Search results

  1. Troubleshooter

    Mtaalamu wa kutengeneza software anahitajika

    Karibuni wataalam wa programming
  2. Troubleshooter

    Tunatoa huduma za ki ICT, mteja utafuatwa popote pale ulipo.

    Unatumiwa huduma kwa uaminifu mkubwa tuwasiliane
  3. Troubleshooter

    Mtaalamu wa kutengeneza software anahitajika

    Je wewe ni kijana mwenye kipaji na uwezo wa kutengeneza systems mbalimbali za kielektroniki kwa ubora wa hali ya juu? Karibu ujiunge nasi GSTAR SERVICES ili tuweze kuunganisha mawazo na kutengeneza mfumo kwa malengo ya kibiashara, kama unakumbana na changamoto za kimfumo na kimtandao...
  4. Troubleshooter

    Tunatoa huduma za ki ICT, mteja utafuatwa popote pale ulipo.

    Habari sisi ni kampuni tuliobobea kwenye utengenezaji wa Computer, na kutoa huduma za ki ICT kwa bei rafiki. Karibu tukuhudumie huduma zetu zipo kwenye hiki kipeperushi chetu. Karibu tukuhudumie.
  5. Troubleshooter

    Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Unataka vitabu vingapi?
  6. Troubleshooter

    Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Pic moja ni 1000 zikiwa nyingi bei inapungua.
  7. Troubleshooter

    Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Nicheki kwa namba hiyo hapo
  8. Troubleshooter

    Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Ndio kazi tunayofanya, karibu tukuhudumie.
  9. Troubleshooter

    Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352. Unapata kazi kwa uharaka na kwaubora wa hali ya juu, vitabu tunaprinti kuanzia kopi 10 na...
  10. Troubleshooter

    Ni ulimbukeni kuwazuia wasanii kutumia mavazi ya Polisi katika filamu zao

    Video ya Amazangu ama zao ya East Coast team ilifungiwa kutokana na wasanii kuvaa mavazi ya kijeshi, japo ilikuwa ni video bora sana kwa kipindi kile.
  11. Troubleshooter

    Maneno ya Dkt. Bashiru ni shambulizi kwa Rais Samia na yenye ajenda ya siri. Aitwe haraka na kuhojiwa na chama

    Wewe ni nani ndani ya chama? Huna moral authority ya kumkosoa Bashiru.
  12. Troubleshooter

    Natafuta mtafsiri wa vitabu

    Habari zenu, mimi ni mwandishi wa vitabu, natafuta mtafsiri wa vitabu vyangu kutoka Kiswahili kwenda lugha ya Kiingereza, malipo kwa makubaliano maalum. Nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
  13. Troubleshooter

    Mimi natafuta mchumba nipo serious

    huyu mwanamke anakisirani
  14. Troubleshooter

    Ndizi zinazoivishwa kwa umeme Je ni kweli zinawekwa dawa ya kuhifadhia maiti?

    Ni kweli wanaweka dawa fulani ya kuhifadhia maiti wala sio story za vijiweni kwahiyo eat for your own risk
  15. Troubleshooter

    Uendeshaji mbovu wa Alliance School jijini Mwanza

    Akirudi likizo mhamishe usilalamike hapa
  16. Troubleshooter

    Kazi: Anahitajika Web Developer

    Kwanini unataka ku code from the scratch, ukitaka website kwa kutumia theme kama joomla ama wordpress nicheki pm, website ni nzuri na high quality ina back end pia.
  17. Troubleshooter

    Nani amenajisi Nembo yetu ya Taifa na kuipaka rangi nyekundu?

    Hiyo ni rangi ya bronze, shaba nyekundu, iliyotumika kuchongea hiyo nembo hakuna rangi iliyopakwa
Back
Top Bottom