Kwa hili hata mimi nilikuwa sijui, lazima ningesema jamaa kapiga fix ya kufa mtu. Ila wakati mwingine kabla hujamwita mwenzio muongo uliza kwanza kama alichoongea kina ukweli wowote kwa watu wengine.
Ujumbe wa kuchangia mzuri, lakini umeharibu kuanza kuponda na kusifia upande mmoja. Inaonekana wewe ni mwana Chadema. Itakuwa ngumu kwa mwana CCM akiona uzi huu kuchangia. Hisia zako umeziweka pabaya sana. Suala la ugonjwa wa huyu mtoto umelipeleka kisiasa badala ya UTU. Ugonjwa hauna siasa ndugu.
Tatizo waliosoma UDSM wanaona wengine wote waliosoma vyuo vingine Tanzania hawajaenda shule. Nakumbuka hata miaka ya nyuma Mzumbe ikitoa wahasibu wazuri, na lazima waajiliwe kwanza...ndipo wale wa Bcom ya mlimani waajiliwe. Ilikuwa issue kuponda Mzumbe. Hebu tujaribu kuwa "positive" kwa...
Mdau angalia Quality ya hizo Div 1 na II na siyo Quantity. Bila shaka utajua ni kwa nini St. Francis wanaongoza. Au mfano mdogo tuu ni: Mimi nina "A" ya 85 na wewe una "A" ya 90. haiwezekani mm niwe wa kwanza wakati wewe una maksi za juu. Bila shaka umenielewa.
Usitishike mkuu ni maumbile tuu. Huwa ni aina ya wanawake wakinogewa wanacheka badala ya kupiga kelele. Angalizo usifanye utafiti sana, zote zinafanana tuu. Kuwa na mpenzi mmoja tuu inatosha Dunia imeharibika.
Do you really know Mbeya? or, you are just obsessed with Tanzanite and Tourism? Do you know Mbeya, has Gold, Coal(kiwira and Mbozi) Natural Gas, Agriculture (coffee, maize, banana, cocoa, rice etc to name a few) do you know Mbeya is one of the four Region feeding Tanzania? Do you also know that...
Kuacha kazi masaa 24 maana yake ni kuwa unavunja mkataba. Ndiyo maana unatakiwa ulipe hiyo Basic salary. Kama wengine walivyosema. Kama huna haraka toa notice ya mwezi mmoja then uachane nao. Ila kama umepata kazi nyingine na wanakuhitaji haraka basi...lipa hivyo basic salary na wakupe risiti...
Binadamu tunatofautiana sana. Anakupenda sana mshukuru Mungu. Atakuwa anakuwa na hamu na wewe lakini ujasiri wa kukuambia hana. Na hayo ni maumbile ya kila mmoja. Just appreciate the way she is!
Shida ya Ajira ni kubwa lakini Uarabuni simshauri Kijana yeyote kwenda kichwa kichwa. Kwanza ukifika Passport yako lazima itanyang'anywa. Pili, utakuwa mtumwa ambaye huna kwa kwenda na hata ubalozi wetu hauwezi kukusaidia kwa lolote. Bora uuze magazeti upate 200 kuliko huko mnakotaka kuuzwa.
Kila nafsi itaonja mauti... Hata mganga na mchawi wana siku zao za kuishi duniani. Unanikumbusha usemi wa "ukila nyama ya mtu huwezi acha utataka ule tena na tena" Ukianza kwenda Kwa waganga huwezi acha kila siku utaenda tuu. Kwa sisi wakristo Biblia inatuonya kuwa" Ole wake mtu yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.