Search results

  1. YinYang

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

    JamiiForums inachukua email tu wakati wakujisajili kwa mwanachama. Email ya mwanachama tunakuwa nayo ili kureset password inapohitajika na sio kwa matumizi mengine. Tafadhali soma zaidi kuhusu sera yetu ya faragha Privacy policy
  2. YinYang

    Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    JamiiForums inatumiwa na watu wa Afrika Mashariki na wengine ni waungumzaji wa kiswahili waliokuwa nje ya Afrika. Kuandika mada kama kila mmoja ni mkazi wa Mwenge inaleta ukakasi kidogo. Tafadhali andika kwa namna ambayo kama mtu sio mkazi wa maeneo husika anaweza kuelewa kinachozungumzwa. Hata...
  3. YinYang

    Kazi zenye Furaha zaidi ulimwenguni kote

    Ngoja nijipakulie minyama. Content Moderation pia ina raha mkuu. Unazurura majukwaani unasoma yanayoandikwa unacheka tu!
  4. YinYang

    Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Habari Nyani Ngabu Kujua safari za rais tafadhali soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
  5. YinYang

    Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

    Tafadhali fuata hatua hizi App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
  6. YinYang

    Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

    Tafadhali fuata hatua hizi App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
  7. YinYang

    Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

    Tafadhali fuata hatua hizi kuwa na app nyingine App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
  8. YinYang

    Ungependa kukutana na hawa JF members?

    Mkuu Analyse , Sina uwezo wa kuingia PM yako, na hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuingilia PM yako. Kwenye uwanja wa PM kuna sehemu ya Participants ambapo inakuruhusu kuangalia watu mliokwenye maongezi. Hizo tuhuma unazoleta hazina ukweli wowote.
  9. YinYang

    Ungependa kukutana na hawa JF members?

    Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia PM ya mtu yeyote. Unapokuwa PM angalia idadi ya watu waliopo (kwa kubonyeza nukta tatu upande wa kulia, chaguo la kwanza lilioandikwa "Participants") na kama mtu sio sehemu ya mjadala bofya Kick-out kumtoa.
  10. YinYang

    Ungependa kukutana na hawa JF members?

    Uwezo wa ku-kick out bado upo, unaweza kujaribu na uniambie kama haujaweza ku-kick out mtu usiyemuhitaji
  11. YinYang

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Chizi Maarifa na shadrackAmri nawaonya
  12. YinYang

    Maxence Melo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Makosa yako sehemu nyingi sana Mkuu, mfano Maxence Melo, ni Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums wao wameandika JamiiForum, haina 'S', hili ni kosa ambalo hata baadhi ya wanachama wanalifanya
  13. YinYang

    Kichwa cha Treni SGR chaanza majaribio Kilomita 160 kwa Saa

    Kwamba wataweka link youtube wakiwa katika speed hiyo mkuu?
  14. YinYang

    Ni chombo kipi cha habari ambacho kipo huru kwa sasa?

    Waungwana naomba nifafanue kitu. JamiiForums sio chombo cha habari (media). JamiiForums ni asasi ya kiraia iliyosajiliwa kufanya uchechemuzi na uragabishi kwenye masuala matano ikiwemo Haki za kiraia, Haki za Kidigitali, Uwajibikaji, Utawala bora na demokrasia. Akhsanteni.
  15. YinYang

    Maxence Melo awatambua Dr. Gwajima na Dr. Mwigulu kwa kushiriki mijadala JamiiForums

    Kama hauridhishwi na utendaji wa moderators wa JamiiForums una room ya kuwasilisha malalamiko yako kwenye Jukwaa la Complaints. Hii yote ni kuhakikisha wanachama wote wanapata haki ya kutoa mawazo yao ndani ya JamiiForums. Aidha, moderators wa JamiiForums wanafanyakazi zao kwa kufuata muongozo...
  16. YinYang

    Chat message

    Bado attachment bila caption haikubali
  17. YinYang

    Chat message

    😮🦭
  18. YinYang

    Chat message

    Testing
Back
Top Bottom