Uliwahi kuusikia msemo "una bahati kama mtende"? Huyu Bwana ni Mtende (Watende kwa kawaida ni watu wa Mara yakijumuishwa makabila ya Wakurya, Waikizu, Wazanaki, Wangoreme, Wanatta, Waisenye, Waikoma....) Basi hii ndiyo aliyonayo bahati huyu Mtende (Mongoreme).
Dr. Mataragio ame"survive" TPDC kwa bahati, kwa vile alipoenda pale waliyokuwepo walimwekea chuki, kwa nini atoke mtu nje wakati wao wapo. Hii ilifanya asukiwe kesi, alipopona na kurudishwa alioondolewa na mama kwa siku mbili na nafasi yake akapewa kada wa CCM alieduma siku moja kazini na...
Kuhusu kumtukana mama ukweli upo. Makonda na Lema wanachofanya ni kuwajulisha wahusika kuwa wanajulikana na waache ama sivyo watajuta, maana kuna uwezekano majina yao yakakatwa na huo utakuwa mwisho wao.
Haya yote yanatokana na utoto na kujipendekza mawaziri wetu. Mawaziri wengi wamepata uwaziri kupitia njia za panya, yaani kubebwa na majina ya ndugu zao na siyo uwezo wao. Mawaziri kana Nnape au au Makamba (January) wamepata nafasi kwa majina ya baba zao. Mara nyingi wanafikiria wapo juu ya...
Hii inategemea. Kwangu mimi kugawana mali inabidi kila mtu awe na haki, ila jua kuwa mara nyingi ndoa za vijijini mara nyingi huwa hakuna cha kugawana. Nyumba ya nyasi mtagawana nini? Ardhi huwezi kumgawia mwanamke maana ni ya ukoo na amekuja akaikuta.
Wanawake toka matrilineal au wanaofuata ukoo wa mama ndiyo hawajihesabu kama sehemu ya familia ya mume. Haya makabila ni mengi TZ, ila sasa hivi naona hawafuati tena huu utamaduni. Ili huu utamaduni kudumu ni lazima waone wao kwa wao, wakitoka nje tu, wanafuata mila ya mme.
Kwa kawaida jeshi lolote siyo chombo cha kukenua meno na kucheka ovyo. Hii ni kweli kwa majeshi yote (JW, TP, JKT, TZ Prisons) na majeshi ya nchi zote. Kwa wale waliyopitia JKT mtakumbuka uhusiano wenu na raia ilipo JKT. Wanajeshi wanapenda kusaidiana maana kila mmoja amefundishwa kumtegemea...
Kama watu wanasomea michezo, kwa nini wasisomee uchambuzi wa michezo au mchezo. Uchambuzi siyo kitu anaweza kila mtu. Hata wanaoweza wanatakiwa kunolewa, ili waangalie vigezo vya kuchambulia. Nchi nyingi wachambuzi wa michezo huwa ni wachezaji wastaafu katika mchezo. Hata hao wanamichezo...
Wewe unaingia kazini saa mbili hadi saa kumi au kumi na moja, muda wa kazi ya ziada/biashara utaupata wapi? Labda utafute/ukope mtaji utafute atakaye simamia mradi. Swali langu jingine, je kila mtu mfanyakazi akiingia kwenye biashara wanunuzi ni wake na nani. Ndiyo maana hadi sasakuna wachache...
Mtu anapoajiriwa sehemu fulani anakuwa amejitoa kufanya kazi na nguvu na muda wake vinaelekezwa kwenye kazi. Mategemeo ni kuwa atapata kipato cha kutosha kuendesha maisha yake yaani kipato kinachotosha kwenye "basic needs zake" kwa ngazi yake. Lakini mara nyingi mambo hayako hivyo hasa katika...
Utaongezaje experience wakati mtu hanayo? Ina maana utaweka uongo kwenye CV. Kama ni kunyoosha au format hizo zinapatikana online tena bure! Just google and you get CV foumarts free!
Kijijini kwetu bei ya chumba in 20k, fremuya biashara 30-40k na hapo km 80 toka Musoma mjini, yaani jijini unashindwa kupata mpangaji...au masindiko ya Kikinga yako kazini.
Mikakati sahihi maana yake nini.Ina maana mikakati sahihi ni ile ya ya CHADEMA. Kila chama cha siasa kina uhuru wa kisiasa na siyolazima kikubaliane na CHADEMA. Tatizo la CHADEMA ni kujivisha taji la chama kikuu cha upinzani na kuamini hivyo, na kwa mantiki hiyokudhania vyama vyote vya upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.