Search results

  1. S

    Mwenyekiti wa vijana wa CHADEMA afanya mazungumzo na katibu mkuu wa CDU ya ujerumani

    <br>una taka kujenga picha gani hapo? heche germany with CDU na Nape afghanistan with matyr. tumia akili
  2. S

    Mwenyekiti wa vijana wa CHADEMA afanya mazungumzo na katibu mkuu wa CDU ya ujerumani

    concept hapa ni associattion ya CDM na CDU, suala la association ni zuri sana kwa vyama ,ni ni utaratibu wa kawaida wa ki siasa.lakini wakati chama kina tafuta associate ni lazima kuwe kuna hali ya kushare values,attidude,kwa % kubwa.lakini association pia lazima iwe na positive impact kwa...
  3. S

    Mwenyekiti wa vijana wa CHADEMA afanya mazungumzo na katibu mkuu wa CDU ya ujerumani

    <br>una taka kujenga picha gani hapo? heche germany with CDU na Nape afghanistan with matyr. tumia akili
  4. S

    Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

    Napenda mbuge anaye wasilisha mawazo yake binafsi hata kama yapo tofauti na chama. kila siku humu mnawalalamikia wabunge wa CCM kua wana kubaliana na kila kitu ilmarad serikali imesema, mmeona sasa shida ya kwenda kinyume na chama? zamu yetu sasa ku live a talk
  5. S

    Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

    ku support posho ndo usaliti mkubwa kwa CDM? tumia akili unapo andika,sio kubonyeza key board tu
  6. S

    Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere

    ni kweli muweka thread hana data na ameshauri wasio na data wasiongee kitu,ingawa yeye ameongea,still hukupaswa kumtukana bwana huyu kiasi hicho...kwani huwezi kujibu hoja mpaka matusi yatangulie? any way nawe umedai ni mwislam na kusema kikwete ana lete udini,ana wapendelea ninyi waislam eti...
  7. S

    Wabunge aina ya Aden Rage hawatatufikisha popote kimaendeleo

    poleni watu wa Tabora mjini kwa kumchagua RAGE,ambaye ni MWIZI WA PESA za TFF alihukumiwa kwa wizi na akafungwa kutokana na Kosa la WIZI wizi ni tabia ambayo ni vigumu kuiacha,sijui watu wa tabora walimuamini vipi kua ameaacha WIZI kama ambvyo mahakama zetu za Tanzania zilithibitisha? Nadhani...
  8. S

    Gazeti la MwanaHalisi mmetuchosha

    pamoja na mambo mengine,Mwana Halisi limepoteza dira kabisa na mvuto wake wa awali umepungua kiasi cha kusubiri tu muda mfupi wa kulizika kabisa gazeti hili. Gazeti limekua ni la UDAKU wa kisiasa kwa muda mrefu sasa,lime acha kuandika habari za kiuchunguzi na kuandika personal issues za watu...
  9. S

    Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

    Inaonyesha mbowe hakuongeaa kitu cha maana kabisa,hakuna hata mmoja kwenye thread hii alie eleza kitu cha msingi alicho sema zaidi ya kutumia ipad2 technology. binafsi nimemsikiliza ametumia muda mwingi ku lalama badala ya kutoa strategies n plans endapo chadema wangekua serikali wange fanya nn.
  10. S

    Augustine Lyatonga Mrema: Ni popo, si ndege si mnyama

    binafsi nime msikia akisema "HAPANA" fuatilia hansard za bunge jana, acheni uzushi....eti mmesha mpa na sababu kisa posho,kwa nini msi muulize? achanei uhuni wa kuandika andika tu
  11. S

    Heche na Nape katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha star tv

    leo siku ya 71 bado 19 mapacha3 wajaondoka wala dalili ya kuondoka haipo,we muache aendelee kuropoka tu
  12. S

    Taarifa ya Lissu kwa vyombo vya habari kuhusu Spika wa Bunge

    from day 1 i expected worse perfomance from madame speaker......
  13. S

    Napata shaka sana uhusiano huu wa Marekani na Tanzania

    bush alikaa 5days tanzania,hajawahi kukaa muda wote huo ktk nchi yeyote ya africa....just think of that
  14. S

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    uamuzi mzurii, zitto kama waziri wa fedha wa kambi ya upinzani,awaagize pia wabunge wa kambi yake waache posho hizo kwa kua ndo opposition working budget waliyo ipitisha wote, huku wakishinikiza serikali kuungana na sera yao...other wise its good move to zitto as zitto
  15. S

    John Heche mwenyekiti mpya BAVICHA taifa

    hakuna mbunge hapa,jaribu kua kama wenzio kina mdee,zitto,john,lema..wakiongea kitu una ona logic kabisaa,sio kujib tu kama taarab,nilkua sikujui kabla ya leo ila ina tosha ku de value kabisaa.huna hadhii ya ki bunge aiseeee,ache ulimbukeni .tuliza ma..t..k
  16. S

    Kamati Kuu ya CHADEMA Kukutana Kesho Kupitisha Wagombea BAVICHA

    Nyakarungu kuheshim maamuzi ya wazee ni jambo moja,kuridhika na maamuzi ya wazee ni jambo lingine...wewe vyote umevikubali?
  17. S

    Kamati Kuu ya CHADEMA Kukutana Kesho Kupitisha Wagombea BAVICHA

    alliance? kwa nini mnafanya alliance wakati nyote mnagombea nafasi moja?target yenu ilkua nini? .ila siamin kama adhabu yake ni kuondolewa(sijui kanun za uchaguzi wa bavicha).
  18. S

    Umri wako.

    mbona sijaelewa
  19. S

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Sasa nimeaamini bila shaka hiki sio kizazi stahili kuivusha Tanzania toka ilipo kwenda mbele,kama watu fikra zetu zinafungwa na mtizamo wa kichama hii ni hatari. point ya Nape ipo wazi slaa hastahili kulipwa mshahara huo,tuwe huru kujadili issues kwa ukweli kabisa toka moyoni the most thing i...
Back
Top Bottom