kuwa...
  10. D

    Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

    Haswa, tena ikibidi Hamisa aende kwa mwanasheria wake waweke makubaliano kimaandishi ya kuhusu maintanance ya mtoto.
  11. D

    Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    And today we are celebrating the solemnity of the Assumption of Blessed Virgin Mary.
  12. D

    Msaada:Mkataba wangu haunyoeshi utaratibu wa Employee ku terminate contract

    Kama mkataba huo umeingia hapa nchini TZ sheria inayohusika na maswala ya ajira ni EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT. Hivyo kama hakuna clause kwenye mkataba inaekeza jinsi ya muajiriwa ku-terminate employment agreement basi rejea kwenye sheria . Na mojawapo ya njia hizo ni kutoa notice hata...
  13. D

    RPC Arusha: Tunamshikilia mmiliki wa shule ya Lucky Vicent, atapelekwa mahakamani

    Kwa shule nyingi binafsi wamiliki wanajihusisha moja kwa moja na mambo/shughuli za kila siku zinazoendelea hapo shuleni. Inawezekana kabisa ndiye aliyependekeza gari iliyopata ajali ndiyo ibebe watoto siku hiyo. Na katika mazingira ambapo dereva amefariki then ni vema mmliki ahojiwe ili...
  14. D

    Tujikumbushe: Africa writers series

    The Imprisonment of Obatala
  15. D

    Mtoto aliyepotea aonekane kwenye video ya Kala Jeremiah ya wanandoto

    Lakini pia inaonesha hicho kituo cha kulea watoto ambapo mtoto alikuwepo either hakijasajiliwa na, au kinaendeshwa kienyeji mfano inaonekana hakuna record zozote za watoto/ mtoto na hata hayo makabidhiano kati ya kituo na mama yalikuwa kienyeji bila kuhusisha polisi wala ustawi wa jamii kitu...
  16. D

    Wizara ya Afya, muimulike na NHIF

    Mimi kero yangu kuhusu NHIF ni kwa upande wa upatikanaji wa vibali kwa baadhi ya dawa. Hii ni hasa kwa wagonjwa wa cancer. Ni mlolongo mrefu na wenye kuchosha mgonjwa. Mfano mgonjwa anatibiwa Bugando Hospital anaandikiwa dawa na daktari NHIF pale hospital wanamuandikia kibali cha kununua hiyo...
  17. D

    Struck out the suit for want of jurisdiction

    Mwanasheria wa 2 yuko sahihi. chamsingi wakati unaandaa madai yako ukumbuke kuweka hizo facts kuonesha ulisha fungua kesi dhidi ya watu hao na ikaondolewa mahakamani for want of jurisdiction. na uambatanishe hiyo Order ya Mahakama kuu.
  18. D

    Struck out the suit for want of jurisdiction

    Pole sana, andika barua omba upewe hiyo oorder ili uweze kufungua kesi upya. Kosa ni kuweka general damages badala ya specific damages( actual amount of your claims) ili mahakama ijue kwamba ina pecunuary jurisdiction ama la, ukishajua thamani ya madai yako ndio utajua ni mahakama gani yenye...
Back
Top Bottom